kibiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: ACTIF2025 itoe majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Jukwaa la Nne la Biashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (ACTIF) linapaswa kuja na majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji zinazoyakabili mataifa ya Afrika na yale ya eneo la Karibiani. Amesema kuwa changamoto hizo zinapaswa kujadiliwa...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Je, VPN ni kweli inalinda faragha yako? Au ni mbinu ya kibiashara inayouzwa kwa hofu badala ya ukweli?

    Katika miezi ya karibuni, Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua hatua za kusitisha au kudhibiti upatikanaji wa baadhi ya mitandao ya kijamii kama Telegram na X (zamani Twitter) hususan nyakati za uchaguzi, maandamano, au mijadala mikali ya kisiasa. Hatua hizi huchukuliwa kwa jina la “usalama...
  3. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Paradigm Mpya ya Uchumi: Kuibua Faida Kubwa Kutoka kwenye Mtaji Mdogo – Dhana, Mbinu na Hesabu za Kiuchumi za Mafanikio ya Kibiashara

    Katika ulimwengu wa biashara za kisasa, dhana kwamba "mtaji mdogo hauwezi kuzalisha faida kubwa" ni kasumba ya kifikra inayotakiwa kuondolewa. Katika tafsiri ya kiuchumi, mtaji (capital) si lazima uwe mkubwa ili kuzalisha thamani; bali ni uwekezaji wenye tija (productive allocation of resources)...
  4. Wagumu Tunadumu

    JamiiForums Tanzania Kibiashara hapo napo tumekula hasara kama nchi.

    Hili dude kila mara napoliona hapo kwenye karakana ya mameli,naona kabisa hii ni hasara nyingine baada ya likichwa limoja kufanya maamuzi ya kutumia pesa za watanzania Kidogo angekuwepo yeye angeweza force mambo mpaka ya kawa,nazan angepiga marufuku malori kusafirisha mizigo kwenda huko uganda...
  5. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania China na Marekani zalegeza masharti ya kibiashara

    China na Marekani zimeridhia kulegeza masharti ya kibiashara huku China ikisema itapitia upya na kuidhinisha maombi ya usafirishaji wa bidhaa yatakayoendana na kanuni zilizopo. Marekani nayo ikiondoa hatua kali za kibiashara ilizoiwekea China. Awali Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza...
  6. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Mali yafikia mkataba wa kibiashara na Urusi

    Mali na Urusi zimetia saini mikataba inayolenga kupanua ushirikiano wa biashara ya pande zote mbili na kuimarisha uhusiano wa kiuchumi. Makubaliano hayo ni pamoja na ahadi ya ushirikiano kuhusu nishati ya nyuklia, kulingana na maelezo yaliyotolewa na Kremlin. Tangazo la mikataba hiyo lilikuja...
  7. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Mbia anaweza kudhaminiwa au kuchangiwa sehemu kidogo ya mtaji na Serikali kama kivutio hasa kwenye Miradi isiyo na sura ya kibiashara

    Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC David Kafulila amesema kuwa muwekezaji anaweza kupewa vivutio ikiwemo kuchangiwa mtaji endapo atawekeza kwenye ubia ikiwa ni pamoja na dhamana za serikali kumlinda muwekezaji ambaye anawekeza endapo ikitokea tofauti na jinsi ilivyo kadiriwa na hivyo...
  8. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wakenya washangazwa na Ofisi za Ubalozi wa Tanzania kuwa katika Jengo la Kibiashara

    Hii wiki wakenya wameandamana na kutishia vurugu baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na wengine kufukuzwa Tanzania hivi majuzi kwa sababu ya kutaka kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu. Baada serikali ya Kenya kuimarisha ulinzi katika ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi, Wakenya wengi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mazungumzo ya kibiashara kati ya China na Marekani yaleta utulivu kwa uchumi wa dunia

    Mazungumzo ya ngazi ya juu ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani yamefanyika hivi karibuni huko Geneva, na kupata matokeo muhimu. Hali ambayo inaonyesha kuwa baada ya mvutano mkali wa zaidi ya mwezi mmoja, nchi hizo mbili zimechakua njia ya mazungumzo kutatua maoni yao tofauti. Matokeo...
  10. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Kama una mashirikiano ya kibiashara na rafiki wa jinsia tofauti, epuka kujihusisha naye kimapenzi

    CHUKUA HII: Hii ni kwa pande zote, wewe mwanaume au mwanamke. Kama una rafiki yako wa jinsia tofauti ambaye si mpenzi wako lakini mna mashirikiano mazuri kwenye biashara, epuka kutongozana. Iwe ni biashara ya pamoja (kuchangia mtaji), biashara ya kubadilishana au kuuziana bidhaa, biashara ya...
  11. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Wachina wazitishia nchi zinazotaka kuvunja mahusiano ya kibiashara nayo na kutengeneza uhusiano na USA

