kilimo

  1. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kilimo cha Kidijitali

    KILIMO CHA KIDIJITALI: Tanzania, kama nchi nyingine za Kiafrika, inakabiliwa na changamoto za kuleta maendeleo endelevu katika miaka ijayo. Mojawapo ya njia za kufanikisha hili ni kwa kuwekeza katika kilimo cha kidijitali. Katika andiko hili, tutachunguza jinsi kilimo cha kidijitali kinavyoweza...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kilimo gani naweza kufanya kwa mtaji wa 200,000?

    Nina mtaji wa shilingi laki mbili lakini nimeona biashara itakayoniingizia hela nzuri na kuchukua muda wangu kiasi nikiwa najipanga ni kilimo. Je kilimo gani ni kizuri hata nikiwa na heka moja naweza fanya na nikapata faida?
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ubora wa usajiri wa vijana kwenye mradi wa kilimo wa Build Better Tomorrow (BBT) ili kuleta tija kwa vijana na taifa kiujumla

    Mradi wa build better tomorrow (BBT) Ambao serikari kupitia wizara ya kilimo ulianzisha mwaka 2022/2023 Lengo kuu ni kusaidia vijana kujikwamua kiuchumi kupitia kilimo na ufugaji na kupunguza tatizo la ajira nchini Yafuatayo yafanyike ili kuboresha mradi huu uwe endelevu na wenye tija Kwa...
  4. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iasisi chombo cha kudhibiti na kudurusu bei za mazao ya kilimo na pia ikiwezekana bidhaa za uvuvi

    Mfumo wa soko la ndani wa mazao na bidhaa za kilimo (na uvuvi) kwa kiasi kikubwa unaendeleza dhulma na unyonyaji kwa wazalishaji mali hizo. Ijapokuwa zipo jitihada za serikali zenye kukusudia kuleta ustawi wa sekta ya kilimo na uvuvi nchini, pia hapana budi hatua za haraka kuchukuliwa za...
  5. I

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kilimo na mafinikio ya watu na Taifa

    Kilimo ni ukombozi, japokuwa kwa nchi yetu kinaonekana ni kazi ya walala hoi, isiyo na thamani na inayowahusu watu masikini. Kwa kupitia uzoefu mdogo nilioupata kwenye kilimo, ninadiriki kusema kuwa, kilimo ni fursa, kilimo ni ukombozi, kilimo ni mafanikio kwa watu na nchi. Ni jambo la kawaida...
  6. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mbinu kwa ajili ya kuboresha sekta ya ufugaji, kilimo, na uvuvi

    Hii ni sekta ya muhimu katika uchumi wetu. Ikiwa usimamizi wa sekta hii utaendelea kusimamiwa vizuri uchumi wetu utapanda kwa miaka mitano (5),kumi (10) na kuendelea.katika sekta hii tunapata malighafi mbalimbali kwa ajili ya viwanda mbalimbali mfano, alizeti kwa ajili ya kutengeneza mafuta...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya naye partnership kuzalisha mazao hususan ufuta

    Mm mi kijana miaka 30. Nimesomea kilimo na nimkulima pia. Naomba kama kuna mtu ana mashamba hususan ukanda wa pwani kwa ajili aya kilimo na ufugaji, tufanye partnership kwenye uzalishaji wa mazao hususan ufuta.
  8. Mnzavatekina

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uchumi katika kilimo na maeneo ya kilimo

    Nchini Tanzania, Sekta ya Kilimo ni muhimili wa maendeleo ya uchumi. Sekta hii inachangia kiasi cha nusu ya pato la Taifa, robo tatu ya bidhaa zinazouzwa nje ya nchi na chanzo cha chakula pamoja na utoaji wa fursa za ajira zaidi ya 75% ya Watanzania. Hali hii inatupa uhalisia na yakini kwamba...
  9. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Halmashauri kuanzisha bloks farms na kuzikopesha kwa wakulima wadogo ili kufanya mapinduzi ya kilimo

    Namshukuru Mungu nami kupata nafasi ya kuchangia mawazo yangu katika kuitafuta Tanzania tuitakayo. Maoni yangu yatajikita katika mapinduzi makubwa ya kilimo Kwa maana ya ukulima wa mazao ya mashambani, ufugaji na uvuvi Kwa kuanzisha mfumo wa mashamba vitalu (blok farms) katika Kila halmashauri...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Within 3 month kilimo kimenipa milioni 40, vijana kilimo kinalipa

    It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again Wakuu ama kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa wahenga bwana hawakukosea hata kidogo mazee within 3 month kilimo kimenipa milioni 40 na nililima hekari...
  11. Kidaya

