kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Juma Jerry (almaarufu Mzee wa Mbezi) wa TOT afariki Dunia

    Aliyekuwa mpiga kinanda nguli wa Kikundi cha CCM cha Tanzania One Theatre (TOT) au TOT Plus Juma Jerry au Mzee wa Mbezi ( dunia (Pichani) amefariki Akithibitisha kifo hicho Mkurugenzi wa TOT Gasper Tumaini amesema Jerry amefariki dunia leo katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam...
  2. JamiiForums Tanzania Matangazo ya vifo yatolewe na ndugu na hati ya kifo iambatanishwe wakati wa kuposti JamiiForums

    Tuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
  3. JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja Tangu kifo cha Billionea Reginald Mengi Tunamkumbukaje? Ni nini tumejifunza kutokana na maisha yake? Je, pengo lake limezibwa?

    Leo May 2, 2020 mwaka umetimia tangu Bilionea Reginal Mengi afariki.Mengi yamesemwa kumhusu Dr. MENGI lakini nimejiuliza maswali Je tunamkumbukaje?? Mengi alikua mtu wa aina gani hasa? Baada ya kifo chake nchi inamkumbuka na kumkosa? Je katika janga hili la Corona Mengi angefanya nini kwa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Haya mateso mnayowapa wagonjwa wa CORONA ni sawa na kuwapa hukumu ya kifo!

    Mambo mengi hayaeleweki kwenye utawala huu, Kuanzia kauli za kupingana za Makonda, kauli zisizoeleweka za waziri Ummy Mwalimu, Kauli tofauti (mabishano) kati ya Makonda VS Magufuli kuhusu kupiga dawa katika jiji la Dar Es Salaam, idadi ya wagonjwa waliopata nafuu au kupona tofauti kati ya Ummy...
  5. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu atuma salamu za pole kwa kifo cha Getrude Rwakatare. Amuombea upepo wa kisulisuli

    Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu kwa kutumia ukurasa wa Twitter ametuma salamu za rambirambi kutokana na kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatare. Amesema "Kwa Masikitiko na mshtuko nimepokea taarifa ya kifo cha aliyekuwa Askofu na Mchungaji wa Kanisa...
  6. JamiiForums Tanzania Jielimishe mwenyewe, waelimishe wengine. #Agenda ya Kifo. Bill Gates sio mwenzetu Chanjo ya COVID-19 ni Mwanzo tu

    Habarini wakuu wa jukwaa hili. Leo nimeona ni vema tushirikishane machache kuhusu COVID-19 lakini hasa kuihusu chanjo na maandalizi ya kumtawala binadamu. Hivi karibuni kwenye mahojiano na Reddit Bill Gates alisema kwamba “digital certificates” zitatumika kubaini ni nani aliyepokea chanjo ya...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

    TANZIA Nguli wa habari nchini Tanzania, Marin Hassan Marin amefariki dunia leo Aprili 1, 2020 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, Dar es Salaam. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Martha Swai. Utangulizi Marehemu Marin Hassan...
  8. JamiiForums Tanzania Kampuni za ukaguzi 'audit firms' mjiandae kufa kifo cha mende

    Wale wa kampuni za ukaguzi al maarufu kama audit firms kama pwc, delloite, kpmg, ey mkae mkijiandaa kufa. Hii nawapa tu tahadhari Juzi mlimsikia CAG akisema amepunguza gharama za ukaguzi kutoka kwenye makampuni binafsi yaliyokua yakikagua taasisi za serikali kubwa kama benki kuu. Makampuni...
  9. JamiiForums Tanzania Urais Afrika

  10. JamiiForums Tanzania Sudani: Waziri Mkuu Abdalla Hamdok anusurika kifo

    Waziri Mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdok amenusurika kifo kufuatia jaribio la mauaji lililotekelezwa mapema leo asubuhi katika mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum. Taarifa kutoka shirika la habari la Taifa hilo imeeleza kuwa Hamdok amepelekwa kwenye eneo salama baada ya mlipuko huo uliolenga msafara...
  11. JamiiForums Tanzania Kifo cha Mtakatifu Perpetua na Felista

    Perpetua alizaliwa huko Tunis (Mji mkuu wa Tunisia) Afrika ya Kaskazini mwaka unaokadiriwa kuwa wa 182, alizaliwa katika familia ya kitajiri, yenye kuheshimika sana, baba yake alikuwa ni mpagani, lakini Perpetua aliupokea Ukristo na kuwa mfuata kamili wa Kristo, japo historia haionyeshi ni...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wanamsaka binti wa miaka 13 kufuatia kifo cha mtoto wa miaka 5

