Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
7,388
10,548
Wakuu, jana na leo! Nimeshuhudia kitu kisicho cha kawaida wakati navuka kati ya Feri na Kigamboni.

Sijui kivuko ni kibovu ama vipi.

Tumepanda kikagoma kabisa kwenda, nafikiri tulikuwa wengi kupita kiasi.

Tukapunguzwa at least kikatembea kwa shida.

Yaani kwa sasa Feri ni shida kweli kweli.

Wasipochukua hatua kwa siku hizi ambapo vivuko ni viwili tu, lolote linaweza kutokea hasa nyakati za Asubuhi na Jioni.

Nawasilisha

Vivuko.jpg
 
Wakuu, jana na leo! Nimeshuhudia kitu kisicho cha kawaida.

Sijui kivuko ni kibovu ama vipi.

Tumepanda kikagoma kabisa kwenda, nafikiri tulikuwa wengi kupita kiasi.
Tukapunguzwa at least kikatembea kwa shida.

Yaani kwa sasa Feri ni shida kweli kweli.

Wasipochukua hatua kwa siku hizi ambapo vivuko ni viwili tu, lolote linaweza kutokea hasa nyakati za Asubuhi na Jioni.
Nawasilisha
Kivuko cha wapi kigamboni, kamanga au busisi mbona taarifa yako haileweki,tambua jamii forum
ni jukwaa la nchi nzima.
 
Siku hizi sina muda na Pantoni.
Naenda soko la samaki nashuka down napanda Fibre boat nauli 500 ndani ya dakika tatu nipo ng’ambo.
Kama huwezi kuogelea usijaribu,maana kifo nje‘nje.
Aisee...
Inaweza kuwa express hii.
Safi
 
Back
Top Bottom