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vituo vya kilimo vya wilaya kutatua changamoto za wakulima

    Sekta ya kilimo nchini Tanzania ni nguzo kuu ya uchumi wa taifa, ikiwa ni chanzo kikuu cha ajira. Kwa mujibu wa taarifa ya hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo 2023/2024, zaidi ya watanzania milioni 40 (65.6%) wanategemea moja kwa moja sekta hii kwa ajira. Kilimo pia kina jukumu muhimu katika...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia katika kilimo

    kilimo ni uti wa mgongo katika uchumi wa nchi.kutokana na matokeo ya sensa ya kilimo mifugo na uvuvi ya mwaka 2019/2020 yanaonesha asilimia 65.5 ya kaya zilizopo Tanzania zinajihusisha na kilimo hii inaonesha ni kwa kiasi gani kilimo ni kitu tegemewa sana hapa kwetu Tanzania.sekta hii imechangia...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mkulima wa Mwani: Sera ya Uchumi wa Buluu katika kilimo cha Mwani, haitekelezwi. Kilimo chawa kigumu

    “Nina Watoto nane, shughuli yangu kubwa ni Kilimo cha Mwani ambayo ni miongoni mwa mazao ninayoyategemea kunipatia mkate wa kila siku. Nafanyia shughuli zangu katika Kijiji cha Shamiani Kangani, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Hapa ndipo pia ninapoishi. Nimekuwa na ndoto ya kuwa mkulima...
  14. pro12membe

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali kuanzisha mradi wa vituo vya utafiti na maendeleo ya kilimo nchini

    MRADI WA KUANZISHA VITUO VYA UTAFITI NA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI TANZANIA. kulingana na changamoto zilizopo katika sekta ya kilimo Nchini. nikaona si vibaya kufikiria juu ya sekta hii muhimu, ambayo tunasema ni utii wa mgongo wa taifa la Tanzania. Hivyo basi nikaona kuna haja ya kuanzishwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza katika kilimo na viwanda kwa mustakabali wa taifa

    Na. Jofreyson1 TANZANIA TUITAKAYO: picha na azam news Kuwekeza KATIKA KILIMO NA VIWANDA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi za kilimo zinazoweza kuimarisha uchumi wake. Katika kuelekea kwenye Tanzania tuitakayo, ni muhimu kwa serikali kuwekeza kwa kina katika...
  16. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Wazo: Serikali iruhusu kilimo cha bangi chini ya utaratibu maalumu (Bangi ni Pesa)

    Bangi ni zao lenye thamani kubwa kutokana na faida zake lukuki ukilinganisha na mimea mingine. Watu wengi wamekaririshwa upande wapili tu wa zao hili (madhara ya matumizi haramu ya bangi) Naomba tuelewane kuwa hata petrol ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wetu lakini wapo watu ambao huitumia...
  17. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Miaka 10 mpaka 25 tukiboresha haya hasa kwenye kilimo

    Kilimo:ni utajiri na chakula Kwa binadamu wote Kwa Tanzania. Kilimo kinalisha watu wote Tanzania pia kilimo kinatajilisha watu waliomo humo kwenye kilimo hicho hicho.zipo njia baadhi zikitumika ki ufasaha zitabadiliaha sekta ya kilimo ndani ya miaka kumi mpka 25 ijayo kama njia hizo zitafutwa...
  18. mackj

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ianzishe ruzuku kwa wakulima wa kilimo cha samaki ili kulinda rasilimali za uvuvi kwenye maziwa na bahari nchini

    Kilimo cha maji (AQUACULTURE) ni sekta muhimu na inayokua kwa kasi zaidi ya uzalishaji wa chakula cha wanyama duniani, na inaendelea kuzidi kasi ukuaji wa idadi ya watu, huku usambazaji wa kila mtu kutoka kwa wafugaji wa samaki ukiongezeka kutoka kilo 0.7 mwaka 1970 hadi kilo 7.8 mwaka 2008...
  19. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kilimo kwa maendeleo ya sasa na vizazi vijavyo

    :kilimo kwa maendelo ya sasa na vizazi vijavyo Utangulizi Sekta ya kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi wa nchi yetu. Inaajiri asilimia kubwa ya wananchi na inachangia pakubwa katika pato la taifa. Hata hivyo, sekta hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazohitaji kushughulikiwa kwa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya Kilimo cha mboga mboga

    Uko Dar unataka kufanya kilimo cha mboga mboga na huna utaalam nione Kwa no 0625537380. Kilimo chako kiwe kilimo cha kisasa, kilimo biashara yani kilimo cha kupata fedha.
Back
Top Bottom