Mke wangu amenyoa nywele na zilikuwa zinanivutia sana

nover

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
235
174
Habari wakuu, mimi sio mgeni jamiiforums mara nyingi hapenda tu kuangalia nyuzi za watu na kuchangia inapobidi.Leo nimeona niwashirikishe yaliyonisibu

Nipo kwenye ndoa zaidi ya mwaka sasa na kati ya vitu vilivyonivutia na vinavyonivutia sana kwa mke wangu kwakweli ni nywele zake zilivyo ndefu na natural na yeye pia analifahamu hili manake nimekua nikimuambia mara kwa mara.

Cha ajabu Jana wife kafika nyumban amenyoa nywele zote na wala hakunifahamisha kama atanyoa na wala sikuona dalili zozote kama hili litatokea.

Kwa kweli imeniuma sana na mpaka sasa bado inauma nahisi kama amenidharau kwa kutokunishirikisha kwenye jambo la muhimu kama hilo.

Sura imebadilika ata kutoka nae out nadhani itakua changamoto nilimuuliza sababu za kunyoa anasema kua amezichoka nywele ndefu na wala hazitaki tena.

Nimemuambia ninavyohisi anadai kama nlipenda nywele na sio yeye basi ananipa pole. ninaanza kupata wasiwasi kua anaanza kubadilika manake naanza kuona kama dharau zinakuja kwa mbali.

Wakuu embu nitoeni wasiwasi, ni mimi nawaza vibaya ama ndo tayari mwanamke anataka kunipanda kichwani?
 
Habari wakuu, mimi sio mgeni jamiiforums mara nyingi hapenda tu kuangalia nyuzi za watu na kuchangia inapobidi.Leo nimeona niwashirikishe yaliyonisibu

Nipo kwenye ndoa zaidi ya mwaka sasa na kati ya vitu vilivyonivutia na vinavyonivutia sana kwa mke wangu kwakweli ni nywele zake zilivyo ndefu na natural na yeye pia analifahamu hili manake nimekua nikimuambia mara kwa mara. cha ajabu Jana wife kafika nyumban amenyoa nywele zote na wala hakunifahamisha kama atanyoa na wala sikuona dalili zozote kama hili litatokea.
Kwa kweli imeniuma sana na mpaka sasa bado inauma nahisi kama amenidharau kwa kutokunishirikisha kwenye jambo la muhimu kama hilo. sura imebadilika ata kutoka nae out nadhani itakua changamoto. nilimuuliza sababu za kunyoa anasema kua amezichoka nywele ndefu na wala hazitaki tena. Nimemuambia ninavyohisi anadai kama nlipenda nywele na sio yeye basi ananipa pole. ninaanza kupata wasiwasi kua anaanza kubadilika manake naanza kuona kama dharau zinakuja kwa mbali
Wakuu embu nitoeni wasiwasi, ni mimi nawaza vibaya ama ndo tayari mwanamke anataka kunipanda kichwani?
Una infiriority complex mzee, hizo nywele zinakuingizia hela?
 
Puuzia hawa viumbe, kuna siku atakuja kakupakia marangi ya brown kichwani na kapiga line fulani au kavaa wigi na kucha fake wakati OG nzuri kazinyoa.Akili zao nyingine walisahau kwenye bustani
 
Utoto...kanyoa nywele zake,eti dharau.... Hata za kwapani na kinena anakuambi...jiamini...piga kifua,piga kelele "MIMI NI!MWANAUME ,SIBABAISHWI NA VITU VIDOGO"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom