kidijitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa: Wakuu wa Mikoa wote simamieni mfumo wa Kidijitali wa kuwatambua Madereva Bodaboda na Bajaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga vituo vya bodaboda vya kupaki pikipiki vyenye uwezo wa kuzuia jua na kuwakinga na mvua wanaposubiri wateja. Mhe. Mchengerwa ametoa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kilimo cha Kidijitali

    KILIMO CHA KIDIJITALI: Tanzania, kama nchi nyingine za Kiafrika, inakabiliwa na changamoto za kuleta maendeleo endelevu katika miaka ijayo. Mojawapo ya njia za kufanikisha hili ni kwa kuwekeza katika kilimo cha kidijitali. Katika andiko hili, tutachunguza jinsi kilimo cha kidijitali kinavyoweza...
  3. U

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utalii kukua kidijitali

    Utalii ni Neno Pana na lenye manufaa makubwa kwenye uchumi wa taifa letu la Tanzania. Uchumi wa nchi yetu ya Tanzania unategemea rasilimali mbalimbali ikiwemo rasilimali inayohusisha vivutio vya utalii na utalii wenyewe. Kutokana na umhimu wake kwenye pato la taifa utalii hutakiwa kutangazwa...
  4. Novart moses

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mitandao ya simu kuimarisha ulinzi dhidi ya jumbe na simu za kitapeli

    Katika miaka ya hivi karibuni, kuongezeka kwa matumizi ya simu za mkononi kumeleta mabadiliko makubwa katika mawasiliano nchini Tanzania. Simu za mkononi zimekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya Watanzania wengi, zikichochea maendeleo katika sekta mbalimbali kama vile biashara, elimu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo tunahitaji kutunga na kutekeleza sera na sheria zinazosimamia sekta ya ICT ili kuhakikisha usalama wa mtandao na haki za watumiaji

    UTANGULIZI Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii: Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
  6. Last_Born

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia na Ubunifu: Kuongoza Mabadiliko kuelekea Tanzania ya Kidijitali

    Teknolojia ina jukumu muhimu katika kuendesha maendeleo ya kisasa na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inapaswa kulenga katika kukuza matumizi ya teknolojia na kukuza ubunifu kwa lengo la kujenga uchumi wa kidijitali na jamii inayotumia teknolojia...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Sheria za Ulinzi wa Data katika nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ni ushindi mkubwa kwa Haki za Kidijitali

    Ripoti kuhusu hali ya haki za kidijitali Kusini mwa Afrika imepongeza juhudi za nchi za ukanda huo kuweka sheria za ulinzi wa data kama moja ya njia za kuboresha haki za kidijitali miongoni mwa wananchi. Ripoti hiyo yenye kichwa “Kulinda Haki za Kidijitali Kusini mwa Afrika: Wito wa Hatua kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nafasi ya ujuzi wa kidijitali katika kuziba pengo la ajira nchini Tanzania

    Nafasi Ya Ujuzi Wa Kidijitali Katika Kuziba Pengo La Ajira Nchini Tanzania Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ukuaji wa ajabu katika uchumi wake wa kidijitali, na hivyo kusukuma mahitaji ya wafanyakazi wenye ujuzi katika viwango vya juu visivyo na kifani. Hata hivyo, mwelekeo...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya taasisi za Mawasiliano na mifumo ya Kidijitali kama njia ya mawasiliano (kutoa taarifa) kati ya wananchi na viongozi

    UKUAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kunipa fursa ya kuchangia mawazo muhimu yatakayosaidia TANZANIA yetu katika miaka 5-25 ijayo, kupitia Jamii forums. Dunia ya sasa imetawaliwa na mifumo ya utandawazi kupitia teknolojia ya viwango vya juu ya matumizi ya mtandao...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Bajeti inatupeleka Tanzania ya Kidijitali. Hadi barua za watendaji mtaa kuhamia 'online'

    Waziri Nape ametoa dondoo za bajeti yake anayotarajia kuisoma kesho ikiwemo Taifa kuhamia dijitali. Nape amesema kutakuwa na kitambulisho kimoja na kila kitu kitaunganishwa humo na watu wataacha kuhangaika kutafuta huduma kwani kila kitu kitaletwa 'Online'. Waziri Nape Nnauye: Bajeti inaenda...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TCRA: Kuna tatizo la Mfumo wa Mawasiliano ya Intaneti kwenye Mkongo wa Baharini

    Kama umekosa huduma ya intaneti kwa saa kadhaa leo, tambua shida sio kifaa unachotumia bali ni tatizo la kiufundi lililotokea kwenye miundombinu ya intaneti iliyopitishwa baharini. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk Jabir Bakari amelithibitisha hilo alipotafutwa na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa wazi wa Kidijitali kufatilia utekelezaji wa miradi ya Serikali

