kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa hizi tweets za mtoto wa Museveni ni viashiria vya wazi kuwa shirikisho la siasa ndani ya EAC ni ndoto

    Kwa kipindi tofauti tofauti Jumuiya hii ya Africa ya Mashariki imekuwa inakumbana na mambo ya Ajabu ajabu kutoka kwa viongozi Awali miaka ya 2005's -2010's Tilipitia kile kilichooitwa Coalition of Willingness ambapo hapa kidogo baadhi ya wana jumuiya walitaka kumtenga Tz, hatukukaa sawa...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

    Yaaani nimeshindwa kuelewa mshauri wa masuala ya usalama katika nchi analeta utoto kama huu duuh
  3. JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume usitumie nguvu nyingi katika kumtongoza mwanamke ambaye huna malengo naye na wala haeleweki ukiamini utambadilisha

    Usitumie nguvu kubwa sana katika kumtongoza mwanamke, unaweza ukamkosa ukapoteza mda wako. Ila unaweza ukampata ukapoteza mda na pesa zako. Usimtongoze mwanamke kwa mategemeo ya kumbadilisha ni kweli wapo wanawake ambao wanabadilishika ila kama mwanaume usifanye hiyo kazi utapoteza mda wako...
  4. JamiiForums Tanzania Kijana kama huna kazi, fanya hivi utapata haraka

    Simama pale posta,kariakoo na maeneo yenye foleni kubwa ya magari na bango lako nakuhakikishia hii style itakupa kazi fasta kuliko kulala ndani na kusubiri ugali wa shikamoo,kuna kipindi ikifika kwenye maisha hakuna kuogopa Chochote zaidi ya kujitoa tu
  5. JamiiForums Tanzania Imenisikitisha; nilimkosea sana huyu kijana miaka mingi iliyopita

    Siku kadhaa hapo nyuma nilikuwa ni mwalikwa katika kongamano fulani lililohusisha wizara na taasisi kadhaa za serikali katika hoteli moja hapa mjini. Muda wa breakfast, nikiwa nimeshakaa tayari kuanza kula ndipo kijana mmoja alivuta kiti na kukaa mezani na kutoa salamu, habari za siku kaka...
  6. JamiiForums Tanzania Kijana kama hujaoa kisa unatafuta mwanamke wa hivi. Basi hutooa kamwe na utakufa masikini

    HUYU NDIYE MWANAMKE HALISI WA KUOA 1. Mpenzi wako akija kwako na akakukuta unakula ugali na kachumbari na akaamua kula nawe..huyo muoe.... 2. Ukienda nae hotelini akaamua kuagiza ugali dagaa na maji tu...muoe anajua uchumi. 3. Mdada ambaye akimuona mkaka mwingine anaendesha Land cruiser na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Amka kijana, jitegemee

    Naamka asubui naangalia wallet yangu kitandani " dah! amna kitu, Mungu wangu nimekosa nini mimi?". Hii ilikuwa sentensi yangu kila siku nilipokuwa nikiamka na nililaani sana mfumo wa nchi hii kama kijana niliyesoma na mwenye Stahasha ya Biashara ya Uhasibu( B.A. BBA-Acoounting). Nililaumu...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Kijana Inuka

    KIJANA INUKA 1 Umekaliwa kitako, Kukwepa tamaa yako, Wewe na jamaa zako, Wahisi maisha mwiko, Ujana ni mlipuko, Kijana nyosha kiwiko. Kitamu huwa ukoko, Kula bila chokochoko, Unaporemba mwandiko, Utaukosa mwaliko, Ujana ni mlipuko, Kijana nyosha kiwiko. 2 Leo haujahusika, Kuendana na masika...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tiba ya Ugonjwa wa Tinnitus (Mvumo/kelele masikioni)

    Habari wanaJF, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Kwa sasa ni mwanafunzi wa moja ya chuo kikuu nchini, nilipatwa na tatizo la kupiga makelele au mivumo masikioni mwaka 2016. Nimesumbuliwa sana tatizo hili la masikio jambo ambalo linanipa shida hata nikiwa darasani kuwa na usikivu hafifu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Miaka 25 – 30 na afya ya akili ya kijana

    Mwaka ni 2012, kijana Hope amemaliza kidato cha nne akisubiria matokeo ya kwenda A level. Kwenye kichwa chake unacheza mkanda wa namna Maisha yake yote yaliyobaki jinsi yatakavyokuwa. Ameshafika miaka 25 anajiona amemaliza chuo, ana kazi nzuri, ana gari na tayari ameshaoa. Asichokijua Hope ni...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tamko la Balozi wa Tanzania nchini China kuhusu Mtanzania aliyehusishwa na Udhalilishaji wa mwanamke China

    Kutokana na tukio lililosambaa mitandaoni ambapo Usalama wa Umma wa Xi'an uliripoti tukio la wanaume wa Kitanzania kuwanyanyasa wanawake, Ubalozi wa Tanzania nchini China umethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo umesema kuwa umeomba mamlaka kumlinda kijana huyo na uchunguzi kufanyika kupata...
  12. JamiiForums Tanzania kijana mwenye afya nzuri na mwili wa mazoezi kapigwa na mtu aliemzidi urefu kiasi ila hana mwili wa mazoezi, hii inawezekana vipi?

