kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika ya Haki za Binaadamu yapinga Adhabu ya Kifo kuendelea kutolewa Tanzania

    Kwa mara nyingine Tena, Mahakama ya Africa ya Haki za Binaadamu (African Union Court of Human and People's Rights) imetoa tamko juu ya adhabu ya kifo iliyopo kwenye sheria za makosa ya jinai ya Tanzania. Tamko hili limetolewa June 2023 wakati wakifanya mapitio ya kesi ya Bwana Thomas Mwingira...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tabora: Daktari feki jela miaka 15 kwa kusababisha kifo

    Muuguzi Amos Masibuka (35), amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kujifanya daktari kwa kumfanyia upasuaji Lukwaja Selemani (78) na kumsababishia kifo. Licha ya kwamba alikuwa hana sifa za kuwa daktari, muuguzi huyo maarufu kwa jina la Dk Amos, alikuwa akitoa huduma...
  3. JamiiForums Tanzania Hadithi: Kifo cha mwandishi

    HADITHI: KIFO CHA MWANDISHI SEHEMU YA KWANZA Mtunzi: More Mawasiliano: 0756320219 Hadi nafika nusu ya safari yangu bado nilikuwa nikijiuliza kama uamuzi wa kuwa na safari hii ulikuwa sahihi. Kila mara nilikuwa nikijaribu kubashiri matokeo ya safari yangu lakini sikuona yaliyo bora mbele yangu...
  4. JamiiForums Tanzania Bila kifo watu wasingeenda kanisani/msikitini

    Ndio hivyo, Kwa sasa tunatia huruma kanisani na msikitini kwa kuwa hatujui baada ya kifo nini kinafuata.
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu sana: Ndugu yenu akiwa kwenye " naturally life threatening situation" msimuombe Mungu amuepushe na kifo bali mapenzi yake yatimie

    Kwa sababu most of the time inakuwaga ni Mungu mwenyewe ndio anataka kumtoa mhusika kwenye maisha yenu. Hata yule mtu wa kwenye biblia ambae siku zake za kufa zilikuwa zimefika ila akamuomba Mungu amuongezee miaka ya kuishi Mungu akamuongezea miaka 15 alifanya mambo mengi...
  6. JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka ofisa TRA anayedaiwa kujiua hotelini

    Tanga. Familia ya Richard Walalaze, ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Arusha aliyedaiwa kujiua kwa kujirusha kutoka ghorofani, imesema haiamini kama kweli alijirusha. Imeeleza inatia shaka tukio la kifo cha ndugu yao baada ya kuuona mwili wake katika chumba cha kuhifadhia maiti...
  7. JamiiForums Tanzania Haya ndio maumivu au uchungu wa kifo unaompata mtu anayekufa 'Sakaratul-Mauti'

    Jina lingine huitwa ''Ulevi wa kifo'' haya ni 'maumivu ya kifo' au mafuriko ya mauti. Hakika Kila nafsi itataabika wakati wa mauti yake. Kwetu sisi waislamu tunazo dalili ambazo humpata mtu siku 40 kabla ya kufa kwake. Nafsi zetu ipo siku zitalipwa adhabu ya udhalili kwa sababu zilikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Bunge la Ghana lapiga kura na kuifuta hukumu ya kifo katika Taifa hilo

    Ghana imeingia katika orodha ya Nchi za Afrika ambazo zimeiondoa hukumu hiyo miaka ya hivi karibuni. Taifa hilo lina Wanaume 170 na Wanawake 6 ambao walihukumiwa kifo lakini adhabu yao sasa itakuwa kifungo cha maisha gerezani. Mara ya mwisho Ghana kutekeleza hukumu hiyo ilikuwa Mwaka 1993...
  9. JamiiForums Tanzania Je unaweza kumuacha mpenzi wako Kwa sababu umetishiwa ametishiwa kifo?

    Kuna kisa nimekisikia Leo, Mdada mmoja ameamua kuachana na mpenzi wake ambae wamekuwa kwenye date for six years Na sababu ya kumuacha man wake ni because ex wa mdada kamwambia kama hatomuacha currently man wake then atamuua So because that mdada anampenda Sana huyu currently man wake akaamua...
  10. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mwalimu ampiga Mwanafunzi hadi kifo

