hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 172
- 111
Kilimo ni UTI wa mgongo
Kilimo ni maisha
Kilimo ni utajiri
Kilimo ni chakula.
Kilimo ni pesa na utajiri.
Kilimo kina faida Pana na kina maelezo mapana ukielezea kiundani ndani.
Leo tutatazama changamoto chache na kuu zilizopo kwenye kilimo Kwa watu walio kwenye kilimo tutaelewana na wanao tarajiag kuingia kwenye kilimo mnapaswa kusoma hapa kujiandaa kisaikolojia.
Changamoto ni kama ifuatavyo.
1.viwatilifu.kiifupi ukienda kwenye kilimo chochote utakutana na changamoto za viwatilifu sio kwamba viwatilifu ni haba hapana ni kwamba viwatilifu ni vingi na bei imechangamka hasa huko mikoani ila viwatilifu Bora vya kupambana na magonjwa na wadudu ni vichache maduka ya pembe jeo.vingi unakuta havina ubora wa sumu za kuua au kuondoa ugonjwa wa mmea shambani kipindi Cha magonjwa.hapa usishangae unaweza nunua viwatilifu hata vi4 tofauti na visikupe matokeo Bora shambani mwako.
2.mbolea sisizo na sifa.hapa ukiwa mkulima utanielewa mbolea nyingi ziko mitaaani ila hazina madini stahiki ya mimea na zinakosa viwango sahihi vya kutosheleza mmea ukihitaji madini mfano nitrogen au calcium.nenda kwenye mifuko ya mbolea katazame viwango vya madini muhimu vya mmea uone zile asilimia zake utanielewa.kiwango kidogo alafu ardhi Haina virutubisho muhimu.
Mbegu chotara:mbegu zipo ila ZeNye sifa kuu za kuendana na hali ya hewa ya mkoa husika ni changamoto zipo nyingi mkoa flani ila ukizichunguza haziendani na hali ya hewa ya mkoa huo na badala yake ukifukia hazina faida ya kuzaa au kukua vizuri eneo hilo.
Mbegu ya mahindi yenye sifa eneo la joto ni ngumu kufanya vizuri eneo Lenye baridi wakulima tunaelewana hapa vizuri hapa.
Soko:hpa wakulima wengi ndio hupata umaskini unalima sana unapata sana ila soko la bidhaa yako lenye ukubwa hujui liko wapi matokeo mzigo unaku haribikiwa Shamba au stoo maana soko hujui liko lenye uhakika wa kuchukua mzigo mwingi ulio nao.
Hizo ni chache tu ILa wewe unae taka kuingia kwenye kilimo kiwe chochote kila kwanza yafahamu hayo ujipange kisaikolojia.
Mtaji sio mafanikio ya kilimo ila ukijua hayo na ukijumlisha maarifa na mtaji wako mkubwa utafanikiwa maana huto yumba yumba.
Kilimo kinalipa ila njoo Kwa tahadhari hizo ili tu usipagawe na changamoto za kilimo shambani.
Kwa maelezo zaidi ni 0625537380 ujue nimejuaje kubadilisha a mawazo no hizo ziko whtsapp.
Nilicho kiandika nimekifanyia utafiti Kwa muda Sasa ndo nimeamua kuja kuandika Kwa wakulima wenye kukitamani kilimo.
Sikutishi kilimo kigumu no ila nakwambia uhalisia usioweza kuambiwa na wakulima we go nchini kwetu.