Juzi, waziri mkubwa, Lameki Madilu wa nchi ya Ahaha aliacha dunia hoi. Katika kujipendekeza, kumpendezesha na kumpamba aliyempa cheo si akaropoka eti kutegemea misaada kumepitwa na wakati na dunia imebadilika.
Hapa, kuna mambo ya kufikirisha na kudurusu.
Mosi, je, amelijua hili leo au ni baada...