kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kifo chako kitakuja siku ya kawaida, katikati ya mipango ambayo haijakamilika na dunia itaendelea bila wewe. Hivyo basi achana na kushindana na maisha

    Usijalaumu kwa kuchelewa Usijalaumu kwa kusemwa Usijalaumu kwa kupitwa Usiogope kushindwa Sio lazima uwe tajiri kwa njia yoyote ile. Sio lazima uwa lidhishe watu kwa namna yoyote ile. ishi na asili, usiishi ya watu
  2. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Nawaomboa UHAI wote walihusika na kuua, kuteka na kupoteza miili ya ndugu zetu MO29 na kipindi hiki chote, Kifo kwangu sio Adhabu.

    Baada ya kufanya kazi kwa miaka zaidi ya 3 kwenye hospital, na kuwa karibu na wagonjwa wa kila namna, niliona kuwa kifo sio adhabu kwa mtu anayevunja sheria. Nataka kuona wakiwa mahakamani, wakitoa maelezo nani aliwapa oda, walilipwa shilingi ngapi( au walipewa tu hela za mafuta), wote...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi halina taarifa ya kifo cha Mfanyabiashara Wicknell Chivayo na mke wake waliofariki kwenye ajali ya Helikopta Jana!

    Habari picha hizi hapa! Gazette la Mwananchi wao hawana habari hizi!
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

    Wale wajuzi karibuni kudadavua https://www.instagram.com/reel/Dd7PDTCjMJP/?stkn=MXBwZzl0cGFtaGRvdw== ===== Mfanyabiashara maarufu nchini Zimbabwe, Wicknell Chivayo, na mkewe Lucy “Lulu” Muteke, wamefariki dunia baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria kuanguka katika eneo la Marondera Rural...
  5. M

    JamiiForums Tanzania AI yafika Polisi, wagoma kubaki nyuma kiteknolojia. wafyatua maudhui kuzuia upotoshaji kuhusu kifo cha Msemaji wao, Misime

    AI yafika Polisi, wafyatua maudhui kuzuia upotoshaji kuhusu kifo cha Msemaji Misime Hapo awali walitoa tangazo la kukanusha posta ya kugushi iliyokuwa ikisema Msemaji wao Kafariki.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kwasasa mchongo ninaouskilizia ni kifo tu,uteuzi nimekosa,kazi za afya ni kuutafuta umasikini tu

    Kitu ambacho sitaki ambacho sitaki mtoto wangu aje afanye au aje kusomea ni hizi takataka zinazoitwa kozi za afya udakitari,Uuguzi,famasi,maabara na takataka zingine za afya ni ujinga hizi kozi yaani inshort hazikufikishi popote pale ni zaidi kuukimbilia au kuushika umasikini ukisomea hizi...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu atahukumiwa kifo. Maandalizi ya serikali yanayoitwa elinino yamelenga kuja kuzuia Vurugu baada ya ukumu

    Za ndani kabisa. Mitiani imewahishwa yote, kisha serikali ikatenga billion 700 kwa kile inachokiita elinino. Ila ukweli ni kuwa Ama Lissu atafia jela kabla ya hukumu yatehe 6 November au Akina kabudi watalazimika kuandika hukumu ya kumnyonga. Majamaa ya Zimbabwe hayataki kabisa kumuona lissu...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kituko kesi ya uhaini wa Tundu Lissu: Nassoro Katuga asema, kama TAL hana hatia ya uhaini wa hukumu ya kifo, basi mahakama imfunge jela miaka kadhaa!

    Hii ndiyo nia ya hawa hayawani. Hawataki kabisa mtu huyu awe huru iwe mvua au jua. Lakini mimi nasema, Tundu Lissu si mhaini, fullstop!! ================ Kinachoendelea leo Mahakama Kuu ya Tanzania, obvious mambo si mambo kwa Jamhuri wakiongozwa na Wakili wao mkuu, Nassoro Katuga. DPP na...
  9. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Afrika na adhabu ya kifo

  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Itakuwa siku ya furaha sana misikitini na uswahilini. Huyu mwamba kaua viongozi wengi sana wa Irani na waarabu