    Wapelelezi wa kaunti ya Kitui wanamtafuta binti wa miaka 13 wakimhusisha na mauaji ya kijana wa miaka 5 ambaye mwili wake ulikutwa ukiwa umetupwa kwenye kichaka kilicho karibu na mto Mutendea. Taarifa zinaeleza kuwa siku ya ijumaa wawili hao walikwenda kuchota maji katika mto uliopo karibu na...
  13. JamiiForums Tanzania Rwanda: Human Rights Watch yataka kifo cha Kizito Mihigo kuchunguzwa

    Shirika la kutetea Haki za Binadamu, Human Rights Watch linataka uchunguzi ufanywe kubaini chanzo cha kifo cha mwanamuziki maarufu wa nyimbo za injili nchini Rwanda, Kizito Mihigo. Mkurugenzi wa shirika hilo katika kanda ya Afrika ya kati Lewis Mudge, ameiambia BBC kuwa shirika hilo linatilia...
  14. JamiiForums Tanzania Mambo 7 yanayopelekea kufa taratibu kabla ya kifo halisi

    Binadamu ameumbwa katika hali ya kuwajibika kipekee sana kwa ajili ya maisha yake kuliko viumbe wengine wengi tunaowaona katika uso wa Dunia. Kuna mambo mengi mno ambayo binadamu akiyafanya yanamuua taratibutaratibu na mara nyingi zaidi kabla ya kifo halisi. Siyo jambo la kushangaza kukutana...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi mtu aliyekata roho anavyoweza kurudi kwenye mwili wake

    Jamii zetu za Kiafrika na Tanzania kwa upekee wamekuwa wakifanya sayansi hii ingawa miaka ya karibuni umeonekana kumezwa na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Ipo hivi.." Mtu anapokata roho hufa taratibu na kwa hatua na kwa yeyote aliyewahi kuona wakati mtu anakata roho anaweza kubaini hatua...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Bodaboda uliyekwapua simu yangu maeneo ya Urafiki ukatubu la sivyo kifo chako hakiko mbali

    Wasalaam wana JF. Leo nimekwapuliwa simu na bodaboda maeneo ya urafiki karibu na stendi ya Kilimanjaro Express. Issue ilikuwa hivi. Nilikwenda kupokea mgeni wangu hapo stendi mida ya saa 3 usiku huu. Katika kuwasiliana na mgeni wangu kumbe bodaboda kanilia mingo. Nimeshtukia simu imekwapuliwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Data centre: Kifo ninachoenda kuua benki za kigeni nchini

    Habari za muda, Naomba nichukue fursa hii niyaseme machache sana ambayo naona kama hayataangaliwa kwa kina kirefu kuna hatari sana ya Banks nyingi sana kufunga biashara zake hapa nchini. Nadhani kwa wale wanaofatilia, siku za nyuma Benki Kuu ilitoa maelekezo kwa Commercial Banks zote nchini...
  18. JamiiForums Tanzania Kifo cha Man U

    Manu inatia huruma haina tena mvuto mashabiki wake wengine wamejificha kwenye timu zingine. timu yenye thamani kuliko timu zote duniani, timu yenye mashabiki kuliko timu zote duniani inakufa nini kifanyike kuinusuru? Binafsi mimi ni shabiki wa manchester ila ukweli hii timu imeoza imeoza...
  19. JamiiForums Tanzania UKIMWI umemfyekelea mbali dogo msherati wa kutupwa wa miaka 22, sasa hana tumaini tena anasubiri kifo tu

    Huyu mtoto nimemfahamu mwaka jana alipokuja Dar kwa mjomba wake. Anaishi Dodoma, hana pesa wala uhandsome ila ni hatari. Wiki mbili tu alizoishi hapa Dar kwa mjomba wake kawatafuna sana mabinti. Kwa umri wake wa miaka 22 ana watoto 2 na mabinti 2 wanatazamia kujifungua watoto wake. Miezi...
  20. JamiiForums Tanzania Wiki 1 ya kifo cha Kamanda Soleiman: Kiongozi wa Hezbollah aapa kuwarudisha wanajeshi wa Marekani nchini kwao wakiwa kwenye majeneza

    Kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah amesema kutakuwa na operesheni mbalimbali dhidi ya vikosi vya Marekani katika kanda ya mashariki ya kati, ili kulipiza kisasi Marekani kuwaua makamanda wa Iran na Iraq mapema mwezi huu. Bw. Nasrallah ameyasema hayo katika hotuba ya televisheni kwa ajili ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…