kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. Tutaniane kidogo wakulungwa

    Unaesoma post hii wewe ni mbwa koko
  2. Anae fahamu hizi simu za Kyocera BASIO 3 anipe mwanga kidogo kuzihusu nisije pigwa za kichwa PLEASE

    Nimezikuta mjini unguja zinauzwa 90k mpaka 100k nimeingia google nimekuta GSM arena hawajazifanyia review na ni simu ya 2017-2018 na kwenye baadhi ya apps zimeandikwa kichina nimaogopa nisije yakanyaga nikavuka zangu maji nikaondoka lakini hivi karibuni nitaenda tena huko Zanzibar sasa nahitaji...
  3. Mwigulu Nchemba, kuongeza sifuri kwa mgongo wa tozo ni kuendeleza mateso kwa wananchi

    Kuwabebesha wananchi tozo na kodi nyingi sio suluhisho lenye tija la kuiongezea nchi mapato, ni kuendelea kuwatesa. Mwigulu Nchemba anachojua ni kuongeza sifuri, hana ubunifu wowote ule. Kama akiendelea kufanya anayoyafanya sababu ndo mwisho wake wa kufikiri ulipofikia, atawatesa sana wananchi...
  4. Form six waliopungukiwa sifa kidogo jiungeni foundation program

    Kama wewe ni mhitimu wa Kidato cha Sita umepata DEE, EEE, CSS, EDS, ESS, DSS, EES, EEF, DEF, kwa ufupi, kama huna D mbili kwenye masomo yako lakini una Pass Moja na Subsidiary Moja jiunge Foundation Program ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ili upate sifa ya kujiunga Degree katika vyuo vikuu...
  5. Mitindo ya Koffi Olomide siielewi hata kidogo

  6. Nawaza; Sijawahi kubahatika kusikia au kuona msiba wa Albino

    Wasssalaaaaaaam wazeeee!!!! Katika maisha yangu yote mpaka nimefika umri huu sijawahi kubahatika kusikia au kuona msiba ambao aliefariki ni albino. Kuna maalbino kadhaa mitaani nimeishi nao, nimefanya nao kazi , mpaka wengine nimesoma nao kabisa lakini unakuta gafla tu bin vuu mchizi...
  7. Wanawake, hata kama mmetofautiana na waume zenu msiwaseme mbele za watu

    Peace be with you all, Weekend ya majuzi nilikua kiwanja flani ndani ya kitovu cha mji wa utalii Tanzania, nikiwa peke yangu katika kujipumzisha mwisho wa week. Ndani ya lounge ya hotel hii kilitokea kihoja kilichowastaajabisha wengi pale hotelini ila mimi sikushangaa maana nawajua wanamake na...
  8. C

    Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku?

    Nina Tsh 150,000/= tu je, nawezaje kuitumia kama Mtaji Mdogo ili nipate Faida ya haraka hata kama ni kidogo, ila ni ya kila Siku? Michango yenu nitaishukuru sana tu.
  9. F

    TANESCO Geita muwe serious kidogo

    Nimetembelea Kijiji fulani huko mkoa wa Geita nimekumbana na shida ya umeme. Wenyeji wanasema Transformer lao limeharibika siku kadhaa sasa. Kijiji kizima hakina umeme hadi nilivyoondoka leo. Ndugu zangu TANESCO mje kurekebisha hitilafu ikitokea wananchi wanateseka.
  10. B

    Huu Mgogoro na mzee unanipa wakati mgumu sana, Naombeni nanyi Mnishauri kama mmewahi kutana na changamoto kama hizi maishani

    Nadhani na umri nao umekuwa changamoto kwa mzee maana maamuzi yake yamekuwa kwa sasa hata hayaeleweki vizuri. Tumeingia mgogoro kwa jambo dogo sana. Lilianzia kwenye birthday yangu mwaka huu. Alitaka ninunulia gari ambalo kiuhalisia mimi niliona ningekuwa najichoresha sana. Lingekuwa gari pekee...
  11. Kipimo kidogo cha damu kutumika kupima Saratani ya matiti

    Wataalam wa Afya wamebaini kuwa kuna uwezekano wa kufanya vipimo vya Saratani ya Matiti kwa kutumia kipimo cha kawaida cha damu tofauti na kutumia kifaa maalum cha kupiga picha hasa wana wanawake wenye umri mdogo. Daktari wa upasuaji wa saratani ya matiti Profesa Kefah Mokbel wa Uingereza...
  12. Tuchangamshe akili kidogo tutoe stress zetu.........

