kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. American nigga

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kijana Alie Kenya Tufanye Dili.

    Hello wakuu Africa Mashariki na Kati, Natafuta Kijana mwenye Hasira kali na maisha, kuna jambo/deal nataka tuifanye hatutatoka mikono mitupu. Nicheki DM tupange tunaanzia wapi.
  2. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Kijana katuambia anataka kufanya harusi (kuoa) yeye kaandaa laki moja tu, anaomba aongezewe pesa iliyobaki

    Kijana kaomba aongezewe pesa iliyobaki ili aweze kufanya sherehe kabambe. Wakuu mtu kama huyu anasaidiwa vipi huko kwenu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huyu kijana alipatikana?

    Sikupata taarifa vizuri naomba msaada
  4. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Tusaidiane: Kijana wa Geology hana Ajira Tangu Amalize Chuo, Maisha Yamempiga Mbaya

    Habari za wakati huu wapendwa wadau wa JamiiForums, Naamini wote ni wazima na mnaendelea vyema katika majukumu yenu ya kila siku. Nawasalimu kwa heshima kubwa na moyo wa unyenyekevu kabisa nikiwa na matumaini kwamba huu ujumbe wangu utawagusa na kuwahamasisha kwa namna yoyote ile. Leo nimeamua...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kijana yoyote mdogo anae hitaji kumbusho lolote la kumuhasisha na kumuongoza sio vibaya akasoma hii

    ♥️Maji hufata mkondo vile vile Mrembo hufata unafuu, kwa hio usi-invest hisia zako katika pendo la ukweli, utaambulia kuchukia kila mtu na nafsi yako pia. 🕓Muda ni wa thamani kuliko pesa. Unaweza kutumia muda kupata pesa, lakini huwezi kutumia pesa kununua muda uliopita. Muda ni rasilimali...
  6. Dmkongola

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani kijana unakuwa high value?

    Eeh kwenye pita pita zangu humu JF nimekuta hii idea kwamba as a man hutakiwi kukimbiza sketi bali uzivutie. Eti wadada wanapenda wakaka high value, sasa tutoe maoni kuhusu high value men. High value man anakuwaje kulingana na watu, wanawake pia tuambieni mnapenda nn kwa wanaume?
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Kilimanjaro: Hakuna kijana yeyote anayesema No Election, Reforms zimeshafanyika

    MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana UVCCM wilaya ya Moshi (Moshi Vijijini ) Yuvenal Shirima ameeleza kuwa katika Wilaya ya hiyo hakuna Kijana yoyote anaesema "No Election" na kwamba wote wanaunga mkono uchaguzi kufanyika. Ameeleza hayo Jumamosi Mei 17, 2025 wakati wa fainali za mashindano ya mpira wa...
  8. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Kijana usikurupuke kuoa mwanamke usiyemjua vizuri

    Salamu za nini wakuu! Bado niña hang over za Kwanini wale ndugu wamefungwa goli chache Jana. Wanaweza rudisha Zile aisee! Niende moja Kwa moja kwenye mada. Kwa wale Vijana Ambao wanataka kuoa epuka sana kuoa mwanamke Kisa HISIA ZA MAPENZI na KISA KAKUTUNUKU TUNDA ukadhani unapendwa. Kuna...
  9. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

    1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume. Umemfurahisha ? Atakupa sex. Umemkosea? Atakunyima sex. Umemfanyia wema? Atakulipa sex. Anataka kitu kutoka kwako? Ata-negotiate kwa sex. Usitarajie kupata valuable return yoyote kutoka kwa mwanaumke. Anakuja...
  10. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Haya ni majibu ya kijana anayeishi maisha ya useja

    Tulikuwa katika mazungumzo na vijana tofauti kuhusu maisha, kijana mmoja akaleta mada ya useja Kwa kuanza tulianza na mfano kwa kijana mmoja anayesemekana anaishi peke yake Nilianza na swali la kwanini ameamua kuishi peke yake nakama sababu ya ugumu wa maisha inachangia Kijana yule hakuwa na...
  11. Mributz

    JamiiForums Tanzania Kijana wa form six kamaliza leo

    Habarini Nna mdogo wangu amemaliza kidato cha sita leo hapa dsm Anatafuta sehem yyte pakujishikiza Kijana ni shupavu na mwenye nidhamu 0718909429
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kijana msikilize kwa makini Apostle Joshua Selman

    https://m.youtube.com/watch?v=C7EglrGP2lk
  13. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaohitaji kijana Mdogo wa miaka 18 katika kazi kama dukani n.k naomba tuwasiliane.

