kikwete

  1. JamiiForums Tanzania Kwa hali aliyonayo Bernard Membe, Kikwete alikuwa sahihi huyu hakustahili kupeperusha bendera ya CCM hata kidogo

    Mhe. Kikwete alikuwa sahihi kukata jina la Membe 2015 kuwa mgombea urais kupitia CCM kwa kweli hana ushawishi wala mvuto wowote kwa watanzania, Kama kikwete angefanya kosa la kumpitisha huyu mtu 2015 Kisha apambane na Lowasa leo tungekuwa tunazungumza Lugha nyingine kabisa kwenye siasa za...
  2. JamiiForums Tanzania Magufuli hastahili hata kulegeza lijamu ya Jakaya Kikwete. Yuko Chini sana, Kikwete ni level nyingine

    Huu ni mtazamo wangu binafsi kama mtu ambaye ninaamini kwamba kila ninachowaza ni sahihi Kipimo cha Ubora wa Kiongozi sio vitu kama madaraja,barabara,nyumba etc.Hivyo nivitu viddogo sana ambavyo vinafanywa na wataalamu wa maeneo husika cha muhimu ni PESA ziwepo. Kipimo cha Kiongozi yoyote yule...
  3. JamiiForums Tanzania Kikwete: Magufuli ametekeleza Ilani kwa 85% ila Bashiru anasema ametekeleza Ilani kwa 100% na amepitiliza

    Leo Rais mstaafu ndugu Jakaya Kikwete akiwa Chalinze na mgombea mwenza wa Rais Magufuli, amesema kuwa Rais Magufuli anetekeleza ilani ya CCM kwa asilimia 85 hivyo anaomba wananchi wamchague tena Nakumbuka Katibu mkuu wa CCM ndugu Dkt. Bashiru Alli alisema kuwa Rais Magufuli ametekeleza ilani ya...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mama Salma mgombea wa CCM Jimbo la Mchinga akikuna nazi

    KAMPENIMCHINGA MAMA SALMA MGOMBEA WA CCM JIMBO LA MCHINGA AKIKUNA NAZI & AKISIKILIZA CHANGAMOTO ZA WANANCHI
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli unamtenga Jakaya Kikwete kwenye Kampeni zako, kumbuka ndiye aliyekupa Urais 2015. Muangukie akusaidie

    Salaam, Wakuu, Huu mwenendo wa hiii CCM na Mgombea wake kutaka kumuangushia jumba bovu Kikwete, haikubariki. Na kwenye Kampeni za 2020, Msipomshirikisha, CCM itapata kura za aibu. Mtaishia kuiba kura ili kuficha aibu. Sasa mnamchafua Kikwete kwamba kaharibu kwamba hajafanya lolote, basi hata...
  6. JamiiForums Tanzania Raisi Mstaafu Kikwete!

    chadema oyeee, ...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

    Leo chama tawala (CCM) kinafungua kampeni zake uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kuomba ridhaa ya wananchi kurejea kwenye utawala baada ya ngwe ya kwanza ya miaka mitano ya serikali ya awamu ya tano kuisha. Dkt. John Magufuli Rais anayemaliza awamu yake ya kwanza amepewa ridhaa ya chama hicho...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Namuomba Radhi Mzee Jakaya Kikwete

    Mhe. Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne binafsi nakuomba Radhi leo kwa yote nilikuwazia au hata kukusema kiukweli at that time nilikuwa na Moto wa ujana na sikujuwa uzee wako ni hekima. Nikiwa kama Raia wakawaida kabisa niliwahi kukuandikia baruwa na nikalalamika sana juu ya upole wako na democrasia...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 2000 ya Mkapa vs 2010 ya Kikwete vs 2020 ya Magufuli

    Historia huwa ni mwalimu mzuri sana. Na hii hii historia unaweza kuitumia kujua nini kinafuata. 2000 ya Mkapa ilikuwa rahisi sana sababu kwa miaka 5 yake watu walishamuelewa na kumkubali zaidi. 2010 ya Kikwete ilikuwa mtelezo sana sababu raia walishamuelewa sana, hata wale waliokuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Utendaji wa Rais Magufuli angevishwa Kikwete angekuwa Rais mzuri mno kuwahi kutokea Afrika

