kibao

Skandals Kibao (English: Full of Scandals) is a Kenyan soap opera that debuted on KTN in August 2015. It is directed by Mary Migui. The main cast includes; Lwanda Jawar, George Mo, Vincent Mbaya, Billiard Wanjau, Janet Sision and Avril.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Pishi la tambi.. Ladha kibao.. Mwonekano tofauti tofauti

  2. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania RIP Ali Kibao, na Wengine wote ambao hatujui wako wapi au nini kiliwakuta

    Mods naomba msifute uzi huu, sina maana ya kuchochea wala kukosoa bali kuonyesha kusikitishwa na matukio ya kupotea, kutekwa na kuuwawa kwa baadhi ya Watanzania huku baadhi yao tukiwa hatujui wako wapi hadi sasa. Tunawaombea wale wote waliotangulia, na ambao wapo mahali labda wametekwa (hatujui)...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania tutakua Wajinga Mpaka lini? Enock anauwawa, Mzee Kiibao, Akina Mdude, Soka,, Hatujui walipo, mpaka Auliwe nani ndio tuamke?

    Mpaka Auliwe nani Ndugu zangu ndio tusimame kudai Haki zetu dhidi ya haya Majangiri yaliyondani ya Serikali na vyombo vya Dola??. Ni Kwa sababu wanouwawa sio wa Damu Moja na sisi?. Mbona Nina hakika Kila Mmoja ,amesthiriwa Kwa namna fulani?
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Policy Forum Breakfast Debate: Bomba la Mafuta la Uganda, EACOP,Ndio Mradi Mkubwa Kuliko yote Tanzania kwa Sana, Una Fursa Kibao!, WaTZ Tuuchangamkie

    Wanabodi, Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa Tanzania wa uwekezaji kuliko miradi yote wenye fursa kibao kwa Watanzania...
  5. Mhandisi Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Toyota easy to maintain. Mmeona kiwanda chenu vingunguti? Spare fake kibao

    Wananzengo habari, Jana mkuu wa mkoa wa DSM alikuwa kwenye magodauni vingunguti ambapo wamekuta viwanda vya kutengeneza spare za TOYOTA na NISSAN. Ina maana ukienda kariakoo au mitaani spare zinatoka pale na mafundi wanawaambia hii original. Navyojua hakuna spare original bei rahisi. Endeleeni...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tumechoka na hivi visa vya watu kutekwa na kupotezwa. Kwa mfano, aliyerekodi msafara na kuchoma picha ya Rais alikuwa na tishio gani kwa usalama?

    Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??. Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??. Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye kuitetea Haki. Rais Samia na wengineo wote. Tumechoka! Yaan Kwa mfano, alochoma picha ya Rais...
  7. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia amimina sifa kibao Rais Samia, asema wanaamini ataendelea kuwa taa inayoangaza njia ya taifa kwa miaka mingine ijayo

    Wakuu Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Akson ametiririsha sifa lukuki kwa Rais Samia akisema wanaamini ataendelea kuwa taa inayoangaza njia ya taifa kwa miaka mingine ijayo. "Mheshimiwa Rais tunakupongeza kwa utumishi na uongozi wako ba tunaamini utaendelea kuwa taa...
  8. W

    JamiiForums Tanzania IT mpo? AI inachukua kazi zenu kimyakimya, Mjipange !! Karinga kunitengenezea website ndogo kwa elf 10 nimemaliza kila kitu kwenye ChatGPT bure.

    Leo nilikuwa napitia uzi flani humu ndani wa kero ya kutambua mitandao kwa namba za simu. Nikaona nifanye kiproject simple cha kutatua tatizo hili, nikaandika orodha ya namba pamoja na mitandao yake. Nikaenda kwa IT flani yupo tu kitaa atengeneze website ndogo ya kurahisisha kwa dau la elfu 5...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kibao chaanza kugeuka Isreal Ubelgiji waandamana kupinga mauaji ya kimbari ya Gaza

    Taratibu, dunia inaanza kuamka na kuona ukweli. Maandamano ya maelfu ya watu yamefanyika Ubelgiji kulaani vita ya kimbari ya Gaza huku ukiitaka serikali kubadili msimamo wake wa ukimya na kuunga. mkono jinai hii. Si ajabu nchi nyingine zenye watu wenye akili na utu kubadilika na kuanza kulaani...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Marlow popote ulipo fanya remix ya kibao cha Bado Umenuna unaweza kurudi kwenye game

