kichwa

Kichwa (Kichwa shimi, Runashimi, also Spanish Quichua) is a Quechuan language that includes all Quechua varieties of Ecuador and Colombia (Inga), as well as extensions into Peru. It has an estimated half million speakers.
The most widely spoken dialects are Chimborazo, Imbabura and Cañar Highland Quechua, with most of the speakers. Kichwa belongs to the Northern Quechua group of Quechua II, according to linguist Alfredo Torero.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Katika maisha tunahitaji kichwa chenye ubongo na akili zenye maarifa

    Kumbuka Katika maisha kuna mtu huwezi kumkwepa. Anaitwa chakubimbi. Chakubimbi ni mtu mwenye mdomo mkubwa, akili ndogo. Sikiliza! Mara nyingi huwa kuna ukweli ndani ya neno natania na kuna siri nzito ndani ya neno sijui na kuna maumivu makali ndani ya neno niko sawa alisema muhenga wa kale...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya hawajui Kiingereza; Watumishi wa afya 290 kati ya 300 wafeli mtihani wa Kiingereza ili kupata kazi Shirika la Afya la Uingereza

    Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS). Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika maana naona kichwa kinaelekea kupasuka

    Msaada unaitajika ndugu zangu maana hata sijielewi kabisa kwa mambo yanayoendelea. Nilikuwa na mke wangu ila tukaamua kuachana baada ya yeye kuchukua vitu na kuondoka. Baada ya muda kaona haitoshi kamtelekeza mtoto wetu mdogo mwenye umri wa mwaka 1 na nusu kwa sister wangu. Sister yeye ana...
  4. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maswali yaliyogonga kichwa ushindi wa lazima

    Je, ni kweli hakuna ajira kisa wasomi ni wengi? Kusema wahitimu hawana uwezo wa kuajiriwa au kujiajiri? Je, vijana tunaelewa kuwa maendeleo ni mchakato na si kulala masikini ukaamka tajiri? Je, tumegundua kuwa elimu ya sasa na ile ya miaka ile ni tofauti kitakwimu kabla ya kusema kwa nini...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kichwa cha mbuni mchangani

    Imezungumzwa sana na wahenga kuwa mbuni anatumbukiza kichwa mchangani kujificha wakati mwili mkubwa unaonekana nje. Ni aina fulani ya kujidanganya. Tanzania kuna mahali tumefikia tumekuwa kama mbuni! Chama kikongwe cha CCM kuna mahali kimefikia kujifanya kama mbuni!! Nimeisikiiza hotuba ya Rais...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa tu kutuliza kichwa 'Patience', bado amefanya mazuri mengi. Atulize tu spidi bado ni kiongozi mzuri

    Mimi ni mmoja wa watu ambao huamini kwamba, mtu akichafuka mguuni sio kwamba amechafuka mwili mzima. Hivyo basi, uungwana ni kuzodoa uchafu wa mguuni lakini wakati huo huo kusifia utanashati pale pote pazuri tofauti na mguu ambao umechafuka. Hii inaitwa kuwa 'positive' katika kuyatizama maisha...
  7. JamiiForums Tanzania Neural link - Smartphone itakayopandikizwa ndani ya fuvu lako la kichwa, itafanyakazi wirelessly

    Video ni hii hapo chini, kama una muda wakutosha na una bando na lugha ya malkia haikupigi chenga, basi itazame. Siku zijazo, taarifa zako zote binafsi na za kibenki zitatunzwa humo, na manunuzi pia unaweza ukayafanya kwa kutumia kifaa hicho kama ATM kadi yako. Kutumia pesa cash kufanya...
  8. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa, jukumu la kuwaondoa Wamachinga ni lako. Usilikwepe

    Mkuu wa Mkoa kuagiza Wakuu wa Wilaya wawaondoe wamachinga barabarani ni kuwapa mzigo wasiouweza asilani. Hawa wamachinga walikwisha pewa jeuri na viongozi wakuu wa taifa na tumeshuhudia waliojaribu kuwaondoa waliondoka wao! Wewe binafsi uliwahi kuwapa muda wa kuondoka kwenye eneo la ujenzi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Swali la kipombe: Kuishi demu Marekani kwa amani na kuishi Afghanistan mwanaume Ila utauawa na Taleban, kipi Bora?

    Hili swali nimejiuliza hivi kuishi mwanamke USA New York maisha yako yote au kuishi kidume Afghanistan halafu baada ya miaka kumi au 20 unajikuta kwenye war zone halafu Taleban wanakuhisi ni traitor wanakuuwa kwa kukukata shingo kwa kisu polepole ungechagua kipi? Mimi mzee baba ningechagua kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

    Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile. Alilia Sana Akatoa haja zote Mwisho alilia machozi Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu. Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan. Superbug
  11. JamiiForums Tanzania Shule za Dar es salaam ni pasua kichwa

    Kwa wale wanaofundisha shule za Dar es salaam huu ni ujumbe kwenu. Fanya kazi sana lakini ujue hakuna bosi anayejali maslahi yako, utafanya kazi kama punda, sifa zote kwa mwenye shule. Kuna shule hasa hizi kubwa kubwa wafanyakazi hawafanani na ukubwa wa shule, mfano unakuta waalimu wamechoka...
  12. JamiiForums Tanzania Unamtwangaje mumeo shoka la kichwa kisa amekusaliti?

    Wanawake mbona mmekosa huruma namna hii? Yaani kabisa unaenda kununua shoka kisha unainoa vizuri kabisa kwa lengo la kumtwanganalo mumeo? Tukio hili la manyara limenisikitisha sana. Imefikia hatua wanaume tumegeuzwa kuni kweli! Ungana na Mimi kupinga vitendo vya kinyama tunavyofanyiwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Mke wangu amenyoa nywele na zilikuwa zinanivutia sana

    Habari wakuu, mimi sio mgeni jamiiforums mara nyingi hapenda tu kuangalia nyuzi za watu na kuchangia inapobidi.Leo nimeona niwashirikishe yaliyonisibu Nipo kwenye ndoa zaidi ya mwaka sasa na kati ya vitu vilivyonivutia na vinavyonivutia sana kwa mke wangu kwakweli ni nywele zake zilivyo ndefu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…