kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Kifo ndicho kinachofanya maisha yawe na maana

    Hebu fikiria kitu kimoja. Kama binadamu asingekufa, maisha yangekuwa na thamani ileile? Nadhani jibu ni hapana. Tunathamini muda kwa sababu una mwisho. Tunathamini ujana kwa sababu tunajua utapita. Tunathamini watu kwa sababu tunajua siku moja wanaweza kutuacha. Tunathamini maisha kwa...
  2. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Uchunguzi wa kifo cha aliyeongeza uume yatoka rasmi

    Igho au tiny influencer wa Nigeria aliekua akiishi London, alifariki akiongezwa uume sasa baada ya uchunguzi kukamilika unadai tiny aliilazimisha madaktari kum dunga sindano za mkupuo tofauti na utaratibu aliopewa, Jopo la madaktari lilimtaka tiny adungwe sindano hizo Kwa vipindi viwili...
  3. aise

    JamiiForums Tanzania Pita Msechu ameshatoa wimbo kufuatia kifo Cha Mume wa Rais?

    Ambao mko karibu na vyanzo mnipe jibu
  4. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kifo Chafichua Maumivu

    Kilicho tokea leo ni kielelezo cha maumivu na manung'uniko ya watanzania.. Kifo cha mume wake mama Abduli kimegeuka kuwa ahueni ya wananchi. Kuna namna ambayo watu wamekaa kimya mpaka nilikuwa nadhani labda ni nayehisi maumivu ya October 29, na kutekwa na mauaji ni mimi pekee ila leo kilicho...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu alipewa Utabiri wa kifo cha mume wake Masikio akatia pamba

    Samia Suluhu hakutaka kusikia neno la Mungu. Masikio akatia pamba. Akajiona Mungu Mtu. Mungu anamchukua amtake. Lakini kuva vifo vingine vinatokea ili watu wajue mali hazitishi kifo. Iba uibavyo ila Mungu ndo Mwisho wa MANENO. Unaweza ukafanya ufisadi wa DP World kwa kuuza bandari, lakini...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wamekua na Huruma kwa Afya ya Mzee Warioba, Watanzania hapohapo wamelipuka Furaha kwa Kifo cha Mzee Hafidh. watawala mjitafakari mara moja

    Huruma, Huzuni, Maombi yameelekezwa kwa Mzee Warioba
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watu kufurahia kifo cha Mume wa rais wao kinaleta taswira gani kwenye taifa?

    Hii ni picha mbaya sana taifa na binadamu kwa ujumla. Kwamba watu wanapiga ndulu kwa furaha tele kwa kuwa mume wa rais wao kafariki. Tunapata picha gani hapa? Watu wanalipa kisasi? Wana chuki kwenye mioyo yao? Taifa limepasuka kila kona.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Majonzi: Kifo cha Mume wa Rais Samia na Machungu ya Mauaji ya Tarehe 29 Oktoba

    Mbingu, Ifakara, TANZANIA – Leo Septemba 7, 2026, Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ametangaza kifo cha mume wa Rais Samia Suluhu Hassan, Mzee Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena mjini Zanzibar akipatiwa matibabu ya...
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Nashauri Kifo cha Mume wa Samia kichunguzwe

    Huenda ni matokeo ya ukatili wa kijinsia.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huko FB wananchi wanafurahia kifo cha Kamishina wa polisi. Taifa limefikia pabaya sana.

    Mtu anakufa watu wanafurahia👇
  11. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Maisha ya dunia na kifo — Kwa nini tunakimbilia kitu ambacho hatutaki kukipoteza?

    Kuna siku moja ambayo kila mwanadamu duniani ataamka na kugundua kuwa safari yake imefika mwisho. Siku hiyo haitajali una pesa kiasi gani. Haitajali una magari mangapi. Haitajali una nyumba kubwa kiasi gani. Haitajali una followers wangapi. Haitajali umejenga jina kubwa kiasi gani...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wosia na Shauri la Mwisho: Upendo wa Dhati au Nuksi ya Kifo?

