kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Marekani kusitisha adhabu ya kifo inayoendelea kutekelezwa

    Jumuiya ya Ulaya (EU) imetoa wito kwa serikali ya Marekani kusitisha utekelezaji wa hukumu ya kifo ya unyongaji iliyoanzishwa tena kufuatia uamuzi uliochukuliwa. Peter Stano ambaye ni Msemaji wa Kamati ya EU, alitoa maelezo kuhusu suala hilo na kubainisha hofu waliyokuwa nayo dhidi ya serikali...
  2. JamiiForums Tanzania Napokea maoni katika hatua yangu ya kutunga AMRI rafiki na halisia za kabla na baada ya kifo

    Mimii si mwandishi mzuri lakin nitafupisha kadri ujumbe ufike. tunakubaliana kuwa dini na imani yoyote ulenga kuweka sawa mahusiano kati ya Muumba na muumbwa/viumbwa. Kwa vile imani ni nyingi na zipo zinaendana na mahitaj ya jamii flani, si mbaya busara zikijikusanya kama za vitabu...
  3. JamiiForums Tanzania Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

    Muwe mnasikia tu fulani karogwa, anasumbuliwa na wachawi usiku, n.k haya mambo yakiwakuta ndo mtaijua anaeisimulia mvua basi iliwahi kumnyeshea, Nguvu za giza haziwezi kuonekana kwa macho yetu ya kawaida wala kupimwa na vifaa vya kisayansi, Aliedhuriwa na haya mambo kumbishia ni sawa na...
  4. JamiiForums Tanzania Mpaka Kifo Kitakapo tutenganisha - Mpango wa Dalia Dippolito kumuua mme wake

    Hakuna jambo gumu kama kuchagua mwenza wa maisha yako ambaye utaishi naye maisha yako yote mpaka pale kifo kitakapowatengenisha. Kujitolea kuishi na mtu siyo jambo jepesi, ndiyo maana mimi Nafaka mpaka leo sijaamua nasubiri mpaka pale kiongozi wetu Le baharia Lemutuz atakapoanza yeye au...
  5. JamiiForums Tanzania Mpaka Kifo Kitakapo tutenganisha - Mpango wa Dalia Dippolito kumuua mme wake

    Hakuna jambo gumu kama kuchagua mwenza wa maisha yako ambaye utaishi naye maisha yako yote mpaka pale kifo kitakapowatengenisha. Kujitolea kuishi na mtu siyo jambo jepesi, ndiyo maana mimi Nafaka mpaka leo sijaamua nasubiri mpaka pale kiongozi wetu Le baharia Lemutuz atakapoanza yeye au...
  6. JamiiForums Tanzania Ukifa leo, ni mambo gani utajutia hukutekeleza kabla ya kifo na yapi hayatakupendeza baada ya kifo

    1.KABLA YA KIFO Nlitumia muda mwingi kazini kuliko kwenye familia. Sikuwaomba msamaha watu nliowakosea makosa maksudi. 2. BAADA YA KIFO Binafsi ntamaindi sana jinsi ntavyopostiwa r.i.p hata na watu ambao walikuwa hawana msaada kwangu na hata hawakuwahi kunicheki kwa miaka zaidi ya minne. hizo...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Bobby Brown Jr afariki dunia akiwa na umri wa miaka 28, amefariki miaka 5 tokea kifo cha dadake Bobby Kristina

    Bobby Brown apoteza Mtoto Mwingine ndani ya Miaka 5 Kijana huyo Bobby Brown Jr amefariki akiwa na miaka 28 Dadake Bobby Kristin alifariki Miaka 5 iliyopita Kwenye ajali yenye utata Taarifa zaidi za chanzo cha kifo cha Jr zitatolewa na Polisi ----- LOS ANGELES — Bobby Brown Jr., the son...
  8. JamiiForums Tanzania Anusurika kifo kwa kutumbukia shimo la choo

    Mkazi wa Mtaa wa Nyanza Kata ya Kalangalala, Butogwa Daudi (22), ambaye alinusurika kifo baada ya kutumbukia kwenye shimo la choo na kuokolewa na askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Geita jana. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kama Daktari wa Binadamu anaumizwa na kifo cha mgonjwa. Je, ni maumivu gani aliyonayo mtekaji na muuaji?

