kibiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kibo10

    JamiiForums Tanzania Je, China itaendelea kuhimili vizingiti vya kibiashara vya Marekani

    Je, China itaendelea kuhimili vizingiti vya kibiashara vya Marekani bila yuan kuporomoka? Au iko tayari 'kudhoofisha' sarafu yake kimkakati ili kuendelea kushindana? Vita vya kiuchumi si risasi, ni sarafu."
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Raia wakigeni wasio kidhi vigezo vya uwekezaji wafukuzwe nchini (mtaji wa mwekezaji mgeni unaanzia BILLIONI 1)

    Tuwapende wafanyabiashara wa kigeni pale tu wanapo kuwa wamefwata sheria za uwekezaji. Kama hawakidhi vigezo vya uwekezaji tuwafukuze bila huruma. Mipaka ya nchi inatakiwa kuheshimiwa na kila raia wa kigeni. Naomba nitoe mfano mdogo: Leo hii tuna raia wa kigeni wa bara la Asia ambao sio...
  3. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Vita ya Kibiashara kati ya Marekani na Uchina na Athari Zake kwa Tanzania na Afrika

    SOMA: Markets mixed as investors brace for Trump tariffs Vita ya kibiashara kati ya Marekani na Uchina imekuwa gumzo kubwa kwenye anga za uchumi wa kimataifa tangu mwaka 2018. Rais wa wakati huo wa Marekani, Donald Trump, alianza kuweka ushuru mkubwa kwa bidhaa zinazotoka Uchina, hatua...
  4. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Wazo la kibiashara: Wekeza 280,000 kwa mwezi katika ng’ombe wa maziwa, upate hadi 930,000!

    Hivi karibuni tulitoa andiko kwamba ukifuga ng'ombe wa maziwa mmoja tu, unaweza kupata kati ya TSh 600,000 hadi 900,000 kwa mwezi. Pia, tulieleza jinsi hii ilivyo fursa kubwa kwa watu wengi, hasa wale wanaoishi mijini. Leo hii nakuletea mchanganuo wa gharama, mapato na faida, ili uone mwenyewe...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya,Canada na China zapigana kiume dhidi ya Marekani katika vita vya kibiashara

    Katika vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na raisi Trump mataifa kadhaa yamerudisha mapigo papo kwa papo dhidi ya Marekani mapigo yanayotishia usalama na utengamano waa taifa hilo lililokuwa kubwa duniani. Kwa mfano Canada baada ya kupandishiwa ushuru wa kuingiza bidhaa za chuma na Aluminium...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kariakoo ni kitovu cha nchi ya Tanzania kibiashara lakini uhuni ni mwingi bado

    Wamekuwa wakitusaidia kupata vitu kwa bei nafuu lakini pia wamekuja na ubunifu mwingine wa usafirishaji kwa njia inayoitwa CARGO ni nzuri na ya haraka.. Pia wanajitahidi kiuaminifu kwa asilimia kubwa sasa, hela inakuwa ktk eneo salama Ila dosari ipo kwenye utumaji wa mzigo hasa watu wa mikoani...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa sasa kwenye mahusiano wako kibiashara (wana selfish motives), wanaume tuache ku-fantasize romantic cinderella stories

    Habarini Nliingia kwenye insta story ya niffer, aliuliza wadada ni kitu gani kinafanya wawaheshimu zaidi wanaume walio nao, almost 95% of them walijibu maokoto, na their replies zilikua na umimi mwingi , me, me me, me, & me ananifanyia hiki. Wadada wachache walisifu "utu wema k.v loyalty...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusiingie makubaliano ya ulinzi na kibiashara haswa madini na DRC , JW ingie full scale kulinda mipaka ya DRC ?

