kidijitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Akili Mnemba (AI) atoa onyo la 'ukoloni wa kidijitali' barani Afrika

    Bwana Ndiaye akizungumza na UN News kuhusu mazingira yajayo, akijenga juu ya uzoefu wake wa kusaidia kukuza mageuzi ya kidijitali nchini Senegal katika elimu ya juu, kutoa huduma kama mtaalam kwa Umoja wa Afrika katika kutunga Mkakati wa Pan-Afriican kuhusu akili mnemba, na kuchangia kwenye...
  2. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Namna za kuongeza Usalama wa Mitandao kwa Watoto

    Kwa kuenea kwa teknolojia na intaneti, watoto wengi wanakua kama watumiaji wa kidijitali na wapenzi wa mitandao ya kijamii. Ingawa kuna faida nyingi za matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto, kuna hatari kadhaa kama vile kutolewa kwa maudhui yasiyofaa, uhusiano na watu wasiojulikana, na...
  3. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya China yasaidia Afrika kuendeleza uchumi wa kidijitali

    Katika msimu uliopita wa ununuzi wa Krismasi na mwaka mpya, Kilimall imekuwa jukwaa la biashara la mtandaoni linalopendedwa zaidi na wateja wengi nchini Kenya, kutokana na bidhaa zake bora na zenye bei nafuu, pamoja na huduma nzuri ya kupeleka vifurushi. Kilimall iliyoanzishwa na mfanyabiashara...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha yaahidi kuulinda mkoa Kidijitali, Wananchi waombwa kutumia fursa hiyo

    Jeshi la Polisi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema katika kuhakikisha linakwenda na mifumo ya kisasa na mabadiliko ya kitekinolojia ikizingatiwa mji huo ni kitovu cha utalii hapa nchini huku Mkoa huo ukipokea wageni wengi kutoka ndani ya nchi na mataifa mengine ambapo umeamua kuja na mfumo mpya...
  5. KalutaWings

    JamiiForums Tanzania Ununuzi wa awali wa pointi za matumizi 1,000 zenye thamani ya $10 million kwa bei ya TZS 300,000 tu

    Mradi wa kimapinduzi wa tovuti ya udalali wa mauzo ya bidhaa na huduma kutoka pembe zote za dunia kwa kutumia teknolojia mpya ya private blockchain ijulikanayo kama Hyperledger Besu. Niko mbioni kutengeneza tovuti ya kipekee kabisa ambayo haijawahi kutengenezwa hapa duniani...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanahitaji mazingira salama ya Kidijitali

    Tunapoadhimisha Siku 16 za ukatili dhidi ya wanawake unazidi kuenea kutoka nafasi za kimwili hadi kwenye uwanja wa kidijitali. Katika muktadha wa kimataifa, ukatili dhidi ya wanawake unaendelea kuwa kudidimiza haki za binadamu, ukichochea na utekelezaji dhaifu na mila za kijamii zenye ubaguzi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Mbunge kutoa taarifa Bungeni wakati wa mjadala unaendelea ufanyike kidijitali

    Kama kichwa cha habari. Naona huu utaratibu wa mbunge kupiga kelele ' taarifa, taarifa, taarifa' una distract anayeongea. Yaani mimi huwa hata siwaelewi, unavuruga kabisa flow ya mchangiaji na hata usikivu kwa sisi wasikilizaji. Nadhani hicho kipengele kiliwekwe kwa nia nzuri na Mabunge ya...
  8. nivoj.sued

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Dunia ya Kidijitali: Sekondari ya Zanaki yaanza kutekeleza mradi wa kujenga Jamii ya Kidijitali Tanzania

    Mkuu wa shule ya Zanaki ( mwenye hijabu katikati) akipokea vifaa vya tehama Shule kongwe nchini Tanzania, Sekondari ya Zanaki, iliyoko jijini Dar es Salaam, hatimaye imefanikiwa kujiunga katika utekelezaji wa mradi wa Tanzania ya Kidijitali baada ya kupata vifaa vya tehama kwa ajili ya...
  9. Hapana What

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wa taarifa za kijiografia na jinsi ya kuunganisha mifumo ya wadau wa kilimo na wakulima kwa kumuwezesha mkulima

    UTANGULIZI Kuna fasihi pana ambayo inaunga mkono kwamba urasimishaji wa ardhi utawapa wamiliki wa ardhi manufaa ambayo ni pamoja na: dhamana ya kupata mikopo; kuongeza motisha ya kuwekeza kwa wawekezaji; kupata haki za ardhi kwa wanawake na vijana; kutoa usalama wa kupanua ukodishaji na masoko...
  10. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania SoC03 National Suggestion Box: Mfumo jumuishi wa kutoa maoni kidijitali utakaoimarisha ubora wa huduma na uwajibikaji katika sekta zote

