kikwete

  1. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete tarehe 11/12/2012 alifungua jengo la hosipitali Mbagala Zakhiem, leo limechakaa

    Jengo la hospitali ya Mbagala Zakhiem lilifunguliwa na Rais Kikwete Desemba 2012, leo hii jengo hilo halifai kwa matumizi kwani lina nyufa nyingi sana, kwa ujumla limechakaa kupita kiasi likiwa na umri wa miaka 10 tu! Je, haya majengo ya Serikali hukaguliwa kila hatua ya ujenzi na mamlaka husika?
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Dola ya marekani inaanguka katika mikono ya Biden kama ccm ilivyotaka kuanguka 2015 katika mikono ya Kikwete

    Salama wandugu, Ikumbukwe Kwanza kwa Nini Dola ya marekani ina nguvu katika biashara ya kimataifa, Katika ajenda za muasisi wa Taifa la marekani George Washington ya Kwanza ilikuwa kuifanya Dola kuwa na nguvu duniani yaani hata Kama wewe unataka kuuza viazi mbatata katika soko la dunia utauza...
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Physiotherapist Officer II - 2 post at Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI)

    PHYSIOTHERAPIST OFFICERS II – 2 POST EMPLOYER Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-09 2022-07-22 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To contribute ideas to primary and secondary prevention of functional disabilities; ii.To identify predisposing...
  4. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Assistant Nursing Officer II - 10 post at Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI)

    POST ASSISTANT NURSING OFFICER II – 10 POST EMPLOYER Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-09 2022-07-22 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To assess patients’ conditions and identify their needs; ii.To ensure treatments are carried out as prescribed...
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Medical Specialist II - 12 post at Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI)

    MEDICAL SPECIALIST II – 12 POST EMPLOYER Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-09 2022-07-22 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To provide routine specialized medical services for in-patients and out patients; ii.To supervise ward rounds and advice on...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Medical Officer II - 8 Post at Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI)

    POST MEDICAL OFFICER II – 8 POST EMPLOYER Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-09 2022-07-22 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To perform Medical duties; ii.To perform daily ward rounds with specialists on call and prepare patients case notes...
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Health Laboratory Technologist II - 4 post at Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI)

    POST HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II – 4 POST EMPLOYER Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) APPLICATION TIMELINE: 2022-07-09 2022-07-22 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To prepare re-agents for routine examination of patients; ii.To carry out diagnostic procedures as advised...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa TZS Bilioni 600 Ujenzi wa Hospitali ya Muhimbili mpya

    KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA AFANYA ZIARA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI. KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo akiwa...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua kuna Fupa Fulani la Dhulma kwa Watanzania, Liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Jee Mama Samia Ataliweza Fupa Hili?.

    Wanabodi, Karibu Makala yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" Jumapili ya Leo Hii ni makala mwendelezo ilianzia hapa Je, jicho la Rais Samia litauangazia Ubatili huu ndani ya Katiba yetu unaopora Haki ya Msingi, uliochomekewa kibatili ili kuuhalalisha? Kama kawaida yangu, kila Jumapili, huibuka na...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania The Oman Connection: Kikwete in 2012 and Samia in 2022

    Salaam wakuu, Tuachane na habari za Ngorongoro huko Loliondo kwa muda kidogo. Kuna hizi picha mbili za Kisiasa. Baada ya Miaka 10, Sehemu alipopigia Picha Kikwete ndipo Kapigia Picha Rais Samia. Wote Wamefanya ziara kwa Siku 3. Pia soma: 1. Mwarabu wa Loliondo: Challenge to TCRA 2...
  11. idoyo

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliipaisha Tanzania Afrika Mashariki, Mwinyi akaporomosha; Mkapa akaipaisha tena, Kikwete akaiporomosha tena

    .
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania DRC: Wanajeshi walinda amani wa Tanzania wajeruhiwa katika mapigano na M23

    M 23 imewajeruhi wanajeshi wetu huko Kivu ya Kaskazini. Ifahamike m23 ni wahuni wanaoungwa mkono na Serikali ya Kigali na ikumbukwe wahuni hao m23 kipindi cha Kikwete tuliwatwanga hali iliyopelekea mgogoro mkubwa wa kidipromasia baina ya Serikali ya Kikwete na Serikali ya Kigali. Sasa baada ya...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Uchifu ulishakufa"

    Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Yarabi Toba" Enzi za utawala wake:
  14. Eric Cartman

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete weka mipaka kwenye urafiki

    Hivi mnajua Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mapungufu yake ya uraisi ni baba bora. Huyu mzee kwa nafasi yake amelea watoto zake kwa kuwapa fikra za kujitegemea. Jukumu lake amewawezesha kufikia malengo yao kama mzazi mwingine yeyote wajitegemee bila ya yeye. Sasa mtoto ambae utajiri wake...
  15. Amaru

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Kikwete aliwaombea Jairo na January Makamba mafunzo US

    JK made a personal request to ambassador retzer for a management training of his closest aides, named january makamba and david jairo. This is why he hesitated remolving him from office. .and Requests Capacity-Building for State House Staff ---------------------------------------------...
  16. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Samahani Mzee kikwete wewe ni wa mwaka gani??

  17. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje hadi Wachina wakampa Rais Kikwete Uprofesa wa heshima?

    Je Wachina walikuwa wanatafuta kitu gani hapa ? ? ? Maisha yangu yote ya academia sijawahi kusikia kitu kinaitwa honorary professorship!
  18. Mystery

    JamiiForums Tanzania Mama Salma Kikwete, kutaka wake wa viongozi wakuu wapewe pension ni kumkufuru Mungu!

    Kwa kweli nilishtushwa Sana niliposikia mama Salma Kikwete, akilitumia Bunge la Jamhuri ya Tanzania, badala ya kuongelea Shida za watu wa Jimbo lake la Mchinga, anaongelea mambo yake binafsi. Eti anataka yeye kama mke wa Rais mstaafu, naye alipwe pension! Hivi hawa viongozi wa CCM wanatuonaje...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CCM inakufa mikononi mwa Kikwete, utabiri unatimia

    Huu utabiri ulitabiriwa miaka ya 2010-2015 wakati Jakaya Kikwete akiwa Rais na ufisadi, uzembe na upendeleo usio na tija uliposhika uskani na kusababisha CCM kuchukiwa na wananchi. Yamejirudia yaleyale na CCM hii ipo mikononi mwa ... Na inaenda kufa kama walivyotabiri wahenga.
  20. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kisiasa Kikwete kazidiwa na Uhuru Kenyata

    Wengi wetu huamini Kikwete ni master wa siasa uchwara jambo ambalo si kweli! Kwanini; Unamfahamu mwamba mmoja anaitwa Uhuru Kenyatta? Uhuru mwaka huu ndiye atadhihirisha umwamba wake wa siasa za East Africa. Rejea Lowasa na Kikwete na utakuwa upo nyuma ya wakati ukifikiri urafiki wa ghafla...
Back
Top Bottom