kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hamas wametoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye vita Gaza

    Wanaukumbi. Hamas ilitoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye uwanja wa mapambano Gaza. Walisimamia machapisho ya uchunguzi ambapo waliendesha bunduki za mashine zinazodhibitiwa kwa mbali. Walikamatwa baada ya kambi yao ya kijeshi kuzidiwa na wapiganaji wa Hamas, na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

    Tulitarajia waimabji wa gospel waishi maisha ya kumpendeza Mungu (maisha ya kiuokovu). Lkn cha ajabu ni wahuni kama wahuni wengine tu. Gospel ni kichaka tu cha kufichia hulka zao za kiuasherati. Wafuatao ni baadhi ya waibaji wa gospel wa kike waliovunja ndoa zao baada ya kupata umaarufu:- 1...
  3. JamiiForums Tanzania Hii Midoli inayovalishwa Nguo za ndani za Kike na kusimamishwa hadharani inawaaibisha wanawake na mama zetu!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza Boxing day ipite,la sivyo utaambulia Pilau kavu lisilokuwa na nyama! Leo nilikuwa na wazazi wangu wa kike nilikuwa nawapeleka mahali fulani,sasa mahali nilipokuwa nawapeleka jirani ya huyo mtu aliyepaswa wakaonane nae kulikuwa na duka la nguo za ndani (Lingerie)...
  4. JamiiForums Tanzania Madee my brother, pole sana kwa issue ya picha mbaya za binti yako

    Juzi niliandika Uzi hapa nikisema Mtoto wa kike anakuwaga mzuri sana kwa baba akiwa bado hajavunga ungo ila akisha vunja ungo anakuwa an alien to her daddy. Watoto wadogo waliniponda lakini watu wazima walikubaliana na nilicho kiandika. Hazijapita hata siku mbili tumeyaona ya mtoto wa Madee...
  5. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

    Akisha vunja ungo she will become a stranger to you. Utabaki unashangaa na kujiuliza, hivi huyu ndio binti yangu yule yule alie kuwaga ananisikiliza na kunitii kwa kila jambo alipokuwa na miaka 10-12 au ni nini hiki? Na hapo ndipo utajua kwanini North na South huombana msamaha kila siku...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Sijajua kwanini inakuwa changamoto kwangu kupata platonic female friends (marafiki wa kike)

    Hi, ninavomaanisha platonic female friends namaanisha marafiki wa kike ambao sijawahi kuwatongoza, sijawahi kutembea nao, na sina mpango wa kuja kuwatongoza au kutembea nao. Utakuta nakutana na mdada naipenda personality yake, nachukua namba yake, naamua kumfanya rafiki wa jinsia tofauti kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mnaowalea watoto wa kike bila kuwafundisha kazi za nyumbani mnawaandalia mazingira gani wakiwa wakubwa?

    Ni siku ya leo nimekumbuka nikiwa kwenye mahusiano hapo miaka ya 2015 na binti moja mrembo, mapenzi yalinoga sana lakini baada yakuanza kuishi nae niliona mapungufu mengi sana, la kwanza kabisa alikuwa hajui kupika yani ugali sometimes unakuwa mbichi halafu hata hajishughulishi kuongeza mboga za...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Kama wazazi tumejenga mazoea na watoto wetu wa kike namna hii, tutawaacha salama kweli!?

    Aisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Zuchu ndio supastaa wa kike namba moja kwa sasa Tanzania

    Kuna wakati ni busara kuukubali ukweli hata kama unakuumiza. Zuchu ndio supastaa namba moja Tanzania kwa wanawake. Ndio mwanamke very powerful na mwenye ushawishi zaidi ya wote ukimtoa Rais. Kingine ndio demu wa Diamond Platnumz hata kama kuna watu wanaumia wanamshambulia sana haswa wanawake...
  10. JamiiForums Tanzania Rafiki wa kike muislamu

    Hellow love connects
  11. JamiiForums Tanzania Nimekataa na nitaendelea kukataa kuchomwa sindano ya kalio na wauguzi wa kike wadogo kiumri

    Sekta ya Afya inabidi ijitafakari sana, ebu fikiria yaani mimi kama mimi baharia Wadiz nichomwe sindano na kabinti kadogo ka nurse umri 20 yrs, hivi hii ni haki hako kamanzi ka hio age kanishike tako, hio hapana, it can't be. I think age has to be customized with service delivery, huyo nurse...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ni kama ile ya Salma Kikwete kuwaambia wanafunzi wa kike wasikubali kudanganywa na vichipsi

    Hakuna kosa la ukahaba. Wale wanawake waachiwe watafute pesa wanavyojua. Ni kosa mtu mwenye hela nyingi kuwashangaa wanawake wanaofanya ukahaba. Dini ya Kikristu haikatazi haya mambo. Unakumbuka Papa Francis alifanya mkutano na wauza vipodozi. No kidding! Papa alifanya mkutano na wauza...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini iPhone zimekaa kikike kike?

    Mara ya kwanza nilidhani iPhone ni simu za watu wenye ujiko hivi au hadhi fulani. Lakini baadaye nikagundua iPhone zimekaa kidada dada, hata wanaomiliki wengi wao ni kama wana mikogo ya kujishebedua kuliko kuzingatia matumizi halisi ya simu husika. Wanakwambia ati wanataka SECURITY, mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Kiukweli, sio upendeleo au mapenzi, ila huyu ndie msanii bora wa kike hapa Tanzania

    Kuna kitu special kilichopo ndani ya huyu mdada. Despite na uigizaji na uandaji mbovu wa filamu bongo lakini unapokutana na huyu mtu hata kama umekosea chaneli lazima utafurahishwa na uigizaji wake.
  15. JamiiForums Tanzania Nimeingia cha kike nimeuziwa kitu ambacho siyo "spray". Je, ni nini hiki?

    Nilienda shop nikakutana na hii kitu nikamuuliza muuza duka ni mdogo tu (wa kiume) nazani kawekwa hapo shop kama mfanyakazi nikanogewa na ili kopo nikamuuliza kwani hii ni spray akaniambia ndio nikanusa juu ya kizibo nikaona inanukia poa bei sh elfu sita. Jana kulikuwa na pati somewhere nikavaa...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

    Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu. Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Baada kupiga show na mtoto wa kike ni ishara gani utaona ujue kweli umemfikisha kunakotakiwa

    Mara nyingi tunakutana na watoto wa kike majumbani mwetu au hata katika nyumba za kulala wageni hivi utajuaje kweli umemfikisha inavotakiwa
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Ntate: Wazazi Kuweni Makini na Malezi Hasa ya Watoto wa Kike

    Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate amewaasa wazazi na walezi kuwa makini na malezi ya watoto hasa watoto wa kike kwa kuwa watoto hao wapo hatarini sana kutokana na kukumbana na vishawishi vya kila aina tofauti...
  19. JamiiForums Tanzania Janeth Rithe: Siku ya Mtoto wa Kike, Ukatili kwa Wasichana ni Kikwazo

    Siku ya mtoto wa kike, ukatili dhidi ya wasichana ni kikwazo Leo ni siku ya Kimataifa ya mtoto wa kike Duniani, siku hii ilianzishwa mahususi katika kutambua haki na changamoto wanazopitia watoto wa kike. Hapa nchini Tanzania tunaona bado watoto wa kike wanakabiliwa na changamoto nyingi sana...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri! Mwanangu wa kike kaniambia Mambo yaliyonichanganya sana

    Naombeni ushauri, namuokoa vipi mwanangu wa miaka minne na kumkinga katika Hali hiii. Ni hivi, Leo nilikuwa nyumbani, na toka asubuhi nilikuwa nae nikicheza nae . Sasa katika ongea ongea kaniambia Jambo lililonishtua kidogo. Ameniambia watoto wadogo wawili wa pale mtaani wamedakana. Na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…