kibao

Skandals Kibao (English: Full of Scandals) is a Kenyan soap opera that debuted on KTN in August 2015. It is directed by Mary Migui. The main cast includes; Lwanda Jawar, George Mo, Vincent Mbaya, Billiard Wanjau, Janet Sision and Avril.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Napagawa na Bati: ALAF, ANDO, DRAGON - uchaguzi mgumu. Watu wa mauzo saundi kibao!

    Nimemaliza Kupiga Mbao, site yangu wameshakuja watu wa sales wa makampuni mbalimbali, na wamenipiga saundi za kutosha. Mafundi nao waliopiga mbao wamenishauri ila walivyoona nimepagawa sielewi nitumie bati kampuni Gani wakaniambia wewe Bosi leta bati yeyote sisi tutapiga mana sijui...
  2. TRA yotoa ufafanuzi wa madai ya kutengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini usio halali

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu malalamiko ya Bw. Emmanuel Gadi kuwa, TRA imetengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini nje ya mfumo halali wa Serikali kinyume na Sheria ya Forodha. Tunapenda kuufahamisha umma...
  3. Zanzibar kuna fursa nyingi ila umaskini umetamalaki

    Kwa masikitiko makubwa pamoja na fursa zilizopo Zanzibar hususani utalii wa fukwe na Mali kale. Umaskini umetamalaki. Wengi wa wananchi wanaishi katika Hali mbali kiuchumi. Ukihesabu ndege zinazotua ABEID AMANI KARUME INTERNATIONAL AIRPORT na hotel za kitalii zilizopo Zanzibar. Usingetarajia...
  4. H

    Wale tunaotumia akaunti zaidi ya moja tukutane hapa

    Inakuwa ngumusana kuzikontroo. Mana inahitaji muda uongo mwingi kutosahau kumbukukumbu nk Nilitongoza demu na akaunti tofauti akaomba picha nikampa tukazinguana kwenyehela anapenda sana hela nikamblock Nikamfata kwa akaunti nyingine kakubali freshi tuu alivyo niomba picha nikaachana nae mana...
  5. Rwanda ifikapo 2026 watakuwa na umeme wa nyuklia wa bei nafuu na uhakika. Sisi tunashindwa nini wakati madini ya nyuklia tunayo kibao?

    Jirani zetu Rwanda wameanza ujenzi wa vinu vya kisasa vya nuclear ambavyo ifikapo mwaka 2026 vitakuwa vinazalisha umeme wa uhakika wa bei nafuu. Vinu hivi vitazalisha pia mafuta na bidhaa nyingine. Vitaiwezesha Rwanda kuwauzia umeme nchi jirani kama Tanzania. Sisi tuna madini ya nuclear kibao...
  6. Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  7. Mtoto wa Rais ya Jamhuri ya Afrika ya Kati akimpiga mzungu kibao

    Mtoto wa Rais Faustin-Archange Touadera wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Evariste Touadera amezusha gumzo kubwa baada ya video inayomuonesha akiwazaba makofi wazungu kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii. Inaelezwa kwamba tukio hilo limetokea katika Mji wa Kislovodsk, Kusini mwa Urusi...
  8. Ya Mpwayungu Village kuhusu Mwalimu, yaungwa Mkono na KONTAWA kupitia kibao chake Cha "Mwalimu"

    Kwenye Huu Wimbo, msijikite kwa mistari pekee inayohusu Mwalimu Na Mwanafunzi,, Sikilizeni KERO na Maisha halisi ya Mwalimu wa Tanzania. Angalieni Mazingira ya Maisha ya Mwalimu kuanzia Mavazi ,Makazi, Chakula !!. Hakika ni Tanzania pekee ambapo Mwalimu anaishi Maisha ya Taabu !!.
  9. Watanzania tuchangamkie fursa kibao zitazokuja na DP-World

    Nimeona niwafunulie kwa uchache fursa nyingi sana kwa kila kada ambazo zitakuwepo kwa ujio wa DP World. Tafadhali kwanza someni wanayoyafanya sasa hivi DP World kwa nchi zingine za Afrika: DP World inashirikiana na CDC Group kuunda jukwaa la uwekezaji la Afrika Dubai, Falme za Kiarabu, 12...
  10. Picha za kibao cha Kumbukumbu ya Merehemu, extract kutoka Uzi wa "Chanzo cha mabasi ya No Challenge kuitwa Tashrif

    Juzi kati nilivutiwa na thread hii ambayo pia nilikuta ikisambaa kwenye magroup mengi ya Whatsapp including Yale ya Sekondari. Thread yenyewe hii hapa https://www.jamiiforums.com/threads/chanzo-cha-mabasi-ya-no-challenge-kuitwa-tashriff.2092924/#post-46290142 Nakumbuka nilikomenti kwenye Ile...
  11. Kuamini Google na ufinyu wa maarifa: Teknolojia ina faida chache ila hasara kibao

