mcshonde

Member
Jul 15, 2022
66
152
ARAFAT.png

Nani alimuua Yasser Arrafat? Novemba 11, 2004 wapalestina walijikusanya vikundi vikundi kuomboleza kifo cha Mohammed Abdel Rahman Abdel Raouf al-Qudwa al-Husseini, al maarufu Yasser Arafat au kunya Abu Ammar. Huyu mwamba alililiwa machozi ya kweli kutokana na kuwaacha wapalestina katika kipindi kigumu ambacho kwa uongozi wake wafuasi wake walianza kuuona mwanga wa AMANI kwa mbali. Arafat alkuwa ni mwenyekiti wa chama cha Palestine Liberation Organization kuanzia mwaka 1969 - 2004 na rais wa mamlaka ya Palestina 1994 - 2004. Ishu siyo kufa maana kila nafsi itaonja mauti; tatizo lilikuja pale alipopimwa vipimo zaidi ya 100, hakuna kilichokuja na jibu.

Kwa msimjua, Arafat alikuwa ni mtu maarufu kwenye siasa za mashariki ya kati. Ulikuwa huwezi kuongelea mgogoro kati ya Palestina na Israeli bila kumtaja. Alikuwa ni mwarabu anayefahamika zaidi kipindi hicho. Yeye ndiye aliyehusisha viongozi wa mataifa mengine kwenye mjadala wa mzozo wa mashariki ya kati. Kwa kuwa hakupenda raia wake wanavyokufa, akaanzisha taratibu za makubaliano ya amani mwaka 1988. Mwaka 2000 machafuko yakazuka, na wakati huo huo Ariel Sharon akawa waziri mkuu wa Israeli aliyetangaza wazi yeyote ambaye ni adui wa Israeli atashughulikiwa…akiamini kuwa Arafat akiwa nje ya uwanja kila kitu kitakuwa rahisi…haikuwa hivyo mpaka leo mzozo bado upo.

Oktoba 12, masaa 4 baada ya kula chakula cha jioni, Arafat alianza kuhisi uchovu huku akitapika. Omar Dakka, daktari binafsi wa Arafat kwa miaka 20, alidhani ni uchovu; hali ilipoendelea wakaita madaktari kutoka Misri…nao pia wakashindwa kutambua tatizo..wakaondoka.

Siku 14 baadaye wawaita madaktari kutoka Tunisia baada ya hali yake kuzidi kuwa mbaya. Wao pia wakashindwa kutatua tatizo ndipo oktoba 28 wakaitwa madaktari kutoka Jordan..walipofika nao wakaona wasije kupata lawama kwa kifo chake…wakashauri apelekwe nchi nyingine. Ikabidi kibali kiombwe ili serikali ya Israeli imruhusu atoke nyumbani kwake akatibiwe…yani wasije wakamuua punde tu atakapotoka ndani maana alikuwa anasakwa. Walipomruhusu Arafat akapelekwa Paris, Ufaransa ambako akakutwa DIC.

Kwa kawaida ukijikata..ili damu isitoke nyingi..kuna swichi inayoamuru kiasi kadhaa cha damu igande eneo husika ili kuziba..sasa DIC ni kama swichi imewashwa mwili mzima kwa wakati mmoja. Arafat hakuchukua siku nyingi, akaaga dunia.

Uchunguzi uliofanywa na Al Jazeera mwaka 2012 kwenye nguo pamoja na nywele zake..walikuta chembe za mionzi ya sumu inayoitwa Pollonium..ni jamii ya Uranium inayotumika kutengeneza nishati ya Nyuklia. Hiyo mwanangu ukinusishwa unaondoka bila kugundulika nini kimekuua. Afisa usalama wa Urusi, KGB, Alexander Litvinenko, alikufa kwa sumu hiyo. Ilimfuna ndani nje. Aliwekewa sumu hiyo kwenye kiti cha mgahawani, sinki la chooni na mswaki. Sio poa. Sema tu upatikanaji wake ni shida maana lazima uwe na access na maaraba zilizopo kwenye mitambo/vinu vya nyuklia.. Ingepatikana kirahisi mbona wengi tungemalizana hapa Bongo.

Madaktari waliomtubu Arafat waligoma kuongea kuhusu kifo chake huku mmoja wao akikiri kuwa kufa kwake ni siasa. Arafat alifanya makossa kadhaa akiwa kiongozi ila kila ifikapo novemba 11 kila mwaka…wapalestina wengi humlilia.
 
View attachment 2412368

Subiri wayahudi wa maganzo wafike aisee

Usizunguke aries Sharon na genie lake la wayahudi ndiyo chanzo full stop
 
Al sharoon,aliekuwa waziri mkuu wa Israel akishirikiana na Marekani,hata hivyo na yeye aliugua akalala kitandani miaka minane ya mateso,malipo ni hapapa,hata waliomuua Magufuli zamu yao inakuja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom