kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Swahili_Patriot

    Zaidi ya %80 ya watanzania hawajafika chuo kikuu?

    Tukitumia evidence ya maoni ya WATANZANIA kwenye threads za Jamii forums na social platforms nyingine kama Facebook, IG nk, ni dhahiri kuwa Tanzania kama taifa, inabidi tubadilishiwe mfumo wetu wa elimu na tununue nguvu kazi kutoka nchi zilizopiga hatua kielimu waje kufundisha kwenye shule zetu...
  2. conductor

    Mzumbe University, Mwalimu anapewa kazi ya kwenda ku-assess wanafunzi field lakini halipwi

    Staff na alumni wenzangu hili vipi? Tutumie nyenzo ipi kueleweka? Kwanini basi VCs kwenye vyuo hawalalamiki hali ya vyuo vya serikali sasa hivi?! Acha niongelee chuo kinachonihusu. Mzumbe University. Mwalimu anapewa kazi ya kwenda ku assess wanafunzi field, ratiba ikimtaka kuwa eneo la tukio...
  3. F

    Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

    Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250 Tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu degree ya udaktari Kairuki Is it worth it ?
  4. didy muhenga

    Chuo kikuu Ardhi na adha ya maji

    Chuo kikuu Ardhi Dar es salaam kuna changamoto kubwa ya maji ambayo hayatoki katika hostel za kike na kiume. Wanawake wanateseka sana wanaingia siku zao lakini maji hakuna na waziri anajitahid kufuatilia changamoto inakua ni kwa wakubwa kutekeleza. Hostel za wanaume Zina wakazi zaidi ya 300 na...
  5. Nsanzagee

    PreGE2025 Kwa kuwa CHADEMA ndio chama kikuu, nashauri kampeni zake ziwe kama za Kiinjilisiti

    Mimi nikiwa namba moja wa kujitolea kufanya kampeni hizo za kiinjilisiti, ambapo zitakuwa za nyumba hadi nyumba, mtu hadi mtu Kampeni aina hiii huvuna wanachama kwa wingi, na uhakika wa kuwafikia wananchi wengi na kwa haraka zaidi, CCM anachapika vizuri mno na chepesi zaidi, ukweli ni kwamba...
  6. Jamii Opportunities

    Fursa ya Masomo ngazi ya Umahiri Chuo Kikuu Tsukuba Japan, 2024

    TAARISA YA FURSA YA MASOMO NGAZI YA UMAHIRI, PROGRAMU YA SERA YA UMMA NA UCHUMI KATIKA CHUO KIKUU TSUKUBA NCHINI JAPAN Ubalozi umepokea taarifa kutoka Chuo Kikuu Tsukuba kilichopo nchini Japan kuhusu fursa za mazomo ngazi ya Umahiri, Programu ya Sera ya Umma na Uchumi kwa Mwaka wa Masomo 2024 –...
  7. BAKIIF Islamic

    Elimu ya dini iwekewe mkazo mashuleni na iwe ni somo la lazima kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu

    Maadili hutoa maana au muundo dhahiri wa maisha ya mwanaadamu, Maadili ni kanuni fulani za msingi ambazo zinapaswa kushikiliwa katika maisha. Maisha ya kuishi bila maadili hatimaye mtu ataishia kuhisi kutoridhika, kuhisi mwenye hatia na huzuni. Kama mtoto asipolelewa bila sheria ni haraka zaidi...
  8. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 MNEC ASAS Achangia Shilingi Milioni 15 Ujenzi wa Bweni la Chuo Kikuu cha Iringa

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduz (MNEC) na Mfanyabiashara wa Makampuni ya ASAS, Salim Abri Asas amechangia zaidi ya Tsh. milioni 15 kwa ajili ya ujenzi wa bweni la Wanafunzi wa Chuko Kikuu cha Iringa lenye uwezo wa kuchukua Wanafunzi zaidi ya 40 kama sehemu ya kuunga mkono...
  9. Nyani Ngabu

    Rais wa Harvard University ajiuzulu kutokana na Plagiarism iliyobainika kwenye machapisho yake

    Hii ni baada ya kugundulika kuwa kwenye baadhi ya machapisho yake, alinyakua maandiko ya wengine bila kuweka bayana alikoyatoa, na hivyo kuleta taswira ya uongo kwamba ni maneno yake [plagiarism]. Haya yote yalijitokeza baada ya yeye Bi. Gay na marais wengine wawili wa vyuo vya Ivy League...
  10. M

    Yanga kumsajili Okrah ni sawa na kuweka kiraka kikuu kwenye nguo mpya!

