kigamboni

  1. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Mradi wa Dege Eco village uliotelekezwa Kigamboni

    21 April 2022 Kigamboni, Dar es Salaam Tanzania MRADI MKUBWA WA MAKAZI ULIOGEUKA MAGOFU WATEMBELEWA ILI KUONA UKUBWA WAKE Mradi huu mkubwa wa mfuko wa Jamii wa NSSF ulianza ujenzi mwaka 2014 ulikuwa ukamilike 2018 lakini mwaka 2016 ukasimama una nyumba 7460 68 executive, twin villas 148...
  2. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Compressar 150l inauzwa kigamboni

    Compressor ina ujazo wa 150l, inatumia mafuta. Imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu haina shida yoyote. Bei 950,000/= Mawasiliano 0769452934 or 0685854119
  3. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Compressor 150l inauzwa Kigamboni

    Compressor ina ujazo wa 150l, inatumia mafuta. Imetumika kwa mda wa mwezi mmoja tu haina shida yoyote. Bei 950,000/= Mawasiliano 0769452934 or 0685854119
  4. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kusafisha Petroli Kigamboni

    Hivi tuna mkakati wowote wa kufufua kiwanda cha kusafisha mafuta Kigamboni au Pengine kujenga kingine Kipya kule bandari yaTanga Ili kiende sambamba na Ukamilishaji wa Mradi mkubwa wa Bomba la mafuta ghafi kutokea Uganda Nauliza tu isijekuwa tuna subiri mafuta yapite hapa kwetu yaende Arabuni...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Chongolo: CCM itaendelea kuweka msukumo kuboresha miundombinu ya barabara na vivuko Kigamboni

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amesema CCM itaendelea kuweka msukumo kuhakikisha miundombinu ya barabara na vivuko inaboreshwa Kwenye Wilaya ya Kigamboni kwa sababu ni lango la uchumi wa Taifa. Amesema kwa sasa asilimia 90 ya bidhaa ya mafuta yanayotumika nchini...
  6. J

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya ghorofa inauzwa Dar-Es-Salaam - Kigamboni maeneo ya Dege

    Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni self contained na sitting rooms mbili, moja chini moja juu. Limezungushiwa ukuta na eneo la kiwanja ni Square Meter 947 na...
  7. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi kuvuka kigamboni ndio hakuna 200 kwa wote hakuna bei ya watoto kwasasa ile 100 ndio hakuna tena hii yote vita Ukraine au

    Inasikitisha kwasasa kigamboni kuguka ni kadi tu uwe mtoto uwe mkubwa ni Tsh 200 tu kwa wote sasa hakuna tena ile mtoto tsh 100 kweli hii vita Ukraine inatonyoosha kila idara aisee ila hongera kwa temesa kwa kutuminya wanakigamboni big up kwa uongozi temesa kazi iendelee
  8. aise

    JamiiForums Tanzania Kigamboni nauli zimepanda tayari

    Nauli za bajaj tayari zimepanda kutoka 500 mpaka 1,000/= Na hakuna ufafanuzi wowote. Jana natoka zangu mishe naambiwa nauli 1000 badala ya 500. Hii siyo haki.
  9. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Kigamboni: Moshi mkubwa watanda winguni na kuleta taharuki

    Kuna moshi mkubwa Kigamboni na inasemekana ni reserve ya mafuta inaungua. Inatengenezwa scarcity? ===
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Dar: Wafariki baada ya kuangukiwa na kifusi Kigamboni leo Aprili 3, 2022

    Watu kadhaaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakiwa kwenye shughuli za machimbo ya mawe katika eneo la machimbo ya Kikikaka, Mji Mwema Kigamboni, Dar es salaam. Kwa mujibu wa taarifa za awali shughuli za uokoaji zinaendelea. Kwa mujibu wa shuhuda aliyekuwepo eneo la...
  11. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Ndugulile aitaka Serikali kuondoa Tozo za Daraja la Nyerere (Kigamboni)

    Wakuu hi tozo ikiondolewa wakazi wa Kigamboni itawapunguzia Sana Ukali wa Maisha. Mbunge wa Kigamboni Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) ameitaka Serikali kuondoa tozo za Daraja la Nyerere lililopo Kigamboni na badala yake Serikali ibebe mzigo wa deni la mkopo wa NSSF. Ndugulile ameyasema haya leo...
  12. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunaomba msaada wa Kivuko Kigamboni

