Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.
Kijana wa miaka 30+ kukosa kumiliki chombo cha usafiri, nyumba au kipato chako kwa siku ni chini ya elfu 30 ni aibu kubwa mno
Ukivuka 30 hutoitwa kijana tena bali utaitwa mzee wa makamo na nguvu za utafutaji zitakuwa zinaelekea ukingoni.
Unakuta mtu ana miaka 35 na zaidi ila anaishi maisha ya...
Wakuu,
Leo ni siku ya vijana duniani. Yaani kila mtu ambaye ana umri kuanzia miaka 18 hadi 35
Binafsi ningepewa nafasi ya kusikilizwa kwa dakika moja na dunia yote ningeomba nchi zote zifute majeshi yote. Yaani kusiwe na wanajeshi (demilitarization & disarmament )
Kuwe na polisi tu lakini...
HAKUNA KIJANA WA MIAKA 20+ ANAYEITWA "MASIKINI"... LAKINI UKIFIKISHA MIAKA 40 BILA PESA, UTAITWA "MTU HUYU NI MASIKINI KWELI KWELI!"
Hili linaweza kusikika kama kauli nzito, lakini ni ukweli. Kama kijana, fursa ya kujenga maisha yako ya kifedha ipo mikononi mwako. Ukikua huna pesa wala...
Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
asubuhi
biashara
business
easy
everyone
kijana
kila siku
kufilisika
kufunga
kufunga biashara
kupoteza
madeni
mafanikio
magumu
maisha
maisha magumu
miaka
miaka mitatu
mitaji
n.k
ndani
siku
usiku
wachache
wafanyabiashara
Wagombea wa nafasi ya Urais na Makamu wa Rais kupitia Chama cha Demokrasia Makini, leo wamewasili katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu za kuwania nafasi hizo katika Uchaguzi Mkuu ambapo ametaja vipaomEKARI tano ikiwa ni pamoja na kuwapatia vijana mashamba ya umwagiliaji...
Huyu mwanamke anahisi napenda hii tabia anayoifanya. Wanaume tumelelewa kuwa na roho flani hivi. Ukimuona kijana katika umri ambayo anaogopa kupanga Mipango nankupapambana na maisha roho inanidunda Kwa Sabab anakiwa mzigo.
Kuna wakati naona hata ndoa itaharibiwa na Hawa ndugu maana nahisi na...
Habari wana JFs,
Nina rafiki angu wa miaka mingi ambae tumekua karibu kama ndugu ameniomba ushauri kama mtu wake wa karibu, lakini nimepata mtihani kidogo katika kumpa majibu kutokana na uzito wa jambo lake.
Nilimshauri kulileta humu kwa kutotaja majina yake ilimradi tu aone ushauri na busara...
Oyaa sikia.. wapi mwanangu dosho12 salimia sana mwanangu Harmful oya we Harmful salimia sana mwanangu Noma, Noma.. Nomadix
Awee shem langu Ms R salimia sana mtotomzuriwa kuitwa waifu material mwambie hii hapa sauti Ya Kijana Masikini a.k.a Mui........mba SINGELI.
WANAOPENDA SANA MAHABA
Kuna jamiii ziliwafundisha/zinafundisha wanawake au watoto wa kike kumlea mme, hapa wapo kutoka mikoa ya Tanga, Tabora, Pwani na baadhi ya maeneo mwambao wote wa pwani ya bahari ya hindi
Jamii ya watu hawa wamefundwa haswa kulea mme ukioa huko kwenye hiyo mikoa utapewa...
Kijana huu ni ujumbe kwako ukufikie na ukukute katika hali ya kuelewa na usipoelewa soma tena vema uelewe. Wewe kama mtoto wa kiume unazaliwa na cheti na hadhi ya uongozi. Ndio maana baba yako huwa anasheherekea kimya kimya kujua kapata kidume na mama yako moyo wake huyeyuka kwa faraja na...
Habari wakuu.
Mimi ni Kijana wa miaka 25.
Napatikana DSM
Elimu yangu shahada ya Ualimu.
Natafuta ajira /Kazi
Uzoefu wangu
Nimefanya Kazi ya Microfinance ,hivyo nipo na huo uzoefu wa microfinance.
Kufanya Kazi Kama loan officer kufatilia madeni n.k
Pia nimefanya Kazi za sales hivyo nipo...
Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia...
ISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi.
mfanyabiashara huyo kwa sasa yupo mikononi mwa polisi...
Kitabu Cha Zero to Legacy: Safari ya Kijana wa Kiafrika.
Mwandishi: Robert Heriel
+255693322300
Oooh! Taikon andika vitabu! Ooh! Achana na stori za abunuasi sijui riwaya. Ndugu zangu, sisi wengine nusu ya maisha yetu tunaitumia kuandika na kusoma. Kwetu kuandika ni Hobby. Nikiacha Maneno...
Nimeona vijana wengi waliomaliza chuo kikuu na kufaulu vizuri sana lakini maisha yanawapiga vibaya kwasababu wanafikiri elimu za darasani ndio kila kitu katika maisha. Nope, sio kweli. Nawafahamu watu wengi tu walioishia darasa la saba na wengine hawajui hata kusoma vizuri lakini ni matajiri...
Tusimpongeze MTU wala kumbeza tuache muda uongee Ila kunauwezekano Mzee Kijana na super black wakawa wamewekwa pembeni bila wao kupenda
Kwakuwa nikiuchambua uongozi wa awamu ya tano na sita sioni Kama umetafautina sana.
Kwa kuangila mambo Kama "Good governance " na n.k.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.