    Sasa hivi watu vichwa vyao vimekuwa vyepesi kama mchuzi wa yai, uvivu umetawala mtu akiulizwa swali anakimbilia Google ili apate jibu haraka na aje kujibu mtu. Huyo aliyeandika Google ni nani? Katika uandishi kuna typing error uwaga zinatokea ila unakuta mtu anasema kasome Google tunawasomi...
  12. Mnakomaa kwa kelele kibao kwa kiofisi kama hiki, jengeni jengo la maana kama wenzenu ACT Wazalendo

    Kelele kibao kwa kiofisi kama hiki?
  13. kupata passport mbona longolongo kibao nini tatizo

    Hapa naomba nifahamu mbona kuna ugumu wa kupata passport ya kusafiria na kuna mzunguko mwingi sana .
  14. AIBU: Rais anazindua ujazaji maji Bwawa la JNHP taifa likiwa na mgao wa umeme huku mizengwe kibao ikiwekwa lisikamilike mapema

    ~ Nini kimesababisha bwawa la JHNP lisikamilike kwa wakati? ~ Kwanini aliyekuwa waziri wa nishati kabla ya kutumbuliwa alituhakikishia litakamilika june 2022. ~ Crane za mizengwe za January? ~ Kwanini hawataki kuondoa tatizo la umeme Tanzania? ~ Leo wananchi wengi hawakushuhudia huu uzinduzi...
  15. Waafrika tulimtuma Kolo Muani kuwapiga kibao Wamorocco, leo tunamtumia Kylian Mbappe

    Mfalme wa Morocco alikuwa rafiki mkubwa wa Shujaa Magufuli, kwa sababu ya urafiki wao tumejengewa msikiti wa Kinondoni na tumeahidiwa kujengewa uwanja wa mpira jijini Dodoma. Tunawapongeza sana ndugu zetu Morocco kwa kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza Africa kufika nusu finali ya Kombe la...
  16. Miaka 61 ya Uhuru: Japo Tumefanikiwa sana kielimu, shule, vyuo na wasomi (Madaktari na Maprofesa kibao), mbona bado adui ujinga yupo? Tunakwama wapi?

    Wanabodi, Makala ya Jumapili ya leo. Juzi, Ijumaa, Tanzania tumeadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania, na kiukweli tumefanikiwa sana katika mambo mengi ya kisisasa, kiuchumi na kijamii, ila pia lazima tukubali, hapa tulipo, sipo mahali tungepaswa tuwe, tulipaswa kuwa mbali zaidi ya hapa...
  17. Watoto wa Nje kibao bila hata Matunzo na bado unasema unanipenda!?

    Kila siku narudi nane Usiku nimelewa na nalala na viatu watoto wa Nje kibao bila hata Matunzo najua umefunzwa unyagoni kutunza Mume lakini sio Kama Mimi ,unafaa upate mume na uolewe na sio kuniganda Mimi ukikaa utajua tu utakapokuwa na Akili utajua ni namna gani nakugiribu.
  18. P

    Mbali na kukaa BBC miaka kibao! Naye hawezi kumshauri Rais? Watanzania na mkate!!? Mmh

    Nchi imekwama, kila kitu kimekwama, si maji wala umeme, si mvua wala chakula, si biashara wala viwanda, Kila unapogusa pa moto, Alipoteuliwa huyu dada yetu jina kapuni kwenda kukaa Ikulu yetu kutokea hapo BBC nikajua walau mambo yatakuwa sawa, tutatembea ki Uwingereza wingereza! Kipindi cha...
  19. S

    Jicho la tabu: Marekani wakijiridhisha Putin anapanga kutumia nyuklia, watamuwahi kabla hajafanya hivyo na watamgeuzia kibao katumia

    Ushindi katika vita ya nyuklia hautamuliwa na ubora wa Jeshi wala silaha nchi husika ilizonazo, bali ni nani atamuwahi mwenzake katika kutumia nyuklia kushinda/ kumaliza vita. Kwa msingi huo, msitegemee Marekani asuburi Russia atumie nyuklia ndio nae ajibu mapigo, bali atamuwahi...
  20. Huku tozo kibao wakiwekewa wananchi. Wakazi wa Liwale wanunua ndoo ya maji sh 1000/-

    Hizi tozo zinatusaidia nini sasa? Tunakamuliwa na bado hata maji hatupati --- Mamlaka ya Maji safi na mazingira Wilaya ya Liwale, Mkoani Lindi (LIWASA) imeombwa kuzalisha kwa wingi huduma ya maji kwa lengo la kuwatatulia wananchi kero za upatikanaji wa huduma hiyo kwa jamii. Ombi hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…