kigamboni

  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iangalie hali ya usalama kwenye boti za mwendokasi Kivukoni na Kigamboni

    Mimi ni mwananchi wa kawaida leo nimeamua kuweka hili suala wazi ili jamii ione wazi kuliko kuendelea kulalamika chinichini kila siku. Naamini kupitia hapa Jamii Forums ujumbe huu utawafikia Watanzania wengi na vyombo vya Serikali kuweza kuelewa ninachokiandika hapa. Hoja yangu ni kwenye zile...
  2. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Ferri, Kigamboni marufuku kufanya biashara pembezoni mwa barabara

    Na. Jonathan Kalunga Wafanyabiashara wa ferri watakiwa kuepuka kufanya biashara pembezoni mwa barabara, mpaka pale watakapo tafutiwa maeneo mazuri kwa ajili ya shughuli zao. Katazo hilo limetolewa na Diwani wa Kata ya Kigamboni Dotto Msawa, alipowahutubia wafanyabiashara hao Mara baada ya...
  3. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwananchi waomba radhi, wasema mchakato zabuni uuzaji mradi wa Dege waendelea

    Muktasari: Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba amesema thamani ya mfuko huo imeongezeka na kwamba, fedha za wanachama ziko salama. Dar es Salaam. Mchakato wa kumsaka mzabuni kwa ajili ya uuzaji wa mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni, Dar es Salaam...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania NSSF yakosa tena Mnunuzi wa Mradi wa Dege Kigamboni Mji Mpya

    Ikitimia miezi mitano baada Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kutangaza kuuza mradi wake wa Dege Eco Village uliogharimu Sh330 bilioni hadi sasa, hakuna mzabuni aliyefikia uwezo wa kununua mradi huo. Mradi huo uliopo mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam ulioanzishwa na mfuko huo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale 1 acre plot for sale at Kigamboni town

    Plot for sale at Ungindoni Kigamboni, located 200 meter from main road. ideal for commercial and residential investment. Asking price ; 380M Tshs. for more info contact; +255 712 347 749 +255 746 474 849 Ungindoni plots
  7. U

    JamiiForums Tanzania Hali ya vivuko vya Kigamboni inazidi kuwa mbaya

    Naomba kwanza nikiri mimi ni mkazi wa Kigamboni ambaye karibu Kila siku ya Mungu natumia vivuko vya feri. Najua sio mada mpya Sana hapa jukwaani wengine wengi wameshaijadili hapa lakini kwa msisitizo naleta hii mada tena nikiwa naamini JamiiForums ni jukwaa pana, mada za humu ndani zinasomwa na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ndugulile ataka Azimio la Bunge la kubinafsisha huduma ya vivuko Kigamboni

    Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) ameliomba Bunge kupitisha azimio la kubinafsisha huduma za vivuko nchini. Dkt Ndugulile aliyasema haya leo tarehe 31.01.2022 wakati akichangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu iliyowasilishwa mapema leo Bungeni, Dodoma. Dkt...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hali tete vivuko vya Kigamboni

    Kwa masikitiko makubwa naomba serikali iingilie kati suala la VIVUKO VYA KIGAMBONI kutokana na hali ya uchakavu iliyopo katika VIVUKO hivyo ili kunusuru majanga yanayoweza kutokea. Tangu hii wiki ianze wananchi wamekuwa wakiteseka sana pale kwa foleni ndefu magari na mlundikano mkubwa kwenye...
  10. Rich Dad

    JamiiForums Tanzania Natafuta madarasa ya kukodisha Kigamboni

    Natafuta madarasa ya shule yaliyokamilika kwa ajili ya kukodisha kigamboni. Kama unayo taarifa yeyote tafadhali nicheck inbox
  11. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kimbiji, Kigamboni

    👉 Viwanja Kigamboni Kimbiji 👉 Mashamba tambalale Kwa ufupi. Eneo la ekari 3.5 beach area Lipo mkoa wa pwani Kisiju Karibia na bandari ya Kisiju Kituo ni Sotele Km 87 kutoka City Center DSM Bei ni milioni 12. (Negotiable) +255746 474849 Update** Heka zaidi ya 100 zinauzwa kisiju wilaya ya...
  12. Keynez

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya Ulengaji Shabaha ya Kigamboni ipo sehemu gani?

