kidato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Texaz

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Kwa matokeo haya nisome kozi gani?

    Ufaulu wangu wa kidato cha 4 ni B Kiswahili, zilozobaki zote D isipokuwa Math na Phys ni F na Chem D Nishaurini nikasome kozi gani ngazi ya Ufaulu wangu wa kidato cha nne.
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Elimu ilivyokuwa ngumu na kupata Zero mara tatu katika mtihani wa Kidato cha Nne

    Safari yangu ya Elimu ya Secondary niliianza Mwaka 2011 katika Shule moja Maarufu pale Bukoba Mjini ikiitwa Lake View hakika Maisha ya pale yalikuwa mazuri tulisoma na wahindi huku shule hipo beach yaani kila kitu nilikuwa Safi, hasa ukizingatia nilisoma shule za kawaida katika Elimu ya msingi...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Shule ya Serikali kuagiza Kidato cha Tano wachangie fedha za wapishi na walinzi Tsh.30,000 - hii ndiyo elimu bure?

    Wakuuu kwema Hii ndio elimu bure? Kwanini serikali isiajiri wapishi ikawalipa? Inauma sana.
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini

    Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania: Waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini. Kuhusu kupanda kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli, mtaalam wa mafuta na gesi Bwana Elia Wilinasi amesema mafuta ndio nishati inayoendesha injini ya uchumi wa dunia...
  5. dirtyboy

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana mtu aliye ishia kidato cha pili na kufaulu kujiunga na QT

    Habari za wakati huu wana JF. Kuna bwana mdogo mmoja alifanikiwa kusomo hadi form four lakini kabla ya kusajiliwa kufanya mtihani wa mwisho akapatikana na kesi iliyo mpelekea kufukuzwa shule 2019. Kwa sasa anatamani kufanya mtihan wa form four ili aweze kufata ndoto zake. Swali ni je, anaweza...
  6. O-man

    JamiiForums Tanzania Msaada wadau! Mjukuu anagoma kwenda kozi ya unesi na ukunga Dodoma. Anataka kuendelea na kidato cha tano. Nifanyeje?

    Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya kwanza swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima geography 1 kidato Cha sita

    Kwa Mara ya kwanza katika miaka yote ya utungaji wa mtihani wa geographia 1 kidato Cha sita 2022 swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima badala yake swali la surveying and map making ndio lilikuwa lazma na kubeba ujumla wa alama 25 hii imeshutusha Sana watahaniwa wakati...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tamisemi watatoa lini majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2022/2023?

    Husika na kichwa cha uzi hapo juu, nataka kujua ni lini watatoa hizo selection, maana nimesikia watoto wanaanza masomo mwezi June.
  9. G.Man

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kujiandikisha kama Private Candidate kwa mitihani ya Kidato cha Sita

    Habari wakuu, Ninahitaji kujua jinsi ya kujiandikisha ku re-sit mtihani wa kidato cha sita. Na ipi inaweza kuwa rahisi kati ya kurudia mtihani ama kusoma kozi ya diploma na kuendelea zaidi mbele? Kozi zipi pia za diploma za muda mfupi mtu unaweza kusoma kwa matokeo ya form four ya div2. Asante.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya Kidato cha Nne na Certificate ya Secretarial Courses

    Habari Wapendwa, Mimi ni kijana wa kike Nina umri wa miaka 35, Elimu yangu kidato cha nne na Nina certificate ya secretarial. Natafuta kazi kati ya hizi:- Secretary Stationary Reception Costumer care Nina uzoefu wa kazi kwa miaka 10 katika computer full na stationary service. Nimewahi kufanya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kufahamu utaratibu wa kurudia masomo ya kidato cha nne

    Habarini za kazi wapendwa poleni na majukumu ya kila siku Naomba mwenye kufahamu utaratibu wa kurudia masomo ya kidato cha nne aniambie je? iwapo mtu anataka kurudia masomo yote aliyofanya mwanzao inawezekana na atapewa cheti kingine na division mpya tofauti na ya awali au utaratibu ukoje...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kubadilisha Combination kidato cha nne haufanyi kazi

    Wadau kwema Toka waziri wa Tamisemi atoe Tangazo la kubadilisha mchepuo ya kidato cha nne ulifanya kazi siku moja tu na iligoma gafla kabla ya kumaliza kubadilisha baada ya hapo haikubali tena,wametoa no za simu +255 216 0210 ukipiga imefungiwa email hawajibu wakati wamesema mwisho wa kubadili...
  13. Championship

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Binti mwanafunzi wa miaka 18 apata ujauzito, tufanye nini?