    Kusema ukweli Rais Jakaya Kikwete aliwafanya watanzania wawe na furaha sana. Kusema ukweli Rais Magufuli amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake. Sasa chukua kolabo ya hulka na tabia ya JK halafu upendo wake tabasamu lake faraja zake wakati wa shida changanya na utendaji...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanza: Watano mbaroni kwa utapeli wa kutumia majina ya Taasisi za Salma Kikwete na Mo Dewji Foundation

    Watu watano mkoani Mwanza wamefikishwa mahakamani wakishitakiwa kwa jumla ya makosa 16 ikiwemo kujipatia fedha zaidi ya shilingi milioni 10 kwa njia isiyo halali na kufanya utapeli kwa kutumia majina ya taasisi za mama Salma Kikwete na Mo Dewji Foundation kwenye mitandao ya kijamii. Wakisoma...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, jambo lingine ambalo hatukuwahi kuliona enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hili hapa, usiache kulisema kumsaidia kampeni JPM

    Enzi za Nyerere hamna mwaka ulipita bila nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi kufanyika. Inasemekana kuna wakati Nyerere mwenyewe aliwahi kujipunguzia mshahara kidogo lakini nyongeza ya kawaida ilifanyika. Sasa Tundu Lissu katika hotuba zako kumbuka sana kuendelea kuorodhesha yote mageni...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abass: Pato la Tanzania limekua mara mbili zaidi katika miaka minne ya Rais Magufuli

  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abbas usipambane na Kikwete siyo saizi yako. Acha kupotosha umma kwa njaa zako

    Nimeona umepost video nyingine kwa kutumia ukurasa wa “Msemaji wa Serikali” ukidai katika Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2025 (National Development Vision 2025) ambao ulisainiwa na kuanza kutumika kipindi cha Mkapa hakuna sehemu inataja tunahitaji kufikia kipato cha kila mtu cha USD 3,000. Kila...
  15. JamiiForums Tanzania Mkapa, Kikwete, Mwinyi na Nyerere hawakuwahi kupanda Madhabahuni kuhutubia Taifa?

    Katika hali ya Kawaida, msikitini ni pahala patakatifu pa kumwabudu mungu na kanisani ni pahala pa kumwabudu Mungu. Tangu tupate uhuru 1961, December, Tanganyika haijawahi kutokea Nyerere akiwa Waziri mkuu wa Kwanza, mpaka akafikia urais, Mwinyi kuanzia 1984-1995, Mkapa 1995-2005, Kikwete...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

    Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa. Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania. Pia...
  17. JamiiForums Tanzania UDOM iitwe Jakaya Kikwete University

    Natoa pekendekezo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kiitwe Jakaya Kikwete University sababu ni miongoni wa chuo kikubwa sana hapa Tanzania na Afrika Mashariki. Hii ni heshima kubwa kwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwa kujenga Chuo Kikuu kikubwa na kupanua elimu hapa nchini, pia tusisubiri mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Maelezo haya ya leo yanaendana na maelezo ya Rais mstaafu Kikwete

    Haya, leo mzizi wa uzushi umekatwa. Sababu ya kifo cha Rais mstaafu Mkapa imetajwa: ni mshituko wa moyo. Licha ya hivyo, hicho sicho kilichompeleka hospitali. Kilichompeleka hospitali ilikuwa ni kutojisikia kwake vizuri, ambapo baadaye ilikuja kugundulika kuwa ni malaria, kwa mujibu wa taarifa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Pamoja na kushindana sana na Mkapa 95 hakunigongagonga nipotee, alisimama nami

    Rais mstaafu Kikwete amesema jambo ambalo wengi hawalijui ni kwamba mwaka 1988 yeye alipelekwa wilaya ya Masasi kuwa Katibu wa CCM na alimkuta mzee Mkapa akiwa ni mbunge. Kikwete anasema walikuwa marafiki wa kweli hata mwaka 1995 yeye ( Kikwete) alipoburutwa kugombea urais bado alikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kikwete: Nimezungumza na Mkapa karibu saa nzima jana, hakuwa mgonjwa kusema anatia shaka

    Rais mstaafu, Jakaya Kikwete leo amefika kwenye makazi ya Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Marehemu Benjamini Mkapa, pamoja na mambo mengine amezungumzia kumtembelea Mkapa jana hospitali wakati anaumwa. Kikwete: Jana jioni nilikwenda kumuona hospitali, tulizungumza sana. Alikuwa na maumivu lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…