    Ili kuboresha huduma zitolewazo katika taasisi, maoni ya wapokea huduma na wananchi kwa ujumla ni ya muhimu sana kwa kuwa kupitia maoni hayo taasisi hutatua changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika mchakato wa utoaji huduma. Ili kulitimiza hilo, taasisi zimekuwa zikitumia njia mbalimbali...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Jukwaa la Fikra Kuhusu Mabadiliko ya Digitali - Juni 20, 2023

    Mazungumzo haya yameratibiwa na Mwananchi Communications Ltd (MCL) yanajadili umuhimu wa kusudio kubwa katika mageuzi ya kidigitali na ushirikiano kati ya sekta za umma na binafsi katika kufikia kusudio hilo. Tukio hili limewakutanisha viongozi wenye ushawishi, watunga sera, wasomi...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Warsha ya kujenga uelewa katika Sekta ya Kidigitali kuhusu Sheria, Sera na Kanuni zinazosimamia Anga ya Kidigitali Tanzania

    Leo Jumanne Mei 30, 2023, Shirikisho la Wadau Wanaotetea Haki za Kidigitali Tanzania (Digital Rights Coalition Tanzania) limeandaa Warsha ya kujenga uelewa kwa Wadau katika Sekta ya Kidijitali kuhusu Sheria, Sera na Kanuni zinazosimamia Anga ya Kidijitali Nchini Tanzania pamoja na kuwezesha...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Boomplay Yaingia Makubaliano Na Halotel Kurahisisha Usikilizaji Wa Muziki Kidijitali

    Boomplay, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, imeshirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya simu, Halotel kuzindua kifurushi cha ‘Boomplay na Halotel’ ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuendelea kurahisisha usikilizaji wa muziki kidijitali kwa Watanzania. Ushirikiano huu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Simu janja kutoka nchini China zachochea ukuaji wa uchumi wa kidijitali Afrika

    China ni nchi inayoendelea ambayo imepata mafanikio makubwa sana katika maendeleo ya teknolojia, hususan katika teknolojia ya mawasiliano. Simu janja zinazotengenezwa nchini China zimekuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya uchumi wa kidijitali katika nchi nyingi zinazoendelea hususan za...
  15. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Cryptocurrency ya Kiislam yaingia Sokoni

    Maisha yanaenda kwa kasi ya wastani wa mwendo wa jongoo wala siyo farasi. Cryptocurrency sijui zile Bitcoin na nyingine nyingi tu zimeletwa zikiwa na makusudi ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama hasa kwenye matumizi ya fedha isiyo na mipaka. Baadhi ya watu wanaona hizi pesa za kidigitali ni...
  16. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Ibu Digital: Natoa huduma zifuatazo kidijitali!

    Habari zenu waheshimiwa! Natangaza huduma zangu zifuatazo; NB: Sina ofisi, kwasasa natoa huduma kidijitali. Ila kwa waliopo DSM wanaweza kuonana na mimi (ikiwa watahitaji) Kimara Temboni maana ndio makazi yangu. Huduma zangu; Natengeneza PDF ya document yoyote, iwe kitabu, cheti, cv...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania BoT yakamilisha utafiti uanzishwaji fedha ya kidijitali

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeweka wazi hatua za mafanikio katika uanzishaji wa fedha za kidijitali ya Benki Kuu (CBDC) baada ya kukamilisha shughuli za utafiti. Taarifa iliyotolewa jana na BoT imesema kwa kuwa CBDC inaweza kutolewa na benki hiyo na hivyo kuwa chini ya mamlaka yake, iliamua...
  18. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ulinzi na usalama wa Kimtandao

    Ulinzi wa kimtandao humaanisha tabia anuwai na tahadhari za kujilinda anazofuata mtu wakati anatumia mtandao katika kuhakikisha kuwa habari nyeti za kibinafsi na za vifaa anavyotumia mtandaoni vinabaki kuwa salama. Husaidia kupunguza uwezekano wa kushambuliwa au kupunguza madhara ya shambulio...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania NIDA yaanza usajili wa Vitambulisho kwa njia ya Mtandao

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetambulisha mfumo wa usajili wa watu kwa njia ya mtandao utakaowezesha wananchi wenye sifa za kuomba vitambulisho vya taifa kwa kujaza fomu mtandaoni. Waombaji wa awali watajaza fomu mahali popote walipo bila kulazimika kwenda ofisi za usajili za...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB, VISA kuleta mapinduzi sekta ya utalii na usafirishaji kupitia kadi za kidijitali

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akifanya mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Visa International, Alfred Kelly kuhusu ushirikiano baina ya taasisi hizo katika kuanzisha huduma za malipo ya kidijitali katika sekta ya utalii. Mkutano huo ulifanyika...
Back
Top Bottom