Halotel ndo Kiboko ya OTP hapa Tanzania

Halotel ndo Kiboko ya OTP hapa Tanzania

Amba Samedi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2024
Posts
206
Reaction score
346
Habari wanajamvi,
Ndio. Hasa kama unafanya kazi za mtandaoni (remote work), Halotel inasaidia sana. Asubuhi hii perplexity.ai ilinisumbua, nikajaribu mitandao yote Halotel ndo ikakubali. Iliwahi kunitokea nilipokuwa naaply Outlier tasking platform. Ndo ilinibeba (Mkenya mmoja ndo kaniibia siri hiyo).

Sijajua kwa nini? Labda kama kuna mtaalam humu atuelezee chanzo. Asanteni
 
Kampuni nyingi nje ukiweka vodacom na airtel kupokelea otp hupati, sijajua kuna shida gani nako
 
Back
Top Bottom