    Ilikuwa ni mida ya saa 11 na robo hivi nikiwa nimetoka kazini nimeenda kiwanja flani kufanya mazoezi. nilifika nikaona kuna majabizano ya kelele kati ya watu wawili.. wa kwanza tumwite papai ni mrefu kiasi ila hana mwili wa mazoezi, wapili tumuite nazi huyu ni mfupi kuzidi X lakini ana mwili wa...
  13. JamiiForums Tanzania Nimechati na mwandishi wa Afrika Kusini: wazungu wanaisema vibaya Simba. Zoran anafanya makusudi avunjiwe mkataba na kijana wake walipwe mamilioni

    Lorenz kohler ni mwandishi mkubwa sana south africa, matter of fact is, ni best sports journalist wa huko award hiyo kashinda mwaka huu Kuna siku nilibishana naye facebook kuhusu lile sakata la simba na kocha wa pirates, aliandika yake nikayapuuza lakini kuna trend nimejaribu leo kuuunganisha...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Siku moja tajiri namba moja Tanzania atakuwa kijana mwanzilishi wa Startup

    Asilimia kubwa ya wasomaji wa andiko hili wanamjua Elon Musk na matajiri wengi wenye utajiri unaokadiriwa kufikia hadi mamia ya mabilioni ya dola za kimarekani. Kinyume na uhalisia wa hapa nyumbani ambapo mabilionea wengi utajiri wao upo kwenye akaunti za benki mbalimbali na majengo. Mabilioni...
  15. JamiiForums Tanzania Nimelizwa, nimeumizwa na kufadhaishwa mno na kifo cha kijana huyu

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kabla ya yote, ningependa niweke wazi kuhusu jinsi nilivyofahamiana na huyu kijana kupitia uncle wake ambae niliwahi kufanya nae kazi katika kampuni fulan, miaka kadhaa iliyopita. Kijana...
  16. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko ya mfumo wa elimu ili kijana wa Tanzania aweze kushindana katika soko la ajira kitaifa na kimataifa

    nipende kuchukua fursa hii kuipongeza sana serikali ya Tanzania KATIKA jitihadaa zake za kuhakikisha kila Mtanzania anapata elimu angalau ya sekondari ili kufukuza ujinga ,hii Ni baada ya kuifanya ELIMU ya msingi na sekondari kuwa bure, lakini ELIMU ya Tanzania bado haijafanikiwa kumkomboa...
  17. JamiiForums Tanzania Jambo lipi ni muhimu kufanya ili kumuinua kielimu kijana ambaye ni taifa la kesho?

    Tumekua tukikalilishwa sana Watanzania kwamba elimu ni ufunguo wa maisha. NDIYO Elimu ni ufunguo wa maisha, lakini pia tukumbuke kwamba Elimu hiyo tunayowapa vijana wetu inawajenga vipi kifikra vijana wetu. Je, inawasaidia au ndio inawaharibu kisaikorojia? Tunajua hakuna jambo lenye faida tu...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje kijana anakunywa pombe na kuvuta sigara?

    Habari! Sina maelezo mengi. Naomba tu kuuliza. Inakuwaje kijana anakunywa pombe na wengine huvuta na sigara juu?
  19. JamiiForums Tanzania Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

    Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake…. Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA...
  20. JamiiForums Tanzania Je wewe ni kijana wa kitanzania elimu kuanzia kidato Cha nne,?na upo Mkoa wa Kagera,Iringa,na Mbeya na unaweza fanya kazi ya Recovery kwa Saccos ?

    Je wewe ni kijana wa kitanzania? Una umri wa kuanzia miaka 30? Je una elimu kuanzia kidato Cha sita na kuendelea? Je una uzoefu wa kufanya kazi ya Ufatiliaji wa Madeni katika vyama vya ushirika? (Recovery?) Je upo Mkoa wa Mbeya?iringa?na kagera? Kama maswali yaliyo ulizwa hapo juu una sifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…