    Bwana Marlow popote ulipo kama una mpango wa kurudi kwenye Bongo Fleva jaribu kufanya remix ya wimbo wa Bado Umenuna. Huu wimbo watoto wa 2000 bado hawajausikiliza. https://youtu.be/hV7ECjCPBbQ?si=_YJETZ1JYb4nOiUD
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Mbunge Kondesta Sichwale ampiga Kibao kijana wa CCM, inasemekana alichukizwa baada ya kuombwa posho

    Wakuu! Huyu ni Kondesta Sichwale, Mbuge wa Jimbo la Momba mkoa wa Songwe. Inasemekana baada ya Vijana maarufu Greengard kudai posho zao, madai yao yamepelekea Kondesta kuchukizwa na kumchapa kibao huku akitoa lugha chafu. Je, huu si unyanyasaji na udhalilisha? Usawa uko wapi?
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu WAISLAM, Mzee Kibao wa CHADEMA aliuliwa waziwazi ,Msikubali Kíongozi wa Dini awaimbishe Porojo za Amani bila Haki

    Allah Akbar !!. Jambo Moja ninalowakubali WAISLAM ni Imani na Misimamo mikali. Quran tukufu inakata Uonevu na Dhuluma Kwa namna yoyote. Kama Mzee Kibao alikua Kiongozi Mkubwa wa CHADEMA, na Muislam mwenzenu, vipi kuhusu Raia wa kawaida kabisaa ambaye ni Muislam na ni Mfuasi wa kawaida wa...
  13. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Kutokukujua Kiingereza kumenifelisha kiasi cha kukosa madili kibao

    Salaam JamiiForums Natamani kujua vyema lugha ya Kiingereza. Natamani ningeongea Kiingereza hata Kwa asilimia 50 tu naamini ningetisha sana. Achana na stori hizi, eti tunakuza na kudumisha lugha yetu,mara tuwe wazalendo. Acheni hizo kama hujawahi kusafiri kwenda nchi yoyote ya ughaibuni...
  14. Braza Kede

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnadeal vipi na hawa wenza wenye masharti kibao wakati wa tendo?

    Unakuta mtu ana masharti kama IMF hadi unakereka. Ukiingiza yote anakwambia so hivyo. Toa nikuelekeze unatoa anakuambia haya weka hapo juujuu tu. Ukienda kasi kidogo tu anakwambia aah so hivyo bwana. Mwingine unamkuta mbonge la mshepu tacotaco unamwambia akae doggy style anakugomea kabisa...
  15. Magwangala

    JamiiForums Tanzania Derick Mukombozi alimpiga Ateba kibao

    Baada ya kumwonesha kadi nyekundu mchezaji wa Namungo Derick Mukombozi,refa anaonekana akionesha ishara kuwa ameona kwa macho yake, Nahodha wa Namungo amenukuliwa amisema kuwa refa alimwambia kuwa amempa kadi kwa sababu alimpiga Ateba. Udhafu wa Azam ni kuwa hawana camera za kutosha kuonesha...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania UHAI wa Mchungaji Malisa (Moja ya wanaopinga kilichotokea DODOMA) Ulindwe , bado tuko kwenye Majonzi ya Mzee Kibao !!.

    Niliuliza swali hapa, Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?. Kilichotokea DODOMA ni mshangao , hamna lugha ya kufaa yakutosha kuelezea !! Ni Kikundi cha watu wachache sana ,kilichofanya Siri kubwa sana...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Limenijia tu kichwani, waliomuua Mzee Kibao wamefanya dhambi kubwa sana!Hamtakuwa salama milele,

    Hamtakaa muwe salama ndani ya mioyo yenu. Na kumbuka THE EVILS THAT MEN DO LIVE AFTER THEM! by Marc Antony
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA

    Kumbe Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, na sasa ni marehemu. Ilibidi nitafute taarifa za wajumbe wa kamati kuu ambao wamefariki kabla ya kikao cha kamati kuu kilichojadili ishu ya pesa za Abduli na ambao wapo hai mpaka hivi sasa. NI MZEE ALI KIBAO PEKE YAKE NDIYE KAFA...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mambo manne ambayo yanaonesha uwezekano wa Mzee kibao kwamba alitekwa na wasiojulikana kwa kushirikiana na CHADEMA

    1.Nchimbi alimsafisha Mbowe mapema sana https://youtube.com/shorts/VuTy8LLhe4s?si=PHahPqXk2sRY40B_ 2.Mzee kibao hakuwa mtu wa mitandaoni na msemaji sana kama tulivyoona kwa watekwaji wengine 3.Kauli ya Tundu lissu kuwa alikuwa na ushahidi wa Rushwa ya Abdul 4.Historia za matukio ya nyuma ya...
  20. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Mbowe anafahamu walipo wanachadema waliowahi kupotezwa.

    Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli. Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
Back
Top Bottom