    Sina mashaka na Jeshi letu tukiamua kulipa Hilo jukumu Tuna HISTORIA nzuri sana tangu ukoloni Hadi leo Kwa Dunia ya leo vita kubwa ni ya kiuchumi Kila mmoja ana angalia mwenzake atampa Fursa Gani Leo DRC ni nchi kubwa ya kimkakati kiuchumi haswa upande wa soko la bidhaa mbalimbali za...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Mashirika Umma yanayojiendesha kibiashara na yalitakiwa kujitegemea

    BUNGE limeazimia serikali kuondoa ruzuku kwa mashirika yanayojiendesha kibiashara ili yaweze kujiendesha kibiashara, kukidhi bajeti zao na kutoa gawio kwa serikali. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Oran Njeza ameyasema hayo leo bungeni alipokuwa akiwasilisha taarifa ya mwaka ya shughuli...
  10. Moaz

    JamiiForums Tanzania Sababu Za Wageni Kufanikiwa Zaidi Kibiashara Afrika Kuliko Wazawa na Nini Tufanye Ili kujinasua na hili Tatizo

    Wageni wanapofanikiwa zaidi kuliko wazawa katika nchi nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, kuna sababu nyingi za msingi zinazoeleza hali hii. Wageni mara nyingi wanauelewa mfumo wa kiuchumi, kisheria, na kiutawala kwa namna ambayo huwapa faida kubwa. Pia, kuna masuala ya kihistoria, kisera, na...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vita vya kibiashara vya Trump ni hatari kwa Marekani kuliko vita vya silaha ilivyopigana na inavyoshiriki mataifa ya nje

    Katika vita vya silaha taifa la Marekani limetia hasara kubwa maeneo mengi duniani na hawajawahi kushinda hata sehemu moja. Wamepigana Afghanistan na hatimae wakashindwa na kukimbia mbio nyingi.Iraq nako ni kama hivyo.Libya mpaka balozi wa Marekani aluliwa ubalozi wao ulipochomwa moto. Ukienda...
  12. kancher

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kibiashara:- Nahitaji shareholder au mkopo wa bidhaa kutoka kwa nuuzaji wa jumla.

    Habari wakuu. Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike. Nahitaji msaada kwa mtu yeyote tuingie share tufanye biashara pamoja kwa yeye kuweka mtaji au mfanyabiashara ambaye...
  13. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata kibali cha ufugaji wa mbuni kibiashara?

    Mbuni ni ndege, tena MKUBWA aliyejaa minofu inayovutia. Nimemuangalia na kumtafakari, hakika amenona. Nimeona huko kwa wenzetu, nyama yake inauzwa bei mbaya na inatajwa kwamba ni nyama yenye viini lishe na virutubisho vingi sana. Naomba kujuzwa utaratibu wa Mimi kupata kibali halali wa...
  14. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Je wazungu hawana wivu kwa washindani wao wa kibiashara? Hebu ona hii

    🗣️ "Hongera sana Jeff Besoz kwa kufanikiwa kufika katika orbit katika jaribio la kwanza kabisa la rocket ya New Glenn" Ameandika Elon Musk . — Mmiliki wa kampuni ya SpaceX amempatia Hongera zake mmliki wa kampuni ya Blue Origin mara baada ya kufanikiwa kurusha rocket yao na kufankiwa kufika...
  15. Heinz Consulting

    JamiiForums Tanzania Ujasusi Kwenye Ushindani wa Kibiashara

    Uandaaji wa Mpango Mkakati yaani “Strategic Planning” unahusisha ukusanyaji na ufanyaji wa tathmini wa taarifa juu ya mazingira ya nje yanayoizunguka kampuni yaani “external environment”. Mazingira haya yamehawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni’ Fursa. Haya ni mazingira chanya...
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za s lol slave trade, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok

    Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma waliotendewa mababu zetu kipindi cha biashara ya utumwa Taifa la Marekani limekuwa ni Taifa lisilotaka...
  17. Joseph Kadasula

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  18. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kizingatia kama unataka kwenda China kwa safari ya kibiashara

    BIASHARA CHINA INATENGEZA MATAJIRI WENGI, Tena vijana na wewe unaweza kuwa mmoja wao. . lakini pia unaweza kupoteza mtaji wako wote ikiwa kuna mambo hutoyafaham mapema. . Sasa kabla hujaenda china, hakikisha unayajua haya mapema ili safari yako iwe ya mafanikio makubwa. 1. Pata passport yako...
  19. Zogolo1550

    JamiiForums Tanzania MAFUNZO YA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA

    Je, unahitaji kuwekeza kwenye ufugaji wa nyuki na hujui pa kuanzia? Karibu upate mafunzo ya ufugaji nyuki kibiashara.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kibiashara

    .
Back
Top Bottom