    Mama Samia tunaomba Huruma yako Kigamboni: Kwanza naanza kukusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano WA Tanzania..., Natumai umeitikia "Kazi iendelee.." Pili nakupa pole kwa kazi ngumu ya kuongoza Tanzania, nchi yenye Mazonge ya kila rangi kila uchao, Na Tatu nakupa pongezi kwa siku hii ya...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuna mteule wako anapiga simu kuzuia habari ya wananchi Kigamboni isisambae, kuna kitu hapo si bure

    Wadau nina jambo hapa tuweke siasa kando tujadili maendeleo Baada ya huu uzi hapa chini kutolewa Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao Inaelezwa kuwa kuna kigogo mmoja pande za kule kwenye kuvuka maji kule, Kigamboni anahaha kupiga simu...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao

    Inadaiwa kuwa huu mchongo unawahusisha vigogo wa kwenye mamlaka za juu na ndiyo maana kuna danadana zinaendelea. Taarifa za uhakika kutoka wa watu ambao wamekuwa sehemu ya waathirika wa mradi huo kwa ardhi yao kutaka kuuzwa kwa bei ya chini amedai kuwa wameshafanya vikao vingi lakini hakuna...
  15. uran

    JamiiForums Tanzania Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

    Wakuu, jana na leo! Nimeshuhudia kitu kisicho cha kawaida wakati navuka kati ya Feri na Kigamboni. Sijui kivuko ni kibovu ama vipi. Tumepanda kikagoma kabisa kwenda, nafikiri tulikuwa wengi kupita kiasi. Tukapunguzwa at least kikatembea kwa shida. Yaani kwa sasa Feri ni shida kweli kweli...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, na Rais Hayati Magufuli nae angestaafu angekuwa anaenda Bunju kwa 'Helicopter' kuiangalia Simba kama afanyavyo mwingine huko Kigamboni kwa Yanga?

    Ni matumaini yangu Makubwa kuwa hizo Helicopter huwa zinakuwa Salama na zinafanyiwa Matengenezo makubwa kwani kwa mwaka huu Watanzania hatuhitaji Kuomboleza tena. Halafu wala msihangaike kwenda huko Avic Town Kigamboni ilipo Yanga SC Kisirisiri kwani wengine tunawajua hata mlivyokuwa Uongozini...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wilaya za Kibaha na Bagamoyo zihamishiwe Dar es Salaam, Mbagala na Kigamboni zipelekwe mkoa wa Pwani

    Kipindi nakua mji ulikuwa mwisho ubungo, pale lilipo jengo la Tanesco ndio ulikuwa mzani wa kupima malori ambao sasa uko mkoa wa Pwani, Dar inakuwa kuelekea kaskazini,npaka wa Dar na kibaha unafutika, mpaka wa Dar, Bagamoyo unafutika kwa kasi sababu ya ujenzi unaokuwa kwa kasi ya ajabu...
  18. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Kigamboni: Kivuko chaondolewa kwenye maji, wanaotumia magari wapewa ushauri

    Taarifa kwa wanaotumia vivuko kuelekea na kutoka Kigamboni jijini Dar es Salaam: Kivuko chaondolewa kwenye maji, wanaotumia magari wapewa ushauri.
  19. Bexb

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga Kigamboni Mji Mwema au jirani

    Habari ya asbuhi wakuu. Ninahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kigamboni kuanzia Mji mwema kuja uelekeo wa Maweni, hadi kwa Mwingira. Ninahitaji iwe na vigezo vifuatavyo: 1. Vyumba viwili vya kulala ambapo kimoja kati ya hivyo kiwe self contained. 2. Kuwe na sebule 3. Public toilet ndani 4...
  20. aise

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana leo baada ya kufika Dege Kigamboni

    Nilikuwa Dege Kigamboni siku ya leo. Nimeshangaa sana baada ya kuona majumba makubwa sana ya ghorofa, majumba kama utitiri. Baada ya kuuliza nikaambiwa ni mradi unaitwa Dege Eco Village. Kwa haraka haraka tunaweza kusema ni kama Kariakoo au hata zaidi. Nakosa hata ya kuandika maana bado...
Back
Top Bottom