    Kuna jamaa yangu anaulizia sehemu ya kujifunzia au kufanyia mazoezi ulengaji shabaha. Nafikiri niliwahi kusikia ipo Kigamboni. Msaada kwenye tuta.
  13. J

    JamiiForums Tanzania House4Sale Ghorofa inauzwa(imeshuka bei), Dege - Kigamboni

    Habari wana jukwaa..., Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni self contained na sitting rooms mbili, moja chini moja juu. Limezungushiwa ukuta na eneo la kiwanja...
  14. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Kivuko cha MV Magogoni kibebe abiria tu asubuhi

    Huwa naona watu ni wengi sana asubuhi saa 12 hadi saa 3 wakiwa tayari kuvuka kutoka Kigamboni kuja Ferry na Mv Magogoni ikijaza magari tu na watu wengi kubaki wakiwa wamefungiwa kama kuku kusubiri kivuko kiende na kurudi ndo kiwachukue, wagonjwa wanachelewa hospitali na wafanyakazi wanachelewa...
  15. hp4510

    JamiiForums Tanzania Naitaji Cashier wa Min Restaurant ( Kigamboni)

    Naitaji kijana wa kike au kiume ambae amemaliza form 4 na anaweza kufanya kazi ya kusimamia mauzo na manunuzi ya vitu kwenye restaurant Kazi yake kubwa itakuwa ni kufunga hesabu za siku, kujua maitaji ya vitu vinavyoitajika Kwenda kununua hivyo vitu Na kusimamia mauzo Kazi ni kuanzia saa 1...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji Kigamboni waendela kuleta ahueni

    Mradi wa Maji Kigamboni waendela kuleta ahueni. Tangu kuzinduliwa kwa mradi wa maji Kigamboni maeneo mablimbali ambayo hapo awali yalitegemea maji kwa mgawo tangu kutokea ukame mwezi Oktoba,2022 yameanza kupata maji. Wanufaika wa kwanza walikuwa wakazinwa Kigamboni Ferry, Navy, maeneo ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kigamboni Title Deed, Urgent sale

    Wakuu nina kiwanja Changu Kigamboni (Clean Title Deed) 469 Sqm, kipo Barabara Tasaf ukitokea Dar es Salaam Zoo. Block S, Chekeni Mwasonga. Barabara za Mtaa zipo Full Draft. Nakiuza Kwa 8M Tzs. , pM kama upo interested Asante.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022 ===== Mradi wa maji wa Kigamboni umezinduliwa rasmi na Rais Samia, Rais amejafungua maji na yanatoka kwa wingi. Rais amekata utepe na...
  19. Cherry123

    JamiiForums Tanzania Natafuta dereva wa bajaji wa kuleta hesabu nipo Dar - Kigamboni

    Hello! Natafuta dereva wa bajaji mwenye uzoefu na bajaji vizuri. Awe anaishi Dar na awe na leseni yake tayari. Mwenye tabia ya uaminifu. Anahitajika urgently apige namba 0757302961. Nipo Kigamboni
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kigamboni haina maji inakuwaje yaliyopatikana yapelekwe mjini kabla ya wanakigamboni kupewa maji?

    Ifike sehemu viongozi muwe na aibu jamani na wakazi wa kigamboni hata kama niwapole! 1. Wananchi wa kigamboni wanaishi kama digidigi kwenye pantoni na hakuna kiongozi hata mmoja anaeguswa na hilo 2. Mabanda ya abiria kwenye pantoni hayana viti lakini hakuna anaejigusa Si Temesa, Si LATRA, Si...
Back
Top Bottom