    Ni Asubuhi nzuri yenye utulivu,kwani mwili uwa wenye nguvu ya kufanya kazi zaidi kwa wale wezetu wamachinga,wakulima,na ata wale wafanyakazi wa maofisini.Na hali ya hewa furani yenye kuvutia, kwa kweli Asubuhi inavutia.sio kama mchana jua Kali la kuchoma utosini, karaha mbalimbali kama kutokwa...
  13. Historia kidogo ya EAC

    Kutoka kushoto: Milton Obote(Uganda), Julius Kambarage Nyerere(Tanzania) na Jomo Kenyatta(Kenya) Tarehe 6 Juni,1967 huko Kampala, Uganda, viongozi hawa wa Uganda, Tanzania na Kenya walitia saini Mkataba wa kuunda Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ushirikiano (EAC) ulioanza kutumika tarehe 1 Desemba...
  14. Nina hiki kidogo naomba mnishike mkono wana Dodoma

    Habari za leo wanajamiiforums. Naomba mwenye connection ya kibarua chochote cha malipo ya siku kwa Dodoma aniunganishe. Nitatoa shilingi elfu kumi(10,000) kama shukrani. Naweza kuwa kondakta wa daladala, kiwandani, saidia fundi, najua kuendesha pikipiki japo sina leseni n.K. Mimi ni mwanaume...
  15. Naombeni uzoefu wa induction cooker: Je ni kweli linatumia umeme kidogo? Je lina unafuu wa gharama kuliko gesi?

    Salamu wadau!ambao mmewahi au mnatumia aina hii ya jiko naombeni uzoefu wenu, maana gesi ulimepanda sana bei, ninekuta muuzaji mmoja ameniambia linautumia umeme kidogo sana, 1unit per hour. Sasa nikasema za kuambiwa changanya na za kwako. Nawasilisha
  16. M

    CCM haihitaji Katiba Mpya hata kidogo inahadaa umma ili kuusahaulisha na mambo ya Loliondo

    Kwanza naomba kuweka tahadhali kuwa upumbavu sio tusi bali ni hali ya kutokumia akili ili kug'amua na kufanya maamuzi sahihi. Mdee na wenzake wamepigwa chini kwenye ombi lao sasa ndio nini? Mnapiga mayowee kama vile hamna akili? Mnasahau kuwa katiba ya nchi inasiginwa kila siku? Very stupid...
  17. Umewahi kumsaidia mtu ambae mnajuana kidogo au humjui kabisa bila malipo / masharti na siku za mbele akaja kukusaidia ili kurudisha fadhila

    Huwaga naskia kuna stori kwamba kuna watu huwa wanakuja kusaidiwa huko mbele ya safari na watu wasiowajua ama kujuana kwa mbali ambao waliwahi kuwasaidia kipindi ha nyuma. Je, wewe ni moja wapo ama una mtu unaemjua uliewahi kushuhudia kaja kusaidiwa na mtu ambae aliwahi kumsaidia na walikuwa...
  18. Nikupe siri kidogo ya Kudumisha Maisha ya AC ya gari yako na Maisha yako Binafsi

    Kwenye mfumo wa AC kuna kitu kinaitwa Cabin Air Filter, Hichi kifaa kinasaidia upate hewa safi kwa kuchuja vumbi, uchafu na chochote kisichotakiwa kufika ndani ya gari[harmful pollutants]. . Sasa watu wengi hatukijui so huwa kinakaa kinajaa uchafu kinaziba au kinafanya upenyo wa hewa kuwa wa...
  19. M

    Hizi ni baadhi tu za maneno ya hekima ya mzee Jakaya Kikwete

    Hizi ni baadhi tu za maneno ya hekima ya mzee wa msoga. 1. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako 2. Kelele za chura hazimzuii mtu kuteka maji Karibuni tuongezee zingine ikiwezekana tuweke na mazingira/context ambapo jkauli hizo zilitoka. kwa mfano kauli ya "akili ya kuambiwa changanya ya...
  20. Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Cage za kuku wa mayai. Layers Cage. ¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%. ²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai. ³utafuga kuku wengi saana katika eneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…