Nimemsikia Mhe. Bashe akihitimisha hotuba yake ya Bajeti ya Kilimo 2024/25 kwa kweli Mhe. Bashe yuko vizuri na imara katika kuongoza Wizara ya Kilimo.
Mhe. Bashe amezungumzia zao la ufuta, korosho, pamba, kahawa na mazao mchanganyiko. Kwa maelezo yale kama Serikali itifanyia kazi ushauri wake...