kidato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania DC mteule ndugu "Mchopanga" alisoma shahada ya kwanza bila kuwa na matokeo ya kidato cha sita licha ya kuisoma kwa miaka mitatu

    Niliposoma gazeti la MWANANCHI la leo ni kuwa yupo DC mmoja mteule ambaye anatokea kwenye tasnia ya wasanii ambaye alienda nchini India kwenye chuo kikuu cha Bangalore akisomea shahada ya kwanza kwenye mambo ya sanaa huku matokeo yake ya kidato cha sita yakiwa hayajatoka. Kwa mujibu wa gazeti...
  2. Issa Bakary

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, nina elimu ya kidato cha nne

    Natafuta kazi yoyote halali. Elimu yangu ni kidato cha nne pia nimehitimu mafunzo ya udereva veta ila sina uzoefu sana sababu sijawahi fanya kazi ya udereva popote ila nikipewa kazi nafanya properly.
  3. Mtepa wa Mtepaza

    JamiiForums Tanzania Nina elimu ya Kidato cha nne naweza kupata scholarship nchini Canada?

    Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko Je, kulingana na...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanafunzi wa kidato cha tatu ampiga msumari mkuu wa shule kwa kudaiwa ada

    Mwanafunzi wa Kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Ainamoi iliyoko Kaunti ya Kericho, Kenya anatafutwa na polisi kwa kumpigilia msurmali wa inchi nne Mkuu wake wa shule. Mwanafunzi huyo alizuiwa kuingia darasani akitakiwa kwanza alipe ada aliyokuwa anadaiwa ambayo ni takribani Tsh...
  5. justin mwanshinga

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Tano na vyuo ni kilio kwa Wazazi masikini

    Na Mwl Matete Siku tatu zilizopita serikali ilitoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowastua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa. Wazazi wengi wanalia hasa wale masikini ambao hawana uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule binafsi...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kwenda kidato cha tano 2021 hawa hapa

    Idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali na vyuo vya elimu na mafunzo ya ufundi mwaka 2021 imeongezeka kwa asilimia 14. Ongezeko hilo linakuja baada ya jumla ya watahiniwa waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa shule za Serikali na vyuo vya elimu...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kidato cha 5 wanaanza lini Kusoma?

    Tafadhali Wizara husika na Serikali iliangalie hili tena ( Upya ) kwani Wanafunzi wa Kidato cha Tano ( 5 ) Kumaliza Shule November na kukaa Idle ( Mtaani ) mpaka July mwaka unaofuata ni Kuhatarisha sana Ustawi wao wa Kitaaluma na Kuwaathiri Kimaadili na hata Kisaikolojia pia. Kiukweli 24/7...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Liangaliwe upya: Si rahisi kupata 'C' kwenye Chemistry kuweza kusoma Health-related programmes

    Jedwali limetoka, C ni 60-69 out of 100. Hizi ni alama za juu kidogo kwa A level chemistry. Hili lingeangaliwa upya maana wengi watakosa sifa hiyo. Kwa shule za private inaweza isiwe shida sana, lakini za Kata shida ipo (na si kosa lao, mazingira yao ya kusoma ni shida. Wataachwa nyuma)
  9. X

    JamiiForums Tanzania JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2021 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2021, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria. Vijana waliochaguliwa wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruvu...
  10. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

    Habari zenu ndugu wa Jamii Forums. Kama ni kweli Tanzania inataka kuandaa wachumi na wataalam wazuri wa kutunza hesabu, sasa wakati umefika kwa wataalam wa elimu kuruhusu wadogo zetu wanaochukua mchepuo wa biashara (ECA) kuanza kusoma somo la uchumi (Economics) kuanzia kidato cha kwanza kama...
  11. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Kwani Ufaulu Kidato cha nne ni lazima ili Kusomea Ufundi?

    Kwani Ufaulu Kidato cha Nne ni Lazima ili Kusomea Ufundi? Kwa mfano, kijana anataka kusoma mafunzo ya ufundi (VTC/VETA/NTA Level IV): Kwa nini baadhi wanaweka masharti ya kwamba alete cheti cha ufaulu kidato cha nne? Nielimisheni tafadhali.
  12. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Kidato cha sita kuanza mitihani ya taifa kesho

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza kuanza kwa mitihani ya taifa ya kidato cha sita na ya ualimu inayotarajiwa kuanza kesho Mei 3, 2021. Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Charles Msonde amesema jumla ya watahiniwa 90,025 wamesajiliwa kufanya mtihani wa kidato cha sita ambapo kati ya...
  13. Bhujegwe

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Shinyanga kuzuiwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2021

    Kuna taarifa kuwa Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush, wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi wa tano. Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi...
  14. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Mbeya Mjini atuhumiwa kumrubuni kimapenzi mwanafunzi wa miaka 15. Baba mtoto alalamika kunyimwa ushirikiano na uongozi mkoa Mbeya

    Sakata la Mtoto na mwanafunzi wa miaka 15 kulubuniwa kimapenzi na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini. Sakata hilo limeshafika kwa RPC na RC wa Mbeya. Mzazi na Baba wa mtoto huyo amelalamika kunyimwa ushirikiano baada ya kufika ofisi ya RC Mbeya na kumfikishia malalamiko yake. Chanzo: HAROUBTV.
  15. Ellymsgw

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Mdogo wangu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phs na math pia "C"ya history na kiswahili, yaliyobaki Ana "D"

    Naombeni ushauri mdogo angu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phy na math pia "C"ya history na kiswahili yaliyobaki Ana "D" Kama Ni kurudia arudie masomo gani? Naombeni ushauri
  16. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

    Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, mwaka 2020 Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa Kieletroniki wa uchaguzi wa...
Back
Top Bottom