kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watoto wa kiume wanatumia taulo za kike kupitisha vilevi kwa njia ya haja kubwa

    Duuh nimeona hii taarifa nimeshtuka Sana na kusikitika.... Ama kweli duniani inaelekea ukingoni Source:EFM (Joto la asubuhi )
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume akiwa star anatamani muonekano na hulka za jinsia ya kike

    Shalom, Inakuawaje mwanaume anapojiona ni star katika fani mfano music, football, movie, Djs na etc hutumia muda mwingi kujibrand na muonekano wa kike mfano nywele, hereni, kujichubua, vipini, kusuka nywele na etc. Je, wanajukwaa tatizo ni nini ama chachu yake nini. Ni hayo tu Wadiz
  3. JamiiForums Tanzania Simba wameingia cha kike coastal union mangushi wana wali ng'ombe hawajawahi kushindwa kesi ya usajili!

    Simba wajipange kama wamefanya ujanja ujanja kutaka kutangaza mke kabla ya kumlipia mahari wala kutambulika rasmi,tangu dahali na dahali coastal union hawajawahi shindwa kesi wamuulize Aden Rage aliwahi kuifungia na kusema ameifuta kwenye kwenye vitabu vy FAT.kama wamejipanga waende watakako...
  4. JamiiForums Tanzania Ameota anafanya mapenzi na boss wake wa kike. Je, ina tafsiri gani?

    Shalom, Naripoti toka Dodoma City Kisa kiko hivi huyu msela wangu ni mtu smart, mpole, na mwelevu kiasi, elimu yake ya kawaida, hana maneno mengi, anaishi maisha ya kawaida kabisa. Anasilimulia kuwa ana boss wa kike ofisni na yupo ngazi ya juu kidogo kwa maana sio boss wake wa uwajibikaji wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nafasi ya madaktari kike na wahudumu wa kike hukatika katika utoaji wa huduma za afya

    Serikali inapaswa kuongeza idadi wa madaktari wa kike ,ili Wawa hudumie Wana wake pale wanapofika hospitalini. Kufanya hivyo kutapunguza unyanyasaji wa kijinsia na kuongeza ufanisi wa kazi. Kwani ni vyema mwanamke akihudimiwa na mwanamke mwenzie ,hasa pale mgonjwa anapotakiwa kupata...
  6. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kama kondomu ni BURE!! kwanini isiwe kwa pedi?(taulo za kike)?

    Nchini Tanzania, serikali inatoa kondomu bure ili kuhamasisha ngono salama na kupambana na kuenea kwa virusi vya UKIMWI. Hata hivyo, hedhi, ambayo ni hali ya kibiolojia isiyoepukika kwa wanawake na wasichana, mara nyingi haipati msaada sawa. Hii imekuwa ikiniacha nikijiuliza, ikiwa kondomu...
  7. JamiiForums Tanzania Mbinu rahisi za kuwafikia wateja wa kike ni zipi?

    Mimi na biashara yangu ya viatu vya shule, wateja wengi ni wamama wenye watoto mashuleni. Sasa nawaza nitumie mbinu gani ili wamama wengi wanijue au waone biashara yangu.. wenye mbinu tafadhali nisaidieni. Na Mungu atawabariki.
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kuna msanii wa kike kwa sasa mwenye sauti tamu kuzidi ya haka ka kuitwa Yammy?

    Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za haka karembo duuh, kasauti kana chombeza aisee. Huyu dada anae sauti.
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Neno tusi ni sumu ya malezi na makuzi ya mtoto wa kike na kiume

    Familia nyingi za sasa na walezi wengi wa sasa, wamekuwa ni sehemu ya kusababisha mengi mabaya ya jamii hii ya leo hususani katika malezi na makuzi ya watoto wa kike na wa kiume. Neno kusema hili ni tusi na kuacha kuzungumza ama kumuelekeza mtoto husika imefanya watoto kukutana nayo wenyewe na...
  10. JamiiForums Tanzania Tafadhali aliye na namba za hawa Watangazaji wa Kike wa Kipindi kilichopo Hewani sasa EA Radio awapigie na awape huu Ujumbe wangu kwa Lawama zao Kwetu