    Mfumo wa kidijitali wa ufuatiliaji wa Miradi ya Serikali Ili kuongeza uwazi. (Government Projects Tracking System). Maendeleo ya Sayansi na teknolojia yamerahisisha utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi wake, huduma mbalimbi kama Elimu, Afya, Nishati ya umeme, Mawasili na usafirishaji n.k...
  13. mkalamo

    JamiiForums Tanzania India yafanikisha Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa juu ya Miundo mbinu ya Umma ya Kidijitali

    Mkutano wa Kimataifa wa Kwanza wa Umoja wa Mataifa kuhusu Miundombinu ya Umma ya Kidijitali ulifanyika chini ya uongozi wa India wa kutumia teknolojia kukuza Malengo Endelevu ya Maendeleo (SDGs) na kukuza ushirikishwaji, amesema Ruchira Kamboj, Mwakilishi wa Kudumu wa India kwa Umoja wa Mataifa...
  14. The Sheriff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Asilimia 80 ya huduma za serikali zinapatikana kidijitali. Tunakusudia teknolojia kuwa msingi wa mageuzi ya Kenya

    Rais wa Kenya William Ruto amesema kwamba utawala wake umekamilisha asilimia 80 ya kuweka huduma za serikali kidijitali. Akizungumza leo Jumatatu, Ruto amesema kuwa ana furaha sana na maendeleo ambayo utawala wake umefanya hadi sasa. Amesema hayo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Connected...
  15. snipa

    JamiiForums Tanzania Bitcoin Halving Tukio au fursa ya kihistoria itakayobadilisha thamani ya Sarafu za Kidijitali 2024

    Katika thread hii sitazungumzia ni Nini maana ya Bitcoin mana naamini mada hizo zipo, ila ntaenda Moja kwa Moja kuzungumzia halving. Satoshi Nakamoto kwenye code za Bitcoin Blockchain aliona ni vyema kuzingatia baadhi ya mambo ili kuifanya BTC iwe inflatable, Ikiwa kama fedha ya kawaida inaweza...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Jokate awaelekeza Makatibu wa Wilaya kuhamasisha zoezi la usajili wa Wanachama Kidijitali

    "Wanawake wote shirikini kikamilifu na UWT imekuja na kampeni mahususi ya kuhamisha wasichana na wanawake kujiuga na UWT kidijitali ama kielekrtoniki, karibuni wote kujiunga na jeshi la wapambanaji, wachapakazi na wapeana fursa na wapenda maendeleo." "Dunia ya sasa imebadilika tunataka jeshi...
  17. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Akili Mnemba (AI) atoa onyo la 'ukoloni wa kidijitali' barani Afrika

    Bwana Ndiaye akizungumza na UN News kuhusu mazingira yajayo, akijenga juu ya uzoefu wake wa kusaidia kukuza mageuzi ya kidijitali nchini Senegal katika elimu ya juu, kutoa huduma kama mtaalam kwa Umoja wa Afrika katika kutunga Mkakati wa Pan-Afriican kuhusu akili mnemba, na kuchangia kwenye...
  18. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Namna za kuongeza Usalama wa Mitandao kwa Watoto

    Kwa kuenea kwa teknolojia na intaneti, watoto wengi wanakua kama watumiaji wa kidijitali na wapenzi wa mitandao ya kijamii. Ingawa kuna faida nyingi za matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto, kuna hatari kadhaa kama vile kutolewa kwa maudhui yasiyofaa, uhusiano na watu wasiojulikana, na...
  19. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya China yasaidia Afrika kuendeleza uchumi wa kidijitali

    Katika msimu uliopita wa ununuzi wa Krismasi na mwaka mpya, Kilimall imekuwa jukwaa la biashara la mtandaoni linalopendedwa zaidi na wateja wengi nchini Kenya, kutokana na bidhaa zake bora na zenye bei nafuu, pamoja na huduma nzuri ya kupeleka vifurushi. Kilimall iliyoanzishwa na mfanyabiashara...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha yaahidi kuulinda mkoa Kidijitali, Wananchi waombwa kutumia fursa hiyo

    Jeshi la Polisi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema katika kuhakikisha linakwenda na mifumo ya kisasa na mabadiliko ya kitekinolojia ikizingatiwa mji huo ni kitovu cha utalii hapa nchini huku Mkoa huo ukipokea wageni wengi kutoka ndani ya nchi na mataifa mengine ambapo umeamua kuja na mfumo mpya...
Back
Top Bottom