kigamboni

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tukibadili mtizamo pale Kivukoni Kigamboni tutaondoa kero ya kudumu na kuzalisha Masaki mpya kama hivi

    Historia ya mji wa kigamboni ilikuwa shamba, kama ilivyokuwa mbezi beach na maeneo mengine yaliyokuwa pembezoni mwa mzizima (Dar) Mawazo ya kuleta kivuko pale kigamboni yalilenga tiba ya dharula kwa wakati huo teknolojia ilikuwa haijasambaa duniani! Hivyo matumizi ya kivuko siyo usafili wa...
  2. ommytk

    JamiiForums Tanzania TEMESA kuna kitu mnatafuta Kigamboni na hivi vivuko vyenu yetu macho

    Imani yangu ndogo sana na hii TEMESA kwa sasa kuhusu huduma hizi za vivuko Kigamboni ila ngoja twende kuna siku huu Uzi mtakuja kurepost. Yaani Kigamboni kwa sasa ipo kama yatima fulani vile ila muda ni mwalim ngoja muda utaongea. MV Kazi ina muda atuioni mpaka sasa tumeisahau, Magogoni mguu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kivukoni - Kigamboni maamuzi magumu yafanyike; Wakazi watafute mbadala wa kutumia Kivuko maana kinafanya kazi kimoja

    MH. RAIS SAMIA ANAHITAJI WATENDAJI WA DHATI KIVUKONI KIGAMBONI NA MANISPAA KWA UJUMLA Umati ni mkubwa. Kivuko kimoja tu ndio kinachofanya kazi Muda wa kusubiri ni zaidi ya Saa moja
  4. I

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Madaraja: Unaweza kufunga Tanzanite Bridge Watanzania waangalie mpira. Je, unaweza kufunga Kigamboni Bridge?

    Nimeshangaa kuona daraja la jipya la Tanzanite linaweza kufungwa ili Watanzania waangalie mpira lakini Serikali haikuona haja ya kuweka tozo. Namaanisha daraja hili linatumika kama express route kwamba unapita kuharakisha safari ila unaweza kupita barabara ya kawaida ya mzunguko. Kwa upande wa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Risasi zinarindima Kigamboni darajani

    Sijui nini kimetokea Tumeinama muda huu
  6. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Kigamboni: Hivi Kwanini Mwendokasi Wanazikataa N-CARD?

    Hizi kadi za kielektroniki zililetwa kwa mbwembwe nyingi na ilielezwa zitatumika maeneo mengi ya kufanya malipo ikiwa pamoja na mwendokasi. Lakini cha ajabu leo hii kadi hizi zinatumika kwenye mpira wa ligi kuu na kule kwenye vivuko/pantoni za kuvukia kigamboni tu basi. na ukifika maeneo haya...
  7. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kigamboni darajani badilisheni utaratibu, foleni kubwa sana inakera mno

    Maoni kwa wasimamizi daraja la kigamboni jioni na asubuhi foleni kubwa sana inakera mnooooo yaaani ukaaa zaidi ya nusu saa kukata tiketi sasa sijui why msijaribu kuangalia namna nzuri asubuhi na jioni ata mnaweza kukata tiketi ziwe tayali gari ikija unapewa unaenda sio mpk aanze kuingia kwenye...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dar: Tozo za Daraja la Nyerere Kigamboni zimeshuka

    Rais Samia Suluhu na Mbunge Faustine Ndugulile wamevunja kikwazo kigumu kabisa Cha maendeleo ya kigamboni. Sasa tozo zimeshuka na zitalipwa kwa siku badala Kila mtu anapovuka Hiki kilikuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya kigamboni. Kigamboni ikianza kujengwa itakuwa mji mzuri sana na...
  9. ommytk

    JamiiForums Tanzania Wazo kwa manispaa ya Kigamboni; Anzisheni dampo katika mashimo yaliyofungwa yaliokiwa yanachimbwa kokoto Mji Mwema

    Nina wazo ila sijajua kuhusu watu wa mazingira kwao wataonaje hili jambo ila tu nawaza kile ambapo manispaa ya kigamboni mji mwema wanapogombana na wananchi kila mwaka na kupelekea kujua watu kwanini manispaa wasianzishe dampo ambapo watapata pesa na pia lile eneo litafukiwa na kupata eneo kama...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo tunaachana na Wachina 'tunajibebisha' kwa Wamarekani ili Waichukue Bagamoyo kama walivyoichukua Kigamboni?

