Rwaz
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,969
- 3,320
Mimii si mwandishi mzuri lakin nitafupisha kadri ujumbe ufike. tunakubaliana kuwa dini na imani yoyote ulenga kuweka sawa mahusiano kati ya Muumba na muumbwa/viumbwa.
Kwa vile imani ni nyingi na zipo zinaendana na mahitaj ya jamii flani, si mbaya busara zikijikusanya kama za vitabu tulivyoletewa nasi tukaweka misingi ya imani yetu kadri tuonavyo inafaa. Naanza na maboresho yafuatayo katika kitabu kipya hicho. anayejua mengi ataulizwa mengi ni vyema tujiwekee kanuni zinazoishika.
1. Amri za Muumbaji hazitahusisha kufanya tendo/kutofanya tendo kusikomuumiza mwenzako. mf. amri ya kutozini inafutwa kama hakuna ubakaj wala fumanizi.
2. Amri ya usiue haitahusisha anayehatarisha uhai wa wengine.
3.Amri ya kuwaheshim wazaz haitahusu wazazi wanaotoa malezi ya ovyo na hatarishi au kutojari.
4. Amri ya kusali sabato iwe ni popote tu sali na fanya kazi siku yoyote.
5. Amri ya kutaman cha jiran inafutwa. ibaki ya usiibe.
Ongeza maboresho ndugu