kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,714
- 17,221
Damu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya,
Makosa haya ya kibinadamu Sasa ni kiboko. Hakuna ligi hapa, imeoza. Kuna timu kwenye ligi zitashushwa na waamuzi sio uwezo Wala uwekezaji.
Kama waamuzi wanafanya hivi kwa timu ya jeshi la JWTZ inakuwaje kwa timu kama KENGOLD na Kamsamba fc?