    Salamu Wana JF. Naomba ushauri wa hatua za kuchukua katika mazingira haya. Asanteni.
  14. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya VETA yawe ni muhimu kwa wahitimu wa kidato cha nne na sita

    Nimekuawa nikiwaza Hivi tukipata kampuni kubwa mfano toyota ijenge kiwanda Tanzania ihitaji vijana 1000 walio somea kupaka rangi kwenye magari tutapata? Wakihitaji vijana 1000 walio somea Kuchomea tutapata? Wakihitajika vijana 500 waliosomea kutengeneza pancha na kujaza upepo kwenye magari...
  15. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania Kufariki kwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne Thaqaafa Sec Mwanza usiku wa kuamkia tarehe 20/03/2022, uzembe wa shule hii umulikwe

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Mimi ni mzazi ambaye watoto wangu kadhaa wanasoma shule tajwa iliyopo jijini Mwanza. Kwa huzuni kubwa naandika ujumbe huu kulaumu uongozi wa ThaqaafseSec kwa uzembe ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara watoto wakiumwa nyakati za usiku kwa wale wa bweni...
  16. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI rasmi yaamua kuua elimu yetu Darasa 1 mpaka kidato cha 6? Nini kazi ya Wizara ya Elimu,OR na Necta?

    Habari wanajukwaa, Mimi nimekuwa mhanga kwelikweli wa elimu yetu hii ya tanzania hasa huku chini. Juzi TAMISEMI wametoa mwongozo mpya ambao unatakiwa kutumia kufundishia kuanzia darasa la kwanza mpakakidato cha 6, ambapo kila mwalimu anatakiwa kuandaa kalenda la kufundisha na kwamba wanatak...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa Div One za point 7 zinaleteleza GPA 4.5 kule SUA na UDSM. Na zamani tulikwama wapi? Tujadiliane kidogo

    1. Kuna ukweli kuwa mitihani zamani ilitungwa na walimu wakongwe, na sasa NECTA wametunga wenyewe? 2. Usahihishaji unafanyika kwa muda mfupi sana , wameongeza wasahihishaji au wasahihishaji wameongeza speed? 3. Kuna ukweli kuwa wasahihishaji wakimaliza kazi, wataalamu na standardazation...
  18. J

    JamiiForums Tanzania DC Jokate Mwegelo aweka mkakati wa kuboresha elimu na ufaulu Wilayani Temeke

    DC JOKATE MWEGELO AWEKA MKAKATI WA KUBORESHA ELIMU NA UFAULU WILAYANI TEMEKE Leo hii Mkuu wa Wilaya Mh. Jokate Mwegelo amefanya kikao maalumu cha wataalamu wa elimu wakiwamo viongozi na kutoka Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE), wasimamizi na maafisa Elimu ya Temeke. Dhima ya kikao...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hatupaswi kufurahia matokeo ya Kidato cha Nne, hayana uhalisia

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Toka mwaka jana nilianza kupata mashaka makubwa kuhusu haya matokeo yaliyosheheni division one za saba kiasi cha kutia shaka. Leo nimebahatika kupata sababu mbili za kuyapuuza haya matokeo ya kisiasa; 1. A kwa sasa inaanzia 75% badala ya 81%...
  20. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ufaulu wa darasa la nne, kidato cha pili na nne umepaishwa ili kuwafurahisha wapiga kura; ushahidi huu hapa

    Watanzania tumerogwa; yaani tunafurahia matokeo feki huku elimu yetu ikizidi kushuka kila mwaka. Aliyeturoga kafa. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya matokeo ya darasa la nne (SFNA), kidato cha pili (FTNA) na kidato cha nne (CSEE) kutolewa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) hivi karibuni na...
Back
Top Bottom