    Tanganyika na barani Afrika kwa ujumla, mizozo ya kifamilia pale mhimili wa nyumba anapoaga dunia imekuwa kama jambo la kawaida na la kuzoeleka. Mara nyingi tunashuhudia ndugu wa damu wakisafisha njia kuelekea mahakamani au hata kurushiana makonde, wakigombania namna ya kugawana mali...
  13. NkomaBakhosi

    JamiiForums Tanzania Je, tunaepuka vipi kifo cha Utambulisho wetu kidijitali? Uchambuzi - barabara na reli hazitatoshi kulinda Taifa.

    Wana-JF, Kuna aina ya utajiri ambao taifa linaweza kuupoteza bila wenyewe kugundua. Mzee mmoja anapofariki kijijini, simulizi zote ambazo hazijawahi kuandikwa kwenye vitabu zinakufa pamoja naye. Lugha yetu ya asili inapopoteza watoto wanaoizungumza, sehemu kubwa ya kumbukumbu ya jamii...
  14. NkomaBakhosi

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Barabara na Reli Hazitatoshi Kulinda Taifa. Je, Tunaepuka Vipi Kifo cha Utambulisho Wetu Kidijitali?Jukwaa (Sub-forum): Jukwaa la Siasa / J

    Wana-JF, Kuna aina ya utajiri ambao taifa linaweza kuupoteza bila wenyewe kugundua. Mzee mmoja anapofariki kijijini, simulizi zote ambazo hazijawahi kuandikwa kwenye vitabu zinakufa pamoja naye. Lugha yetu ya asili inapopoteza watoto wanaoizungumza, sehemu kubwa ya kumbukumbu ya jamii...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hizi hasira za baadhi ya vijana wa Tanganyika ni wivu na chuki ya kuona kijana kama wao kapewa cheo chenye uhakika wa maisha mazuri hadi kifo

    Ni kijana mdogo tu kisiasa na kaweza kupata cheo namba 2 kikubwa nchini kinachomuhakishia uhakika wa maisha safi hata baada ya kustaafu MAFAO BAADA YA KUSTAAFU Pensheni ya kila mwezi: 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliye madarakani. Kiinua mgongo: 50% ya jumla ya mishahara yote aliyopokea...
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya makamu wa Rais ilitumika kama kipozeo cha mtu aliyeuchukia muungano ILA akitokea zanzibari,Mungu aligeuza baada ya kifo cha Magu je walijua?

    Hii Nafasi ilikuwa ikitumika kama Nafasi ya kumpooza uchungu,mzanzibari yoyote AMBAE atagombea uraisi zanzibari na akakatwa na halimashauri kuu ya ccm baada ya kubaini yakuwa mgombea aliyekatwa alikuwa miongoni mwa wagombea lakini wenye vinasaba vya kutoupenda muungano WA Tanganyika na...
  17. bless on

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa Kukaribia Kifo

    Je umewahi kumsikia mtu aliyepata ajali mbaya au moyo wake kusimama akiwa hospitalini, madaktari wakamtangaza amefariki, lakini baada ya dakika chache moyo ukaanza tena kudunda na akazinduka? Anapozinduka, anakupa kisa cha ajabu cha pale alipokuwa kwa hizo dakika chache! Kitendo hiki huitwa...
  18. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Kwanini taarifa za kifo cha Mpishi wa Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais zimefichwa?

    Ofisi ya Makamu wa Rais ilitangaza msiba wa mtumishi wake, Bi. Kulwa L. Ngusa, aliyekuwa akihudumu kama Mpishi katika Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kulwa alifariki dunia Agosti 21, 2026, majira ya saa 12:00...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kifo cha Rosemary Koech: Je, mazingira ya kazi yanaweza kuathiri afya ya akili?

    Kifo cha Rosemary Chemutai Koech Kimwatu, aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Ulinzi wa Data katika KCB Bank Group, kimeibua mjadala kuhusu afya ya akili mahali pa kazi na namna shinikizo la maisha linavyoweza kumuathiri mfanyakazi. Rosemary, mwenye umri wa miaka 40 na mama wa watoto wanne, alifariki...
  20. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo Cha kifo Cha mpishi wa Emmanuel nchimbi wiki iliyopita?

    Humu Kuna watu wanaofanya kazi ofisi ya makamu wa Rais Dr. Emmanuel nchimbi wiki iliyopita mpishi wa makamu wa Rais alifariki dunia ghafla km alivyokuwa kwa lukuvi je Kuna mwenye kujua chanzo?
Back
Top Bottom