kigezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuwa Pro Russia au Pro US, kigezo huwa nini?

    Kuna watu hakuna Jema la Russia duniani kama ilivyo watu wengine wanaoamini Marekani haina Jema hata Moja hufanya duniani. Sasa kwa watanzania wenzangu, huwa mnatumia kigezo gani kuamua kuwa upande wa Marekani au wa Russia. Huwa mnazingatia mambo gani hasa?
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigezo cha wagombea wa viongozi wa serikali ya mtaa kudhaminiwa na uongozi wa Chama chake Kwa ngazi ya kitongoji, ni ngumu Kwa vyama vichanga

    Viongozi wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa Kwa kigezo hili Ambapo kimsingi wenye kukidhi hili kigezo ni CCM wenye mabalozi kwenye vitongoji Ila vyama vingine ni ngumu na haiwezekani Kwa sababu ni vichanga Bunge lilitungaje hii sheria kandamizi Kwa democrasia yetu Yaani Leo Chauma uikute...
  3. JamiiForums Tanzania Kujitolea hakufai kua kigezo cha taifa watu kupewa ajira; Badala yake serikali iongeze ajira kutaondoa tatizo

    Hoja ya Kujitolea Kama Kigezo cha Ajira Serikalini: Je, Ni Suluhisho au Tatizo? Hivi karibuni, Spika wa Bunge aligusia suala la kuwazingatia wale waliojitolea kama kigezo cha kuajiriwa katika nafasi za serikali. Ingawa nia ya serikali ni kusaidia kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana, hatua...
  4. JamiiForums Tanzania NBC, Hio Man of the Match Kwa Camara imetolewa Kwa kigezo Gani?

    Good morning. Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match. Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa Shoot Moja la kulenga goli!!! NBC hamfai kabisa...angefanya save hata 10 sasa si mngempa golikipa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

    Habari wadau Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Jamii inamshangaa Mwanaume huyo na Anaonekana hana maturity. Kwa nini Mwanaume anaeweka bikira...
  6. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya Ardhi, huu usajili mlioutoa kwa kwa kampuni ya KMM ni kwa faida ya nani?

    Vitendo vya utapeli vinavyofanywa na kampuni ya KMM LAND USE CONSULTING CO.LTD, yenye namba ya usajili 0359-T0218, iliyo na ofisi Sinza - Dar es Salaam. Kampuni hii ilipewa kibali cha upimaji katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, lakini imeshindwa kutoa huduma kwa wananchi kwa mujibu wa...
  7. JamiiForums Tanzania TFF mlitumia kigezo gani hadi mkalazimisha Maiti icheze na Muoshaji tarehe 8 August, 2024?

    TFF mna Roho Mbaya sana na wala hamna Huruma. au mna Agenda yenu ya kutaka Watu wavurugane zaidi mapema yote hii?
  8. JamiiForums Tanzania Trump hashindi, kigezo ni kilekile uzee

    Uchaguzi wa USA haujawahi kuwa mwepesi. Republican na Democrat kwenye siasa za Marekani ni kama dini. Wanamchi wa Marekani hata kama utasimamisha jiwe kwenye hivyo vyama bado watalipigia kura. Raisi Biden pamoja na udhaifu wa kiafya alizidiwa na Trump 2 % tu. Bado karibia nusa ya raia walikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mtu mzima ambae bado una “ungaunga” unaweza kataa kazi kwa kigezo unakula sikukuu?

    Sikukuu ni watoto, mtu mzima siku yoyote ukiwa vizuri unaenjoi tu. Kama kuswali ushaswali, kilichobakia ni kula, na kula ni hadi mchana. Unakataa kufanya kazi et “ mi leo nakula sikukuu”. Mambo ya ajabu sana. Mi napendaga kazi kazi. Watu wa pwani na Tanga mbadilike, wengine tunaenda kwa ratiba.
  10. JamiiForums Tanzania Afisa Mtumishi Mkuu achana na kulazimisha kutumia nguvu kutumia ESS kama kigezo cha kupanda madaraja watumishi. Kwa sasa nchi iko busy na stationery

    Usome
  11. JamiiForums Tanzania Kujitolea kisiwe kigezo cha kupata ajira za serikali

    AJira ni haki ya kila Mtanzania na kigezo cha kwamba wanaojitolea ndo wapate kipaumbele. Kujitolea huo ni utashi binafsi na kujitolea itachangia kiasi kikubwa kwa serikali kuto toa ajira wakijua kuwa kuna watu wanafanya kazi bure. Serikali inatakiwa kufanya kazi yake ya kuwatafutia kazi vijana...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya ulinzi na usalama Kwa upande wa Polisi wanapuuzia kigezo cha elimu wakati wa udahili

    Tanzania Tuitakayo inahitaji ulinzi imara ili kuimarisha usalama WA wananchi na mali zao. Kwa sasa kumekuwa na uhitaji wa mkubwa wa Polisi Jamii kwenye kata mbali nchini, Hali hii inatupa taswira sio tu ongezeko la watu lakini hata ongezeko la uharifu. Kwa kipindi Cha miongo kadhaa hapo nyuma...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Biblia imesisitiza zaidi kwenye kusaidia zaidi wenye uhitaji na sio kumtajirisha mmiliki/mchungaji au nabii wa kanisa kwa kigezo cha zaka na sadaka.

