Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,009
- 2,197
Habari zenu wakuu,
Binafsi kilomo kwangu kipo damuni hio inatokana kwanza Mimi ni mzaliwa wa morogoro lakini kubwa zaidi ni mtoto wa mkulima lakini hio haijanifanya kuwa mkulima Bora.
So nipo mbele yenu wakuu naomba msaada wa kimawazo, kule kwetu moro tunalima mazao mengi Sana ya umwagiliaji pia Yale ya kutegemea mvua, lakini Yale ya kusubiri mvua hayafanyi vizuri Sana sababu mvua zenyewe za kungoja afu zikinyesha zinatoa vumbi tu
Lakini Kuna wazo hapo limenijia la kulima kwa kumwagilia maji lakini kutumia water pump za solar, maana Morogoro ukiachana rutuba na Hali ya hewa rafiki kwa mazo mengi lakini pia maji yapo ya kutosha, but kuna baadhi ya maeneo yapo mbali ya vyanzo maji(mito) plus miundombinu mibovu sasa inafanya kutokuwa na tofauti anaefanya umwgiliaji na anayesubiri mvua.
Wazo badala ya kusubiri mvua na kutegemea maji ya mgao ni kwamba nichimbe kisima then na install solar na water pump yake.
Mazao ni liyopanga kulima ni strawberry, mpunga na mboga mboga ambayo ukitegema mvua na maji ya mgao utaona kilomo kigumu.
Naomba ushuri na msaada wa kujua mtaji kiasi gani unhitajika kuchimba kisima kwa ajili irrigation
Asante!