    Huko Kilimanjaro Mwalimu amempiga mwanafunzi wa darasa la kwanza mwenye umri wa miaka saba mpaka kifo kwa kosa la kupiga kelele darasan 🥲 Kwenye picha huyo ni Mama yake Mzazi wa huyo mwanafunzi ameeleza kwamba Mwalimu Alimpiga sana mwanafunzi huyo mpaka alijikojolea baada ya hali kuwa mbaya ya...
  11. JamiiForums Tanzania Tume ya Haki Jinai: Rais asipoidhinisha Adhabu ya Kifo baada ya Miaka 3, Mfungwa apewe Kifungo cha Maisha

    Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Othman Chande amependekeza kuwa endapo itapita miaka 3 bila Rais kutoa Idhini katika Adhabu ya Kifo, Wafungwa wenye Hukumu hiyo waweze kubadilishiwa adhabu kuwa Kifungo cha Maisha. Hata hivyo, Tume imesema kuna malalamiko kuhusu Adhabu ya Kifungo cha Maisha...
  12. JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji akamatwa akidaiwa kusababisha kifo cha Mtoto

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi linamshikilia mganga wa kienyeji, Jalina Juma (45) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto, Yusufu Salumu (9), mkazi wa mtaa wa Rutamba Manispaa ya Lindi. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Pilly Mande alidai Julai Mosi, 2023...
  13. JamiiForums Tanzania Swali kuhusu kifo

    Habari Wana JF, Nina swali hapa ,hivi Kuna kifo kinawezatokea(binadamu kuaga dunia), bila sababu maalum kama vile za ugonjwa au ajali?
  14. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Rita Tunaomba uchunguzi cheti cha kifo No 100000203415(MOSHI)/ tangazo la kifo BD 0668249(Dar)Marehemu kafia dar kaishi dar +mirathi mo

    Ndugu Mkurugenzi wa Ritta Huyu ninayemwongelea ni mmoja wa ndugu zangu aliefariki 2019 Marehemu Edwin Moshi mwenye Kitambulisho cha Nida No 19450805-14115-00001-29 alifariki tar 19-2-2019 Hosptial ya Kinondoni hospital na ugonjwa wa kansa ya kibofu Marehemu ameacha jumla ya watoto wanne...
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

    Salaam, Mbunge wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya kupitia tiketi ya chama cha CCM, ndungu Francis Leonard Mtega amefariki dunia leo. Update zote kuhusu maziko, ugonjwa na msiba nitaleta hapa.. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Innalillah wainna ilayhi rajiuun. === Kupitia...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wanaotetea Sakata la mkataba wa bandari hawana tofauti na waliokanusha kifo cha Rais enzi zile ilikuwa hivi hivi

    Wanaotetea Sakata la mkataba wa bandari hawana tofauti na waliokanusha kifo cha rais enzi zile ilikuwa hivi hivi! Wengine walikwenda mbali zaidi wakidai wameongea nae kwa simu asubuhi kawaambia wachape kazi yuko mzima! Watu walizidi kuhoji rais wetu yuko wapi walijibiwa yupo chato anawageni...
  17. JamiiForums Tanzania NADHARIA Kifo cha Gavana Gilman Rutihinda

    Katika pita pita zangu mitandaoni leo nimekutana na "Twit" inayosema kwamba Gavana wa BOT Gilman Rutihinda (1989 - 1993) alifariki kutokana na ajali ya gari mwaka 1993 kama hii tweet inavyojieleza: Hata hivyo kuna article ya Mwaka 2011 hapa katika Forum inayoelezea kifo cha Gavana Rutihinda...
  18. JamiiForums Tanzania Simiyu: Askari wawili wadaiwa kumshushia kipigo kijana na kumsababishia kifo wakimtuhumu kuiba baiskeli

    Kijana aliyefariki anaitwa Mandela Petro inadaiwa alishambuliwa akiwa mtaani na Askari wawili wakimshutumiwa kuhusika katika wizi wa baiskeli ambapo baadaye baiskeli husika iliyodaiwa kuibiwa ilipatikana na kubainika marehemu hakuwa mwizi, Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu. Ikidaiwa mmoja wa Askari...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

    Habari wakuu! Heshima kwenu wana jukwaa mliojaa maarifa na utambuzi wa mambo.
  20. JamiiForums Tanzania Adhabu ya kifo ni adhabu ya kikatili inayokiuka Haki ya Mtu ya kuishi

    Tanzania imekuwa na sheria za adhabu, katika Tanzania Bara na Zanzibar, ambazo zinajumuisha hukumu ya kifo kama moja ya adhabu kwa uhalifu, ikiwa ni pamoja na mauaji. Hata hivyo, Tanzania bado ni moja ya nchi ambazo zimefuta adhabu ya kifo katika vitendo, kwani utekelezaji wa mwisho uliorekodiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…