kigwangalla

  1. J

    JamiiForums Tanzania Bucha za nyamapori zilizoasisiwa na Kigwangalla zimeishia wapi?

    Dkt. Kigwangalla akiwa Waziri wa Maliasili na Utalii alianzisha bucha za Nyama pori na kuna Wakati tulikuwa tunauziwa pale kijiji cha Makumbusho. Je, hizo bucha bado zipo? Ninahitaji Nyama ya Swala au pofu.
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Kwanini Serikali imenunua mabehewa ya SGR yaliyotumika (used)?

    Mbunge wa Nzenga Vijijini Dr. Hamisi Kigwangalla kupitia mtandao wa twitter amehoji kwanini Serikali imenunua mabehewa “used” Amesema “Hili behewa moja (tena used) limenunuliwa kwa sh ngapi? Tumeambiwa yapo haya mabehewa 54, yamenunuliwa kwa us$ 59mn. Kwa hiyo behewa moja ni us$ 1,092,592...
  3. mshale21

    JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla: Hatujui Dkt. Bashiru alirudisha lini kadi ya CUF. Hatujui namba ya kadi yake ya CCM

    Hatujui kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini? Tulishangaa tu ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, lakini tuliheshimu mamlaka iliyomteua, sasa tulitegemea awe na Shukrani" Aliyoandika Kigwangalla kwenye account ya Twitter Mkiendelea...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono Kigwangalla kwenye hili la DART

    Nakubaliana na Kigwangalla kwenye hili. Tatizo letu kubwa kwenye mradi huu ni wizi wa viongozi wa mradi. Je wanaibaje? Viongozi wanaojinufaisha na mradi huu hawataki kata kata utumiaji wa kadi za mabasi ufanikiwe kwasababu ukifanikiwa hawataweza kuiba. Hivyo kila siku wana hakikisha kuna...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hamis Kigwangalla: Onyo la mwisho kwa mnaomtuma Kigogo

    Hiki ndicho alichoandika Mbunge Dr. Hamisi Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter: ONYO LA MWISHO KWA MNAOMTUMA KIGOGO: iko hivi; ninawajua, na nyie ni rafiki zangu, tuendelee kuheshimiana, ninawaambia najua mambo yenu mengi; msicheze na tope, mtachafua suti zenu sasa hivi! Mnanijua vizuri...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naungana na watanzania wengi wanaomlaani Dk. Kigwangalla kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa kumchafua Mo Dewji

  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania KIGWANGALLA: Wawekezaji wa Vitalu wanahonga sana pesa, wapo tayari KUUA wapate wanachotaka, ukikataa wanakutegea mtego wa Rushwa

    Mwanasiasa Dkt Hamis Kigwangalla amezunguzia Wizara ya Maliasili na Utalii ambayo amewahi kuiongoza akisema kuwa ukiwa Waziri wa hapo utahongwa sana hasa kutoka kwa wawekezaji wa vitalu. “Wawekezaji hasa wa vitalu wanapenda kuwa na maeneo makubwa, wale wa picha siyo sana, watu wa vitalu...
  8. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Ripoti ya CAG ni ya uongo, nimechafuliwa sana. Prof. Adolf Mkenda ndiye aliyeratibu mimi kuchafuliwa

    Nukuu za Hamis Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). "Kwa kawaida katika taarifa za CAG huwa kuna hoja nyingi, hoja hizo zinapelekea kamati ya PAC kuzijadili na kuwasilisha taarifa zake bungeni. Katika taarifa zake CAG si...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Tulichongewa tulisimangwa na tulisingiziwa na kunyanyaswa lakini nashukuru Rais Samia ameujua ukweli

    Mbunge wa Nzega vijijini Kigwangalla ameandika kwenye ukurasa wake twitani kwamba, Tulionewa Tulisimangwa, Tulisingiziwa na Kunyanyaswa na watu waliokuwa na access lakini sasa mambo yao yako wazi tena yana ushahidi. Namshukuru Rais Samia kwa kuliona hilo. Kiukweli Lumumba moto unawaka sawia na...
  10. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Chama kimerudi kwa wenyewe

    hamisi_kigwangalla SEKRETARIETI ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapindunzi (CCM), ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi @daniel_godfrey_chongolo jana imehitimisha ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 na kuimarisha Chama mashinani katika mikoa ya Kagera...
  11. Dead Man

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Serikali Iwafikirie Wajasiriamali na wahangaikaji

