Waziri wa Kilimo haya mambo yameanza lini

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,519
9,557
Nimeweka risiti hapa uone kibaya zaidi jambo hili linatokea Nzega hapa ndio wakulima humkumbuka Magufuli yani gunia moja linatozwa ushuru kweli yani mkulima alime mazao yake ya kula yeye na famila yake anaenda kuvuna wanasubilia njiani atozwe ushuru.

 
Twendeni na mama 2025
Inafikilisha sana yani gunia moja ushuru sasa unawaza haya ni maamuzi ya baraza la madiwani na mkurugenzi wao au nani sema waanainchi wa nzega wanatakiwa wambiwe uchaguzi wa serikali za mitaa wawaonyeshe rangi tofauti na kijani na njano watawaheshimu otherwise wataendelea chezewa zaidi ya hapa
 
Back
Top Bottom