kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Elimu na harakati za kijana

    Elimu ni muhimu Sana ndiyo kauli ambayo ipo katika vichwa vya watu wengi ikiwemo watanzania Ili elimu iwe na Tija kwa kijana ni pale anapoitumia elimu yake katika harakati anazifanya kila siku. Kwa Sasa elimu ya Tanzania inapoteza sofa ya kuwa na uzito uke uliokuwepo mwanzo. Chanzo:Google...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askari amlawiti kijana kwa kutovaa barakoa

    John Ouko askari Polisi wa Kenya anatuhumiwa kumlawiti kijana wa miaka 20 ambaye alimkamata kwa kosa la kutovaa barakoa. Kijana huyo aliripoti katika kituo cha polisi cha Langas kuwa alikamatwa lakini badala ya kupelekwa rumande askari huyo alimfunga pingu na kumpeleka nyumbani kwake ambapo ni...
  3. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz mali anazotambia akizigeuza fursa atakuwa bilionea wa kwanza kijana Afrika

    Na Andrew Chale(MNGONI ORG) Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ambaye kwa sasa amekuwa akizidi idadi kubwa ya mashabiki amekuwa ndo msanii anayezungumziwa kila kukicha kufuatia kupost vitu vya kifahari. Msanii Diamond amekuwa akipost magari na majumba pamoja na...
  4. JamiiForums Tanzania Mitaala inayoelezea safari za Carl Peters inasaidiaje kijana wa Kitanzania?

    Hivi mnaosoma somo la historia kwa sasa bado mnafundishwa kuhusu safari za carl peters?? Is this the history we praise and teach?
  5. JamiiForums Tanzania Shades of Magufuli - Kazi nzuri toka kwa kijana Mzalendo

    Sanaa nzuri kabisaa toka kwa Kijana mzalendo kabisa wa kitanzania Mwamba Tanzania, shujaa wa Afrika na Rais wa karne Endelea kupumzika kwa amani President John Pombe Magufuli 🕊🙏
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Kijana yeyote mwenye uhitaji wa kazi hii tafadhali nicheki

    Okay Kwema Wakuu Mi ninacho amini hali zetu haziko sawa katika haya maisha na wapo tuliotoka familia duni au tunaishi kwa rafiki au hata ndugu kwa masimango na manyanyaso makubwa. Mbali zaidi wapo wanaotakwa Kingono ili wapewe kazi kwa hawa kina dada zetu na kina kaka siku hizi japo kwa uchache...
  7. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa amkimheshimu sana John Mnyika akimuona ni kijana smart sana

    Toka Mnyika ni Mbunge wakati huo JPM alikuw Wizara ya Ujenzi. Mara nyingi alipenda kuongea na Mnyika akiwa Mbunge na kuchukua hoja zake kuzifanyia kazi. Magufuli aligundua kuwa Mnyika alikuwa na uchungu hasa wa maendeleo ya watanzania. Na hili lilimfanya mara nyingi atamani Mnyika aje CCM. CDM...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kijana pambania ndoto yako, achana na maneno ya kukera

    Vijana mnaoanza maisha hakikisha ndoto yako inatimia mapema iwezekanavyo. Hawa wenza wetu wengi wamejaa maneno ya kukera na kukatisha tamaa sana. Niliwahi kupata demu yeye hataki nifanye mishe za kuingiza pesa (biashara) eti kwa sababu nakutana na wanawake.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nakulilia Ivon Njochanilo, Ulimwengu utasimama na Wewe

    Kijana IVO amefungwa Kifungo cha maisha Gerezani Ukonga kwa kesi ya Kulawiti: Criminal case (cc); 165/2020 Kuzaliwa na Vifo vya Wazazi Miaka 19 iliyopita katika kijiji cha Kifanya huko Mkoani Njombe kijana IVO alikuja duniani na kuiona dunia kwa mara ya kwanza, kwa bahati mbaya sana sana...
  10. JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania haimkomboi kijana zaidi ya kuendeleza ujinga

    HIZI NDIZO SABABU KUU MBILI ZINAZO SABABISHA UMASIKINI TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA 1: UDHAIFU WA ELIMU YETU Elimu yetu haijitosherezi wala haiendani na dunia tuliyo nayo leo tofauti na mataifa mengine kama Uingereza, Marekani, Canada n.k Mfano mwanafunzi Alie Soma kombi ya HGK/HGL/HKL kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ewe kijana wa kiume unapata wapi tabia na ujasiri wa kulala na mama yako mzazi?

    Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Sasa nina amini kwamba dunia imefika tamati. Hapa mtaani kuna jamaa mmoja umri unakadirika kati ya 34 - 39 hivi. Ameoa na kufanikiwa kubahatika kupata watoto 3 wote wakiwa wadogo Shule ya Msingi. Lakini kitu kilichonishangaza zaidi pamoja na kwamba jamaa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu juu ya kozi hii ya kijana wangu!

    Amechaguliwa kwenda kusomea kozi ya performing and visual arts (bado siajajua kama ni certificate au diploma. Mzazi mimi sina uelewa wowote wa masuala ya elimu, achilia mbali habari za vyuo na makozi yake. Kwa kozi kama hiyo, wadau naomba mnijuze na kunishauri; itamfanya awe nani? Msaada wake...
  13. JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Tuhuma dhidi ya Ole Sabaya zinaibuka mpya kila siku kadri uchunguzi unavyoendelea

    Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Takukuru kila siku tuhuma za Ole Sabaya zinazidi kuongezeka na ndio maana bado anashikiliwa na Takukuru. Sabaya na wenzake saba ambao alikuwa akishirikiana nao wanashikiliwa na Takukuru, Tuhuma zao nyingi ni za jinai. Kila siku Uchunguzi unavyoendelea ndio mambo...
  14. JamiiForums Tanzania Panapo kipato hakuna mwanamke mwenye dharau

    MWAKA 2019 JAMAA: Kaka Miyeyusho habari? Naitwa Nassoro, samahani naomba unishauri. Nina mchumba wangu nampenda ila yeye anipendi, mara kadhaa ameniambia tuachane ila nambembeleza tunarudiana. Ila sasa naona kawa kweli na maamuzi yake, wiki sasa kila nikimbembeleza ananiambia hanitaki. MIMI...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa tunaoona nje ya box, Ole Sabaya ni fagio la Wanaharakati uchwara mitandaoni na anguko la Mbowe

    Yaani hata darasani mwalimu hata ungefundishaji kuna wabafunzi vilaza ambao ukisema tisa wanasema sita yaani hawa huwa ni wanafunzi mbumbumbu wasiojielewa. Kuna kikundi kimeibuka kutunga uongo ambao ni vichaa tu wanaweza kuwaamini dhidi ya Sabaya. Yaani hawa watu wanashindwa kuelewa kabisa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kijana kachaguliwa Kozi ya Record Management

    Wadau naomba ushauri, kuna kijana wangu kapata division 3 yenye flat c tano za HGL, HGK atc lakini kachaguliwa kwenda Chuo cha Utumishi wa Umma cha Records Management-SINGIDA. Mnaushauri gani juu ya hii kozi- Fursa na mengineyo.
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta binti na kijana wa kiume tusaidiane kazi za Mgahawa

    UPDATE:- Asanteni Nyoote mlio onesha Nia na kuni connect na ndugu zenu. Bado nafanya maongezi, naimani waliojitokeza tukawasiliana wanatosha, kwa Sasa. Shukran Sana.
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania tumpigie kura Diamond kijana wetu

    Wadau tuache malumbano ambayo hayana tija ebu tujivunie cha kwetu Diamond ni mwanetu. Kijana wetu mdogo wetu mtanzania mwenzetu ebu tujivunie vya kwetu tofauti zetu tuweke pembení. Hakuna mtu asiyejua awa vijana maisha waliyotoka mpaka kufikia hapo kwa hiyo tusiwakatishe tamaa tuzidi kuwa nao...
  19. JamiiForums Tanzania Gari hii inafaa?

    Naomba wataalam mje hapa uimara wake uko vipi na mapungufu ya hii gani na vipi road Ina balance hata ukiwa kwa mwendo mkubwa?
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana wa kike, mzalendo anayesimamia ukarabat wa reli kilomita 217

    Duh! Akina dada wamechoka kutumiwa na za kutolea, wameamua kuongoza shughuli kwa mbele Eng. Veronica Nyambura (right) with Rift Valley Commander George Natembeya (cemter) on Monday, March 21, 2021. TWITTER For years, the engineering industry was considered a preserve for the male gender but...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…