    Mbunge wa Nzega vijijini Dr. Hamis Kigwangalla Ameomba serikali kuwafikiria wajasiriamali na wahangaikaji wengine.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Urais 2030: Dkt. Mwigullu Nchemba na January Makamba wana nafasi nzuri kuliko Dkt. Hamis Kigwangalla

    Ikumbukwe hawa vijana wadogo watatu Mwigulu, January na Kigwangalla waligombea urais 2015 japo safari yao iliishia kwenye kura za maoni. Niliwapa jina la Three the Hard Way. Safari inaendelea japo naona Dkt. Kigwangalla ameachwa nyuma kidogo lakini kwenye Marathon ushindi ni mbinu na ujanja so...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla adungwa chanjo ya Corona aina ya Sputnik V

    Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamis Kigwangalla ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Afya ya Jamii, apata chanjo yake ya corona, Sputnik Light, kutoka ya Urusi. Dr. Kigwangalla aliwahi kupinga vikali matumizi ya chanjo katika kukabiliana na ugonjwa wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla usokolokwinyo huu atauacha lini?

    Dk Kigwangalla ana sifa zote za mtu aitwaye HASIDI. Hasidi ana pande mbili:- upande ni mtu mwema na upande mwingine mnafiki. HK anacheza na vitu 2:- bosi wake na nyakati. Siyo wa kuamini tena huyu Ni kisokolokwinyo aliyeenda shule. Akiwa waziri wa afya aliunga mkono wazo la jpm la watu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla aenda kutibiwa Dodoma General hospital, ashangaa kukaguliwa barakoa getini

    Mbunge wa Nzega Kijijini Dkt. Kigwangalla amesema amekumbana na ukaguzi wa barakoa muda mchache uliopita pale geti kuu la Dodoma general hospital. Dkt. Kigwangalla amesema amefika hospitalini hapo kwa matibabu. Mungu ampe wepesi na uponyaji wa haraka. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Hatuzungumzii tena Uchumi wa Gesi, miaka ijayo haitakuwa na maana

    Mbunge wa Nzega vijijini, Hamis Kigwangala amesema uchumi wa gesi hauzungumziwi tena nchini ilhali yeye alidhani ungekuwa neema akikumbuka jinsi walivyozungumza Bungeni Mwaka 2010. Kigwangalla anasema bei ya gesi inazidi kushuka duniani. Amesema makadirio ya bei ya Gesi miaka 15 ijayo itazidi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangalla: Mzee Kikwete alinifungulia mlango wa kuingia kwenye siasa, namtakia maisha marefu!

    Dr Kigwangalla amesema mzee Kikwete ndiye aliyemfungulia mlango wa kuingia kwenye siasa hivyo anajisikia fahari sana. Kigwangalla amemtakia mstaafu mzee Kikwete maisha marefu na yenye furaha. Awali Kigwangalla alisema mawaziri wanaoteuliwa kwa kubebwa huwa hawana ubunifu na huishia kukaa tu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Uchumi wa dunia utakua kwa kasi baada ya COVID-19 kudhibitiwa, tuchangamkie CHANJO sasa

    Mbunge wa Nzega vijijini Khamis Kigwangalla amesema utafiti unaonyesha uchumi wa dunia utagrow kwa kasi mara tu baada ya COVID-19 kudhibitiwa. Tanzania siyo kisiwa hivyo tuungane na dunia katika mapambano na tuanze utaratibu wa kufuatilia Chanjo sasa ili tusiachwe nyuma, amesema Dr Kigwangalla...
  19. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Tunamjeruhi Dkt. Kigwangalla, wengine wakiguswa tunawaficha kwenye kichaka cha Hayati

    KOSEA SIYO DHAMBI, NI KUUFANYA USHAURI KAMA KUTAKA KUMFUTA MTU. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na kundi la watu wakiwepo hata baadhi ya viongozi ambao wanataka kuficha madhaifu aliyoyabaini CAG kwa kigezo kuwa ni kutaka kumchafua hayati Magufuli. Upotoshwaji huu wa wazi wazi unaofanywa...
  20. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hamis Kigwangalla: Msimamo wangu kuhusu tiba ya Corona

    Juzi nilialikwa na kushiriki kwenye mdahalo wa ‘Zoom’ ulioandaliwa na Nadj Media Center. Mjadala ulikuwa mzuri na mkali sana. Kwa kuanzia nataka ieleweke kuwa nilichokisema hakina lengo la kufubaza heshima (legacy) ya mtazamo/msimamo wa hayati Rais John Magufuli hata kidogo. Niliunga mkono sera...
Back
Top Bottom