kikwete

  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Niliposema suala hili alilozungumza Kikwete, nilitengwa na kutukanwa sana. Huu ndiyo ukweli kuhusu Yanga

    Mechi zetu NBC L tunashinda kwa michongo; kwa kuwahonga Marefa na wachezaji wa timu pinzani. Hili hapa analisema Kikwete kuwa, tunashinda kwa njia ambazo hazitusaidii kwenye mashindano ambayo hatuna mtu wa kuongea naye. Tunapohonga timu nyingine ziikamie Simba, tunawanoa Simba zaidi na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Kabendera dhidi ya Magufuli na ukimya wa Kikwete. Je, tuamini ni kweli?

    Tuhuma za Erick Kabendera dhidi ya Marehemu Magufuli, ni nzito mno ikiwa ni pamoja na madai ya Kabendera kuwa Magufuli alitaka kumkamata Kikwete kwa tuhuma za kuhongwa fedha na mfanyabiashara mmoja ambae hakumtaja japo yupo anaehisiwa. Katika hali ya kawaida, tulitarjie Kikwete ajitokeze...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

    Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana ==== Aliyoandika Kabendera Wale mliouza mali zenu kupata pesa za kuhonga kusaidia plea bargain zenu zikubaliwe mjitokeze kutoa ushahidi. Wafanyabiashara mliopelekwa ofisi maarufu ya serikali, mkatishwa kwa mitutu ya...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tulioitika Wito Kuhamia Burundi, Tumefarijika Sana Kumuona Former First Lady, Mama Salma Kikwete. Kumbe Rais Akiwa Mwanamke, Nchi Haina First Lady!

    Wanabodi, Baada ya kiongozi fulani kututaka tusioridhika na hali ya nyumbani, tuhamie Burundi, mimi ni mmoja wa walioitika wito huo tumehamia Burundi sasa naishi Bujumbura! Tangu tumehamia hapa, tumefarijika sana kwa kiongozi wa kitaifa kutoka Tanzania kutembelea Burundi. Huyu ni Mheshimiwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msiompenda Kikwete bado mna cha kujifunza kwake ili muishi maisha marefu

    Tafiti zinaonyesha magonjwa yasiyoambukiza kama sonona,kisukari,shinikizo la damu yanaua watu wengi sana duniani. Rais mstaafu JK pamoja na Mzee Ruksa uwenda walikuwa na mapungufu mengi kwenye uongozi wao ila kama watanzania tua cha kujifunza kwao. Nani asiyependa kuishi maisha marefu yenye...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Pole Mzee Kikwete, hii dharau wanayo hata black Americans kwa waafrika ndugu zao. Hawaangalii hata wa kuwafanyia Uhuni

    Kikwete aliongea akisikitika sana mpaka leo kutopewa picha ambayo alipiga na Rihanna. Miaka mingi baada ya tukio ameamua kutoa yake ya moyoni. Kiukweli kikwete alijitahidi sana. Alipiga picha na wasanii wengi wakiwemo boys 2 men. Kuna ambao aliweza pata picha zao akaja akapost na kuweka...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kikwete bado ana ulinzi mkubwa licha ya kutoka madarakani miaka 7 iliyopita

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika mazoezi kijijini kwake Msoga jana wakati akiwa ametimiza miaka 72. Hapo pembeni akiwa na Shaffih Dauda waliobaki ni wana usalama. Imekuwaje miaka 7 baada ya kustaafu kwake, bado ulinzi wake ni mkubwa. Hakika JK ni hazina ya nchi hii.
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Party ya Siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya Jakaya Kikwete akitimiza miaka 72, Oktoba 7, 2022

    Uwanja wa Polisi Chalinze kwenye kilele cha sherehe ya siku ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete.
  9. Jackbauer

    JamiiForums Tanzania Oktoba 7 ni birthday ya Rais Putin na Rais mstaafu Kikwete!

    Hongera kwa siku ya kuzaliwa kwa viongozi hawa.
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mama Salma asimulia Kikwete alivyowateka mabinti

    Dar es Salaam. Miaka 72 ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya nne (2005-2015), Jakaya Kikwete imekuwa na simulizi nyingi zinazogusa maisha yake, kubwa ni kutoka kwa mkewe, Mama Salma Kikwete. Wawili hawa ambao wapo kwenye ndoa kwa miaka kadhaa, walikutana kwa mara ya kwanza Wilaya ya Nachingwea...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mama Salma asimulia Kikwete alivyowateka mabinti!