    Serikali ya ki Communist ya china imetishia kuchukua hatua kali dhidi nchi marafik waliokuwa wanafanya nao biashara baada ya nchi hizo kuwa ktk shinikizo la kuikacha china na kufanya biashara na USA Utakumbuka kuwa kwa sasa USA chini ya Trump imekaribisha nchi nyingi kwa ajili ya mikataba...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Thabit kombo: Ireland waichagua tanzania kuwa makao makuu yake ya kibiashara barani Afrika

    14 Mach 2025 Dar es Salaam, Tanzania IRELAND WAICHAGUA TANZANIA KUWA MAKAO MAKUU YAKE YA KIBIASHARA BARANI AFRIKA - MHE. THABIT KOMBO https://m.youtube.com/watch?v=01B057JdTR0 Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano wao katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza...
  13. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Tunawatumiaje wageni kama fursa kwenye biashara ya utalii!?

    Habari zenu Great Thinkers!? 😁 Nimekaa zangu nikawa najiwazia hapa, sijui kama ni ugumu wa maisha au namba za umri wangu kutembea mwendo wa ngiri ndio kumefanya nifikie hatua ya kuja na mawazo haya. Ndugu zangu mimi ni mwenyeji wa Kibaha, sasa huku Kibaha idadi ya shemeji zetu (Wachina)...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vita vya kibiashara ni haramu katika Uislamu

    Rasi Donald Trump wa Marekani anajaribu kadri iwezekanavyo bidhaa kutoka nje ziwe ghali kiasi kwamba wananchi wake wasizipate kwa urahisi ijapokuwa kwake hazipo.Na kinyume chake. Mu'az amesimulia: Nimemsikia Mtume wa Allah akisema" Mbaya ni yule anayelundika bidhaa na kuifanya iwe adimu...
  15. Kibo10

    JamiiForums Tanzania Je, China itaendelea kuhimili vizingiti vya kibiashara vya Marekani

    Je, China itaendelea kuhimili vizingiti vya kibiashara vya Marekani bila yuan kuporomoka? Au iko tayari 'kudhoofisha' sarafu yake kimkakati ili kuendelea kushindana? Vita vya kiuchumi si risasi, ni sarafu."
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Raia wakigeni wasio kidhi vigezo vya uwekezaji wafukuzwe nchini (mtaji wa mwekezaji mgeni unaanzia BILLIONI 1)

    Tuwapende wafanyabiashara wa kigeni pale tu wanapo kuwa wamefwata sheria za uwekezaji. Kama hawakidhi vigezo vya uwekezaji tuwafukuze bila huruma. Mipaka ya nchi inatakiwa kuheshimiwa na kila raia wa kigeni. Naomba nitoe mfano mdogo: Leo hii tuna raia wa kigeni wa bara la Asia ambao sio...
  17. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Vita ya Kibiashara kati ya Marekani na Uchina na Athari Zake kwa Tanzania na Afrika

    SOMA: Markets mixed as investors brace for Trump tariffs Vita ya kibiashara kati ya Marekani na Uchina imekuwa gumzo kubwa kwenye anga za uchumi wa kimataifa tangu mwaka 2018. Rais wa wakati huo wa Marekani, Donald Trump, alianza kuweka ushuru mkubwa kwa bidhaa zinazotoka Uchina, hatua...
  18. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Wazo la kibiashara: Wekeza 280,000 kwa mwezi katika ng’ombe wa maziwa, upate hadi 930,000!

    Hivi karibuni tulitoa andiko kwamba ukifuga ng'ombe wa maziwa mmoja tu, unaweza kupata kati ya TSh 600,000 hadi 900,000 kwa mwezi. Pia, tulieleza jinsi hii ilivyo fursa kubwa kwa watu wengi, hasa wale wanaoishi mijini. Leo hii nakuletea mchanganuo wa gharama, mapato na faida, ili uone mwenyewe...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya,Canada na China zapigana kiume dhidi ya Marekani katika vita vya kibiashara

    Katika vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na raisi Trump mataifa kadhaa yamerudisha mapigo papo kwa papo dhidi ya Marekani mapigo yanayotishia usalama na utengamano waa taifa hilo lililokuwa kubwa duniani. Kwa mfano Canada baada ya kupandishiwa ushuru wa kuingiza bidhaa za chuma na Aluminium...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kariakoo ni kitovu cha nchi ya Tanzania kibiashara lakini uhuni ni mwingi bado

    Wamekuwa wakitusaidia kupata vitu kwa bei nafuu lakini pia wamekuja na ubunifu mwingine wa usafirishaji kwa njia inayoitwa CARGO ni nzuri na ya haraka.. Pia wanajitahidi kiuaminifu kwa asilimia kubwa sasa, hela inakuwa ktk eneo salama Ila dosari ipo kwenye utumaji wa mzigo hasa watu wa mikoani...
Back
Top Bottom