    Ni suala la muda tu itakapodhihirika kuwa walichokifanya ni sawa na kuweka kiraka kikukuu kwenye nguo mpya! Ni hayo hayo Bernard Morrison! Soka la kisasa nidhamu inapewa kipau mbele kuliko kipaji!! Nidhamu mbovu huua kipaji na kuleta hasara kwa timu na mchezani, yetu macho!!
  11. Stuxnet

    Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

    Kipindi cha Ali Hassan Mwinyi, Aga Khan alikuja nchini kwa mara ya kwanza baada ya kutokanyaga ardhi ya Tanzania kwa miaka 20. Kwa maneno ya Mohamed Said Aga Khan aliitisha mkutano wa Waislamu ambao una mchanganyiko wa BAKWATA na wawakilishi wa iliyokuwa EAMWS. Na kwenye mkutano huo HAKUKUWA na...
  12. Roving Journalist

    Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA), leo Desemba 28, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) leo tarehe 28 Desemba, 2023, Zanzibar. https://www.youtube.com/live/3ojgVNt8bpA?si=ipW9NnuOK_nJzT1c Mhe. Rais Samia...
  13. Kindeena

    Nape Mosses Nnauye ni mwanafunzi halali wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

  14. Erythrocyte

    Tuhuma za elimu ya Nape Nnauye yakiamsha Chuo Kikuu Huria

    Taarifa ya Chuo hicho hii hapa
  15. peno hasegawa

    Chuo Kikuu Huria (OUT), mnatakatisha vyeti vya wanasiasa?

    Mkuu wa chuo, Mizengo Pinda, Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Joseph Kuzilwa, heshima yenu wakubwa. Prof. Elifas Tozo Bisanda, Professor of Mechanical Engineering. Mbobezi katika renewable energy. Tafiti kuhusu...
  16. F

    Sensa ya kwenye elimu ya chuo kikuu ila hawana ajira ikifanyika. Results zitabadili mtazamo wa wazazi kulipa ada mamilioni

    Habari wadau. Najaribu kuwaza ikitokea sensa ya wenye elimu ya chuo kikuu ila hawana ajira ikafanyika. Mtazamo wa wazazi juu ya elimu utabadilika sana. Kwa hali ya ajira ilivyo,,Ada za mamilioni tunazolipia watoto wetu ni bora tuwanunulie mashamba, mifugo, kuwajengea vyumba vya kupangisha etc...
  17. L

    Sintofahamu ya siasa za ndani nchini Marekani ni chanzo kikuu cha wasiwasi wa uhusiano wa China na Marekani katika siku zijazo

    Mwelekeo wa uhusiano kati ya China na Marekani umewekwa wazi katika masuala ya kulegeza, kutuliza na kurejesha uhusiano huo. Jamii ya kimataifa ina matumaini kuwa, uhusiano kati ya nchi hizi mbili kubwa kiuchumi duniani utatulia, na utasonga mbele badala ya kurudi nyuma, kwani utulivu wa...
  18. MK254

    Israel walipua chuo kikuu cha Al-Azhar University kule Gaza maana kilitumiwa na magaidi

    Hamna kinaacho achwa, Gaza itakua shamba.... The IDF says troops of the Combat Engineering Corps’ 749th Reserve Battalion destroyed buildings containing Hamas infrastructure at Gaza City’s Al-Azhar University. According to the IDF, on the university campus, troops found a tunnel entrance that...
  19. pefla

    Elimu ilifia Chuo Kikuu au ilizikwa chuo kikuu?

    ELIMU ILIFIA CHUO KIKUU au ILIZIKWA CHUO KIKUU? Imeandikwa na ASKOFU BAGONZA Mzee Jenerali Ulimwengu kasema vyuo vikuu vyetu ni kama Extended High School. Anayebishi anitafute. Sababu ni nyingi kama idadi ya wajinga wetu waliosoma vyuo vikuu. 1. Tulipokuwa na Chuo Kikuu kimoja, tulifuta...
  20. encyclopaedia Tanzaree

    KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

    Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa. Wanachuo wanateseka na adha ya ukosefu wa maji hivyo kuathiri ufanisi katika ujifunzaji. Kibaya zaidi hata vijana waliojiajiri kuwasambazia maji wanachuo wamezuiwa kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi, kwani...
Back
Top Bottom