    Mdogo wangu ni retired Dr. Juzi alikuwa anaangalia kumbukumbu ya kifo kwenye tv. Moja ya tangazo aliloliona ni tangazo la mgonjwa aliyefariki miaka 12 baada ya kumfanyia upasuaji, alishtuka na kuumia sana. Mdogo wangu aliumia si kwa sababu nyingine bali anaeleza kuwa wao madaktari ni walinzi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Ratiba rasmi ya kifo cha ndoa yako

    Wanawake:- Jumatatu - kichwa kinauma Jumanne - nilikuwa bize nimechoka Sana Jumatano - Nina blidi Alhamis - Nina blidi Ijumaa - Nina blidi Jumamosi - Nina blidi Jumapili - naumwa kiuno siwezi hata kugeuka Jumatatu - kichwa kinaniuma Jumanne - nimesuka nywele nimevutwa Sana, mwili wote...
  11. JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 50 wanusurika kifo katika ajali basi la Abood

    Watu zaidi ya 50 wamenusurika kifo baada ya basi la Abood (T 266 DBV) walilokuwa wakisafiria kutoka Morogoro kwenda Dar es salaam kupinduka mara mbili katika eneo la Ruvu wilayani Kibaha. Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wameiambia TBC kwamba ajali hiyo imetokea majira ya saa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Leo nimetafakari sana kifo cha Rais Benjamin Mkapa

    Ni miezi takriban minne sasa tangu Rais Mstaafu BWM atutoke. Bila ubishi, Rais Mkapa alikuwa na ushawishi mkubwa ndani ya siasa za CCM, na ni ukweli usio na shaka kuwa outcome ya siasa za CCM za uchaguzi wa mwaka 2015 ambazo yeye alishiriki kikamilifu ndizo leo hii tunaishi kwa consequences...
  13. JamiiForums Tanzania Geita: Amsababishia mwenzake kifo wakati akimtoa mimba nyumbani

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, linamshikilia Vestina Michael (44), mkazi wa Buseresere wilayani Chato kwa tuhuma za kumtoa mimba na kumsababisha kifo Mariam Msalaba (40), ambaye alipoteza maisha muda mfupi baada ya kutolewa mimba nyumbani kwa mtuhumiwa. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika 'Kifo' huwa hakina 'Hodi' na ikipangwa imepangwa tu, usiihusishe 'Siasa' na Kazi ya Mwenyezi Mungu

    "Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika. ITV Tanzania Hata kama hawa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kwanza Marekani kukabiliwa na hukumu ya kifo na serikali kuu tangu 1953

    Marekani inatekeleza hukumu ya kifo kwa mfungwa wa kike kwa mara ya kwanza katika kipindi cha karibu miaka 70, kulingana na Wizara ya Sheria. Lisa Montgomery alimyonga mwanamke mjamzito huko Missouri kabla ya kumkata mama huyo tumbo lake na kumtoa mtoto aliyekuwa amembeba mwaka 2004...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Fahamu haya kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020: Kujitoa, Kifo au Kutokuwepo kwa Wagombea

    Mgombea Kujitoa Kwa mujibu wa Kifungu cha 48 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mgombea anaweza kujitoa kugombea kwa kuwasilisha kwa Msimamizi wa Uchaguzi yeye mwenyewe barua ya kujitoa pamoja na tamko la kujitoa alilotoa mbele ya Hakimu. Nakala ya barua ya kujitoa ipelekwe Tawi la...
  17. JamiiForums Tanzania Simuulizi/documentari nzima ya kusisimua kwenye harakati za kuzima moto mlima Kilimanjaro na nilivyoshuhudia kifo mbele yangu lakini nikapona

    #SEHEMU YA KWANZA Naleta full documentary nilivyo husika kwenye janga la moto mlima kilimanjaro Kwanza Mimi nilishapitia mafunzo magumu ya jeshi 843Kj nadhani hii pia ilichangia kuepuka kifo. Stori inaanza asubuhi 13/10/2020 nilivyofika Marangu mtoni sehemu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Miaka 21 baada ya kifo cha Baba wa Taifa, mgombea yupi anabeba maono ya Mwl. Nyerere?

    Leo ni takribani miaka 21 tangia kifo cha muasisi wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Tangia kifo cha Baba wa Taifa mnamo Oktoba 14, 1999, Swali kubwa kwa watanzania lilikuwa ni 'Nani atabeba maono ya Baba wa Taifa katika kuiendeleza Tanzania?.' Huu ni mwaka wa uchaguzi na watanzania...
  19. JamiiForums Tanzania Ulikuwa wapi wakati kifo cha Mwalimu Nyerere kimetangazwa?

    Wakuu Salaam: Leo Oktoba 14 inatimia miaka 21 tangu muasisi wa Taifa hili atutoke duniani. Wakati kifo chake kimetangazwa, binafsi mimi sikua na uwelewa kuhusu hilo hivyo sijukujua chochote kinachoendelea. Mwaka wa 2000+ ndiyo naelewa sasa. Kuuliza uliza, kipindi kile tulikua Moshi wakati...
  20. JamiiForums Tanzania Oktoba 14: Kumbukumbu ya Kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Imetimia miaka 21 tangu imempoteza Tanzania kifo cha Baba wa Taifa

    Leo ni Kumbukizi ya Kitaifa ya miaka 21 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999 nchini Uingereza alipokuwa anapatiwa matibabu. Mwalimu Nyerere ni mmoja kati ya waasisi wa Taifa la Tanzania, ambaye alishiriki kikamilifu katika harakati za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…