    Kwa atakayewapigia anifikishie huu ujumbe wangu muhimu Kwao kwani nawasikia tokea wameanza Kipindi chao leo ( ambacho huwa kinaanza Saa 3 Asubuhi hadi Saa 6 Mchana ) ni kama vile ama Wametendwa na Wapenzi wao au wana Hasira ( Usununu ) na Sisi Wanaume kuwa tunawapa Mimba Wanawake na Kukimbia...
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupambana na ushoga kwa kutunga sheria kali zinazo zuia mavazi ya kike kuvaliwa na Wanaume na Wanaume kuigiza kama Wanawake

    Mhe. Dr. Gwajima, Dkt. Gwajima D Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mheshimiwa Waziri, Kwa heshima na taadhima, ninakuletea maoni yangu kuhusu jinsi ya kupambana na suala la ushoga katika jamii yetu. Naamini kuwa moja ya njia muhimu za kukabiliana na tatizo hili...
  12. JamiiForums Tanzania Jamii imewatelekeza vijana wa kiume na kuweka nguvu kubwa kwa upande wa kike

    Ukweli inatakiwa usemwe wazi kwamba leo hii jamii imesahau kabisa kuhusu mtoto wakiume ikiamini anaweza kujipambania bila hata ya kupata msaada kutoka kwa jamii inayo mzunguka. Ni wazi kwamba Taifa lijiandae kupambana na kumuinua kijana wa kiume ifikapo 2030+ Kwasababu leo hii jamiii yetu...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

    Salamu kamsalimie waziri wa Afya. Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii. Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/= Inakuwaje mama mjamzito akijifungua mtoto wa kike atoe kiasi Cha pesa Tsh 15,000/= na akijifungua mtoto...
  14. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje juu ya wanaume kuvaa mavazi ya kike hasa kwenye sanaa

    Kuna sanaa za maigizo tunaziona huko mitandao ya kijamii wanaume wakivaa mavazi ya kike nakuigiza uhusika wa wanawake. Hili limezidi kuenea na sasa kuhamia upande wa television now tunawaona mbele ya familia zetu mbele ya watoto wetu tena huko kwenye tv kimeniuma zaidi. Kuna joti kiboga wa...
  15. JamiiForums Tanzania Watoto wa kike wanaokosa malezi ya baba wapo hatarini kuanza matendo ya ndoa katika umri mdogo na kupelekea mimba za utotoni

    WATOTO WA KIKE WANAOKOSA MALEZI YA BABA WAPO HATARINI KUANZA MATENDO YA NDOA KATIKA UMRI MDOGO NA KUPELEKEA MIMBA ZA UTOTONI Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali inaonyesha kwamba mtoto anayekosa malezi ya baba anakuwa hatarini kupata mimba za utotoni...
  16. JamiiForums Tanzania Umasikini wazidisha biashara katili ya kuuza watoto wa kike Afghanistan

    Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza viatu vya ngozi (Sandals) vya kiume na kike kwa bei nafuu.

    Viatu ni vizuri na imara sana. Bei: 12,000 tu Napatikana Dsm Segerea mwisho. Ukihitaji huduma ya delivery utaletewa kwa gharama zako. Mikoani pia utatumiwa kwa gharama zako.
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike..

    Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi. Umri wangu miaka 26 Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4. Natafuta rafiki wa kike, Comment vizuri nikufate PM Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik mchangamfu. Weekend ya leo Nipo kinyonge sana.
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini vimbunga vingi vina majina ya kike?

    Katika hali ya kufikirisha kumekuwa na mtiririko wa vimbunga vingi kupewa majina ya kike, mbali na Hidaya kuna Katarina, Idai, Elida, Genevieve, Emilia, ingawa vipo kadhaa vyenye majina ya kiume na visivyo na jinsi kama jobo, erick, keneth na mengineyo. Inafikirisha kwa kweli.
  20. JamiiForums Tanzania Hivi umewahi add rafiki facebook hasa wa jinsia ya kike na ukakutana na hili?

    Wadau hivi umewahi add rafiki wa kike Facebook kutokana na ile friends suggestions halafu ukaja kushangaa kwenye story pale juu katika profile yako unamuona huyo rafiki kaweka story yenye viashiria vya ngono? Huwa unaendelea naye kama friend au unamtoa fasta? Jana nime mu add dada mmoja, aisee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…