    Netanyau, Itakuwa siku ya furaha sana misikitini na uswahilini. Huyu mwamba kaua viongozi wengi sana wa Irani na waarabu. Ni mbabe vibaya sana ameshindikana. Khayatollah alikufa kama panya. Viongozi wa IRGC wanaishi katika hofu kubwa sana na mashaka. Hii yote ni sababu ya Netanyau. Hasara...
  11. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaani yabatilisha hukumu ya kifo mauaji ya 'Super Sami', Kibatala asema haki imetendeka

    Mahakama ya Rufani nchini Tanzania imewaachia huru waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa tuhuma za kumuua mfanyabiashara mashuhuri wa Mwanza, Samwel Mwang’onda, maarufu kama 'Super Sami'. Desemba 2024, jopo la majaji wa Mahakama ya Rufani lilitengua hukumu hiyo ya awali ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ràis Samia atuma Rambirambi kifo cha Mama Fatma Karume.

    Copy and paste Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mama yetu, Mama Fatma Karume, mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kilichotokeo leo tarehe 21 Septemba, 2026. Kifo chake ni pengo kwa familia na Taifa kwa ujumla...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CMAG Yaomboleza Kifo cha Hafidh Ameir

    Wajumbe wa Mkutano wa Kamati ya Mawaziri ya Jumuiya ya Madola (CMAG) wamesimama kwa dakika mbili kutoa heshima za mwisho na salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Hafidh Ameir Hassan, aliyekuwa mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Tukio hilo...
  14. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kisheria imekaaje serikali inapokataa kutambua kifo cha mtu?

    Tanzania tuna taasisi ya kiserikali ya RITA ambayo moja ya majukumu yake ni kutambua na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa na vifo. Kwa Tanzania na dunia ya leo, cheti cha kuzaliwa ni muhimu maana ndiyo msingi wa kwanza wa utambulisho wako kabla haujafika huko kwenye NIDA, leseni za udereva...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hofu ya kifo inatoka wapi ikiwa mbinguni, peponi kupo kweli na sio story tu?

    Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa? Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema. Ajabu ni kwamba dini zote zina ahadi ya maisha marefu hapa duniani. Sijawahi kukutana na muamini...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Si kweli kuwa Kifo ni kifo tusilete taharuki. Lazima kilete taharuki. Poleni familia za wote waliopoteza wapendwa wao in this era of political turmoil

    Wazungu wanazema time will tell! Time has spoken now. KIFO NI KIFO LAZIMA KILETE TAHARUKI. Haya yote watu kwenda Kizimkazi ni kwa vile KIFO SIYO KIFO, LAZIMA KILETE TAHARUKI. Nadhani kuna SOMO tumejifunza na Mwalimu wetu aliyesema kifo ni kifo tusilete taharuki amepata jawabu akina Familia ya...
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA yatoa pole kufuatia kifo cha Hafidh Ameir

    Kumekuwepo na picha inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuwa ni taarifa kwa umma iliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuhusu kutoa salamu za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Ameir.
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwezi Mmoja Bila Kugundulika: Kifo cha Mercy Lavington Chaibua Swali

    Mwili wa Mercy Maina Wachinga, 32, ulipatikana katika nyumba yake eneo la Lavington, Nairobi, ukiwa umeharibika baada ya kukaa ndani kwa takribani mwezi mmoja bila kugundulika. Kwa mujibu wa taarifa za awali, Mercy anadaiwa kujitoa uhai, huku polisi wakipata ujumbe ulioandikwa kwa mkono ambao...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kifo cha member wa Jamii Forum

    Kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama Alazwe mahala...
  20. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kabla JK hajajitokeza kwenye shughuli yoyote lazima zitangulie kwanza taarifa za ugonjwa au msiba fake

    Hii si mara ya kwanza, Kabla JK hajajitokeza kwenye shughuli yoyote lazima zitangulie kwanza taarifa za ugonjwa au msiba fake. Wito kwa wanaharati akina Hilda, Maria na wengine: Wawe makini na taarifa kama hizi, kwani huenda wanafanya maksudi ili kuwabaini wavujisha taarifa wenzao. Mfano...
Back
Top Bottom