    Habari wakuu . Yupo Kijana Ana hizi sifa Miaka 18 Elimu form four Ila hakufaulu. Uzoefu wa kazi Kazi za kusimamia Nyumba na shughuli za bustani. Kuuza dukani Kuhusu mdhamini yupo mama yake anamdhamini . Kijana anatokea singinda ni Kijana wa kujituma Sana. Waweza piga namba hii...
  14. G

    JamiiForums Tanzania USIKATE TAMAA KIJANA: Kesho yao ni bora zaidi.

    Nikutie moyo kijana unayepita katika majaribu. Inawezekana umemaliza chuo na huna ajira. Nikutie Moyo, kuna jamaa yangu kapata ajira akiwa na miaka 41 na sasa ni mtu mkubwa tu. We bado sana kwa umri wako. Mungu yupo atakukumbuka na kuna majira ya kila jambo chini ya jua. Majira yako...
  15. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Dar ni nchi ya ahadi, kijana wa mkoani ukiingia Dar usikatishwe tamaa kizembe pambana hadi kielewe!

    Ukifika Dar kwanza jihesabu wewe ni miongoni wa wateule wenye bahati, hivyo usiichezee nafasi hiyo. Bila kujali umeenda huko kwa njia gani iwe umeletwa kwa kudandia gari ya msiba, ama umeenda kama shamba boi, dada wa kazi, umeenda kama saidia fundi au umeletwa mara moja kubarizi na kupunga...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kijana Mzalendo aomba uraia wa Bashe uchunguzwe

    KIJANA Mzalendo, David Nkindikwa ameitaka Mamlaka inayohusika kuchunguza uraia wa Waziri Hussein Bashe akidai kuwa Chama cha Mapinduzi Mwaka 2010 kilimkata jina lake kwa tuhuma za kutokuwa raia wa Tanzania.. Sikiliza kwa makini Clip hii Kijana Mzalendo ameongea mambo mengi machafu kuhusu Bashe...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Nkwande: Vijana wetu wanahangaika kupata kazi, unatoa wapi ujasiri wa kumwambia kijana ajiajiri wakati umeajiriwa?

    Mhashamu Askofu Mkuu Renatus Nkwande amewataka vijana kuwa wavumilivu na changamoto mbalimbali za familia, wenyewe kwa wenyewe pamoja na mahangaiko ya kimasilahi katika ulimwengu wa sasa. Askofu Nkwande amesema hayo wakati akitoa homilia kwenye Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei 2025 kwa...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uache Kumsikiliza Mamaako kisa mpenzi? Kuwa Serious kijana

    Sabato Njema! Hivi kweli uache kumsikiliza Mama aliyekuzaa kwa sababu ya mwanamke mwingine ambaye analundo la maex ambao ililetwa hitcher la Gongo la Mboto anaweza kuwajaza wake wote humo. Kweli? Uache Kumsikiliza Mamaako kisa mwanamke mwingine ambaye anapigia hesabu Mali mlizochuma mpeana...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Mbunge Kondesta Sichwale ampiga Kibao kijana wa CCM, inasemekana alichukizwa baada ya kuombwa posho

    Wakuu! Huyu ni Kondesta Sichwale, Mbuge wa Jimbo la Momba mkoa wa Songwe. Inasemekana baada ya Vijana maarufu Greengard kudai posho zao, madai yao yamepelekea Kondesta kuchukizwa na kumchapa kibao huku akitoa lugha chafu. Je, huu si unyanyasaji na udhalilisha? Usawa uko wapi?
  20. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Kijana anatafuta nafasi ya kazi kwa mkoa wa Dar es salaam au Dodoma.

    Habari humu ndani kijana anafuta nafasi ya kazi. Amemaliza CBE DODOMA 2021. Ana Diploma Bissness Administration. Ni kijana mwaminifu na muadilifu sana. Mawasiliano. +255761972755,+255612246050. Tumsaidie apate ajira ndugu zanguni
Back
Top Bottom