Ewe kijana

Ewe kijana

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
56,097
Reaction score
159,835
Kijana nakuandikia wewe wa mika 20 mpka 35 ....

Ukiingia kwenye mfumo wa kuitwa kuhudumia na bado haujajipata kipesa ,umekwisha šŸ¤—.....

Kujipata naongelea wale watu wanaweza fanya hata maamuzi ya dharura ya kipesa hata bila kuwaza, bila kutetereka kwa chochote......

Wewe bado una unga unga maisha achana na ufala wa kuvimba kifala ....eti kuhudumia šŸ˜… utakufa kibudu fala wewe.

Karibu pombešŸ»
 
Kalale sasa bwa she
 
Unakuta mtu yeye mwenyewe hawajawa na uwezo wa kujihudumia kwa uhakika.. anajichanganya kwenda hudumia mshangazi lazima ikwishe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom