Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.
Mnamo Tarehe 6 Aprili 2025, kijana mwenye umri wa miaka 29, Nestory Raphael Majembe, aliripotiwa kukamatwa na kupelekwa katika kituo cha polisi Tabata Shule kwa tuhuma za wizi wa simu. Saa chache baadaye, familia yake ilipokea taarifa ya kifo chake ndani ya kituo hicho, hali iliyoibua maswali...
Katika maisha unapokuwa unayaanza usije ukaudharau mwanzo mdogo / humble beginning au huitwa baby step.
Hii tafsiri yake ni kuwa hata Kama umepata Kazi ya kufuta meza , hakikisha unaifuta hiyo meza vizuri kwakuwa hauwezi kujua kesho utaambiwa ukafute meza ya nani labda ya Rais , hauwezi kujua ...
Huyu kijana Juma Lokole anapokuwa kwenye matukio ya kijamii anakaa upande wa Wanawake badala ya kukaa na Wanaume
Hii ni tabia mbaya sana hasa katika utamaduni wetu sisi Watanzania na kwa baadhi ya Mikoa mingine mfano Arusha, Kagera, Mwanza, Kilimanjaro, Mara inaweza kupelekea kupewa adhabu na...
Rais Mwinyi Enzi hizo ni Waziri wa Ulinzi,analijua
Mkuu wa Majeshi akiwa Mwamnyange ,analijua.
Waziri Mkuu Kasimu analijua.
Mwaka 2014 Vijana zaidi ya 50 wa JWTZ waliokua wanafanya Mafunzo ya Ukamandoo pale Morogoro, Kwa kunyimwa posho zao waliamua Kutoroka Kambini na kwenda makao makuu ya...
Habari wakuu.
Kwa mwenendo wa maisha ya sasa, unaushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kwenda kusaka maisha mjini?
Mwenye elimu ya kidato cha nne, ana pesa kidogo ya kuanzia maisha mjini, hana ujuzi tofauti na uchapakazi wake, ushauri ulenge hasa wa kiume, lakini hata wa kike waweza...
Kuna post nimeona dogo mmoja huko X (zamani twitter) anajisififu kuwa kaingiza milion 100 kwa hustle zake na anamiaka 26. Nimeshtuka sana. lakini nahisi aliandika kuongeza likes si kweli. Ingawa uwezekano wa ukweli upo.
Swali langu kama kuna kijana mpambanaji chini ya miaka 30 mwenye Bilion...
Huyo dogo mwenye asili ya Marekani na Congo kwa kushirikiana na baba yake walijaribu kufanya coup ila ilishindikana kupelekea baba kuuawa na yeye kukamatwa akiwa katika harakati za kutoroka.
Hii ndo kauli inayotamba mitaani kwa sisi wanawake,hatujui kimetukuta nini
Mabinti kwa sasa hawaoni aibu tena kudate na wababa watu wazima kabisa na wanasema hadharani staki mahusiano na vijana kuwa hawana lolote
Mabinti wanadai kuwa mahusiano na vijana yamewaacha wengi kuwa single...
Umekuta mwanamke ana mume wake na wanandoa halali acha kuivuruga . Maana kwa sasa utaona sawa ila kwa baadae wewe na familia yako , mtakipata pata , mtapata kijitoto kingine kimteke mume wako na wewe utamani kujiua. Kama sasa unavyomfanyia mwenzako kwenye ndoa yake.
Kuna mwanadada alikuwa ni...
Mpo Salama!
Kumhudumia Mchumba au mpenzi wako huwezi Sifiwa Wala kuonekana mwanaume wa maana mahali popote pale zaidi ya kuonekana kijana asiyejitambua.
Wazazi wako wenyewe waliokuzaa wakisikia kitu kama hicho watakuona hamna kitu.
Ukitaka ujue Jambo hili, siku huyo mwanamke akuache ndio...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amemwagiza Mkuu wa Polisi Wilaya ya Simanjiro kumkamata na kumweka ndani Afisa wa Polisi Kata ya Loibosiriet, Ester Tairo, kwa uzembe kutokana na kushindwa kumkamata kijana aliyemsababishia ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari...
Nimeshangazwa sana kukamatwa na kushikiliwa katika kituo cha polisi kwa Ali kamwe kwa kile kinachodaiwa kutoa kauli za kudhalilisha viongozi.
Nimesikiliza hizo kauli za Ali Kamwe sijaona kauli yoyote ya kufanya akamatwe na polisi, wakati namsikiliza Ali Kamwe nimeweza kukutana na video nyingine...
Katika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na habari nyingi zinazotrend kumuhusu kijana anayefahamika kama Chief Godlove Mwakibete.
Huyu jamaa amekuwa akipost magari mbalimbali ya kifahari na kujinadi kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi sana. Ni kijana ambaye ana umri wa miaka chini ya 30...
Kijana wa Kitanzania
1. Akioa/Kuolewa mnamchangia
2. Akifa/Akifiwa mnamchangia
3. HBD yake ikifika mnamchangia
4. BBY shower ya mtoto wake mnamchangia
Lakini
Akikosa Mtaji Hakuna wa kumchangia👀
Kwa kijana ambaye umeanza kujitafuta kimaisha, kama wazazi hawajakufukuza, au hujaaribu hapo mtaani.
Tafadhali baki tu nyumbani kwenu. Utaokoa kiasi flani cha fedha.
Achana na jamiii inaongea nini kuhusu watu ambao wanaishi bado kwao, Kulipa kodi ya nyumba sio jambo la kitoto.
Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.
Mwanamke ambae ni agemate wako...
Mimi ni kijana wa kiume,umri wangu ni early 20s. Kiukweli toka nizaliwe hadi sasa sijawahi kufanya mapenzi(penetrative sex) licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wasichana kadhaa,lakini wote tumeishia kufanya romance tu.
Nimebahatika kuwa na muonekano mzuri kidogo kwa hiyo pisi nyingi...
Nchi ambayo inajiita Super Power inakuaje na Raia ambao wana maisha magumu
Maana sio rahisi umkute raia wa marekani akija Africa na kufungua Madube na kisha kujiita mwekezaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.