    Kwenye nyakati tulizopo kumekuwa na utapeli mkubwa miongoni mwetu wakristo kuhusu mambo ya zaka na sadaka. Kuna viongozi baadhi hutumia biblia vibaya kuwatisha waumini wao kwamba inatakiwa sadaka (pesa) zote zipelekwe kanisani. Wengine wameenda mbali zaidi kuwa hata kile kidogo ulicho nacho...
  14. JamiiForums Tanzania Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

    VIGEZO NA SIFA ZA MWANAMKE WA KUOA KWA 2024 - 2050 Anàandika, Robert Heriel. Mtibeli Pasipo kupoteza muda. Ikiwa wewe ni mwanaume unatafuta mke wa kuoa ili ujenge naye familia basi vigezo na sifa zifuatazo sharti Mwanamke huyo utakayemuita mkeo lazima awe nazo. Ili uishi maisha ya furaha...
  15. JamiiForums Tanzania Usitumie kigezo cha dini katika kuoa au kuolewa

    Watu wengi hujikuta wanawaacha wachumba ambao wanawapenda na ambao wanaendana kwa kigezo cha dini. Dini haina uhusiano wowote na kumfanya MTU kuwa na hofu ya MUNGU, utu hekima wala maarifa. Jambo kubwa na la msingi unabidi kuangalia MTU Kama mnaendana, kifikra, kimtazamo n.k. Watu wengi wapo...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Licha ya Waislamu weusi kujaribu kutengeneza umoja na waarabu kwa kigezo cha kudumisha umoja wa kiimani na tamaduni, kwanini bado Waarabu wanasita?

    Juhudi za mtu mweusi kujenga umoja na waarabu. Mavazi ya kiarabu - kuvaa kanzu, kobazi, barakshia, n.k. Majina - ni kawaaida kukuta jina la kwanza mpaka la ukoo la kiarabu Lugha ya kiarabu - huipa uzito wa hali ya juu Ndoa kwa tamaduni za kiarab - kuvaa jambia kiunoni kwenye siku ya kufunga...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa bosi isiwe sababu ya kutuhukumu sisi wanywa pombe. Harufu ya pombe sio kulewa. Wewe kutokunywa isiwe kigezo cha kutufokea

    Mkumbuke kuwa tuna stress za kumwaga. Tunarogwa kila kona.Kazini, nyumbani na hata majiani. Sasa mtu akinywa pombe jana alafu asubuhi akanywa maji unyunyu ukatema. Sasa hapo ni kosa? Maana hajalewa ila unyunyu unatema. Mnafoka hovyo kama vile sisi ni watoto wenu. Tunawastahi tu kutafuna Big G...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Kuwa na Sifa ya Ujaji Hakifanyi Maamuzi yake kuwa ni ya Haki

    Kumekuwa na dhana inayotengenezwa na serikali ya CCM kwamba kwa kuwa Mwenyekiti wa NEC ni mtu mwenye nyadhifa ya ujaji basi ni wazi kwamba maamuzi yote atakayoyapitisha yatakua ni haki,na hayapaswi kupingwa na mtu yeyote au chombo chochote. Jamii inapaswa ielewe kwamba heshima ya maamuzi ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania KERO Ukilipia kuingia Magufuli stendi wanarudisha chenji nusu kwa kigezo cha "hatuna chenji"

    Ni mchezo mchafu wa wanaotoza hela kwa wanaotaka kuingia Magufuli stendi, ni mara kadhaa kila nikifika pale ukiwa na sh. 500 au 1000 nk watakwambia hawana shilini 100 au 200. Mara nyingi wanafaya mchezo huo wakati kukiwa na msongamano wa foleni wanakwambia uchukue chenji nusu au wakurudishie...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ni kigezo gani hutumika na viongozi wa kitaifa kutoa pole kwa familia iliyoondokewa na mpendwa wao?

    Pale unapotokea msiba wapo ambao viongozi utoa pole kupitia mitandao ya kijamii, ipo misiba Mhe Rais utumia barua ya Ikulu nk Napenda kufahamu ili Mhe Rais atoe pole kwa kupitia akaunti yake ya kijamii anapaswa kuzingatia vigezo gani? Je, anapotumia barua rasmi ya Ikulu kutoa pole utumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…