    Dar es Salaam. Miaka 72 ya kuzaliwa kwa Rais wa awamu ya nne (2005-2015), Jakaya Kikwete imekuwa na simulizi nyingi zinazogusa maisha yake, kubwa ni kutoka kwa mkewe, Mama Salma Kikwete. Wawili hawa ambao wapo kwenye ndoa kwa miaka kadhaa, walikutana kwa mara ya kwanza Wilaya ya Nachingwea...
  12. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Sina undugu na Membe

    Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amefafanua ukaribu wake na Mwanasiasa Benard Membe akieleza kuwa hana undugu naye kama ambavyo wengi wanazungumza CHANZO: Mwanachi Instagram -- Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amefafanua ukaribu wake na mwanasiasa Benard Membe akieleza kuwa hana undugu naye kama...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Kikwete afunguka yaliyojiri CCM mpaka Hayati Magufuli akapeperusha bendera ya CCM

    Mtangazaji: Watanzania wangetamani kusikia kutoka kwenye kinywa chako, nini ambacho kilitokea mwaka 2015? Matarajio ya wengi yalikuwa Benard Membe na Edward Lowassa, mmoja rafiki yako, mmoja ndugu yako ukiwaandaa wote kuwa marais lakini matokeo yakaja tofauti kabisa ambayo wengi hawakutarajia...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Mwaka 95 walinishauri tuunde chama, nikawaambia hatutakuwa registered na Serikali

    Rais wa awamu ya nne leo akiongea na kituo cha redio cha Clouds FM kwenye kutimiza miaka 72 tangu aje duniani, ameongelea uchaguzi wa ndani ya chama cha CCM mwaka 1995. Kikwete amesema baada ya Benjamin Mkapa kuteuliwa na CCM, watu waliokuwa upande wa Jakaya Kikwete walipandwa na Jazba akiwemo...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Mchakato wa Katiba Mpya niliufanya ikabaki kura ya maoni, kazi kwenu

    Ameyasema hayo leo akitimiza miaka 72. Rais mstaafu Jakaya Kikwete akihojiwa na clouds Media Group ktk kutimiza kwake miaka 72, amegusia Katiba Mpya. Amesema ameasisi Mchakato wa Katiba Mpya kwa kuunda tume ya maoni ya Warioba na baadaye Bunge la Katiba. Rasimu ilipatikana na ikabaki kura ya...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete atahadharisha wanaokwamisha Serikali

    Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete, ametahadharisha ya watu wanaokwamisha uwepo wa baadhi juhudi za Serikali katika taasisi nyeti za umma zinazohusika na masuala ya biashara na uwekezaji. Dk. Kikwete amesema ufanyaji kazi kwa mazoea, udokozi, ufinyu wa utafiti, ubora hafifu wa bidhaa ni masuala...
  17. Bususwa

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Mzee Jakaya Kikwete

    Leo 07.10.2022 Mzee Jakaya Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya Nne Nchini Tanzania anatimiza miaka 72! Je, unakumbuka yapi toka kwenye uongozi wake? Tumtakie maisha mema na yenye baraka tele!
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mkapa aliamini kwenye Vetting, Kikwete Vetting na uswahiba, Magufuli uzandiki na uchawa, Rais Samia...

    Niko na mzee wangu aliyefanya kazi serikalini kwa muda mrefu sana. Ananiambia Marehemu Mzee Mkapa kwenye teuzi zake aliangalia sana Vetting uliyofanyiwa inasemaje hasa kwenye uwezo wako kikazi, na Mambo ya msingi tu. Kwa kikwete yeye alimix Vetting inasemaje na uswahiba Kwa magufuli hapa...
  19. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, Raisi Mstaafu aliyejaaliwa hekima nyingi

    Wasalamu wana JF, Wakati tukimaliza matanga ya bibi yetu Elizabeth, nimetafakari sana mienendo ya viongozi wetu hapa Tanzania. Hakika, Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na madhaifu yake ni mtu mwenye hekima nyingi. Huyu mzee alitufumbua kuhusu kuchanganya akili za kuambiwa na za kwetu. Hali...
  20. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Safari za Kikwete hugharamiwa na nani?!

    Hizo safari za kila uchwao za Kikwete toka alipo staafu u Rais hugharamiwa na nani?
Back
Top Bottom