    Kwakuwa mmeamua hivyo siyo mbaya!!!
  11. ommytk

    JamiiForums Tanzania Shida ya usafiri leo Kigamboni baada ya daladala kugoma

    Leo tumeamka na siku mpya huku Kigamboni daladala zimegoma ni mwendo wa Bajaj kila kituo buku mpaka buku mbili. Sijui wenzetu huko mlipo hali ikoje.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Mradi wa Dege Eco village uliotelekezwa Kigamboni

    21 April 2022 Kigamboni, Dar es Salaam Tanzania MRADI MKUBWA WA MAKAZI ULIOGEUKA MAGOFU WATEMBELEWA ILI KUONA UKUBWA WAKE Mradi huu mkubwa wa mfuko wa Jamii wa NSSF ulianza ujenzi mwaka 2014 ulikuwa ukamilike 2018 lakini mwaka 2016 ukasimama una nyumba 7460 68 executive, twin villas 148...
  13. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Compressar 150l inauzwa kigamboni

    Compressor ina ujazo wa 150l, inatumia mafuta. Imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu haina shida yoyote. Bei 950,000/= Mawasiliano 0769452934 or 0685854119
  14. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Compressor 150l inauzwa Kigamboni

    Compressor ina ujazo wa 150l, inatumia mafuta. Imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu haina shida yoyote. Bei 950,000/= Mawasiliano 0769452934 or 0685854119
  15. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kusafisha Petroli Kigamboni

    Hivi tuna mkakati wowote wa kufufua kiwanda cha kusafisha mafuta Kigamboni au Pengine kujenga kingine Kipya kule bandari yaTanga Ili kiende sambamba na Ukamilishaji wa Mradi mkubwa wa Bomba la mafuta ghafi kutokea Uganda Nauliza tu isijekuwa tuna subiri mafuta yapite hapa kwetu yaende Arabuni...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Chongolo: CCM itaendelea kuweka msukumo kuboresha miundombinu ya barabara na vivuko Kigamboni

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amesema CCM itaendelea kuweka msukumo kuhakikisha miundombinu ya barabara na vivuko inaboreshwa Kwenye Wilaya ya Kigamboni kwa sababu ni lango la uchumi wa Taifa. Amesema kwa sasa asilimia 90 ya bidhaa ya mafuta yanayotumika nchini...
  17. J

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya ghorofa inauzwa Dar-Es-Salaam - Kigamboni maeneo ya Dege

    Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni self contained na sitting rooms mbili, moja chini moja juu. Limezungushiwa ukuta na eneo la kiwanja ni Square Meter 947 na...
  18. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi kuvuka kigamboni ndio hakuna 200 kwa wote hakuna bei ya watoto kwasasa ile 100 ndio hakuna tena hii yote vita Ukraine au

    Inasikitisha kwasasa kigamboni kuguka ni kadi tu uwe mtoto uwe mkubwa ni Tsh 200 tu kwa wote sasa hakuna tena ile mtoto tsh 100 kweli hii vita Ukraine inatonyoosha kila idara aisee ila hongera kwa temesa kwa kutuminya wanakigamboni big up kwa uongozi temesa kazi iendelee
  19. aise

    JamiiForums Tanzania Kigamboni nauli zimepanda tayari

    Nauli za bajaj tayari zimepanda kutoka 500 mpaka 1,000/= Na hakuna ufafanuzi wowote. Jana natoka zangu mishe naambiwa nauli 1000 badala ya 500. Hii siyo haki.
  20. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Kigamboni: Moshi mkubwa watanda winguni na kuleta taharuki

    Kuna moshi mkubwa Kigamboni na inasemekana ni reserve ya mafuta inaungua. Inatengenezwa scarcity? ===
Back
Top Bottom