kibao

Skandals Kibao (English: Full of Scandals) is a Kenyan soap opera that debuted on KTN in August 2015. It is directed by Mary Migui. The main cast includes; Lwanda Jawar, George Mo, Vincent Mbaya, Billiard Wanjau, Janet Sision and Avril.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

    Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma. Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri...
  2. LHRC, ACT-Wazalendo wajitosa mauaji Ali Kibao, kada wa CHADEMA

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetaka uchunguzi wa kina ufanyike kubaini wahusika wa mauaji ya kada wa Chadema, Ally Kibao siku moja baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana majina yao wala walipotokea. Wito wa LHRC unaungana na wa Chama cha ACT-Wazalendo, kilichohoji maswali...
  3. M

    Mnyijka watangazieni watu hali ya kada wenu mzee Kibao

    Ndugu Mnyika. Nakusalimu Juzi uliitisha press conference na kuwatangazia wananchi juu ya kutekwa kwa msaidizi wako mzee Kibao. Sasa kwa kuwa binadamu huwa haishi peke yake bali ana majirani zake taarifa zinazotoka nyumbani kwa mzee Kibao siyo nzuri. Hebu sasa njoo hadharani uwatangazie wana...
  4. Q

    President Samia on a panic mode

    Baada ya kumalizana na kina January, Nape, Makamba, Kikwete na kufuatiwa na kujiuzulu kwa M/Mwenyekiti CCM Kinana ambao wangekuwa msaada wake wakati wa uchaguzi, msaada mkuu uliobaki kwake ni kulitumia jeshi la polisi kuwatisha wanaoonekana kuwa wapinzani wake waliobaki. Kuna hofu kuu 3 zilizo...
  5. Kwenu watambuzi kibao hiki kipo wapi

  6. Maajabu ya Serikali ya Tanzania: Wanaopandishwa madaraja wanalipwa July hii! Wanadai malimbikizo ya misharaha miaka kibao hawalipwi

    Hakuna kitu kinaumiza kama kusubiria malimbikizo ambayo ni jasho la mtu kulitumikia taifa hili! Watu ni kama wanalazimishwa kukopwa bila kujua watalipwa lini! Serikali mbona mnaonea hivyo wanaodai malimbikizo? Mnapandisha madaraja mnalipa! Ila wenye malimbikizo ya miaka wala hamlipi hii ni...
  7. Kibao cha Aziz Ally Mtoni na Historia Yake

    AZIZ ALLY MJENZI WA MISIKITI Aziz Ally alipofariki mwaka wa 1951 muda mfupi baada ya.kutoka hijja gazeti la Tanganyika Standard katika kueleza kifo chake liliandika "Mjenzi wa Misikiti Amefariki." Kabla hajajenga nyumba yake mashuhuri ya Mtoni leo panaitwa Mtoni kwa Aziz Ali, Azizi Ali alikuwa...
  8. G

    IT wetu hawana ubunifu? Router ambazo hazina watumiaji wengi nje ya mipaka hawawezi kuzi-unlock, wanasubiri wazungu na wachina wawatafunie wao wameze

    Hapo zamani mitandao ilileta routers na modem za kampuni maarufu kama Huawei na zote, Ma IT na mafundi wengi waliweza kuzifungua kwasababu wazungu, wachina, wahindi, waarabu, n.k. walikuwa wanaumiza vichwa kubuni mbinu za kuzifungua, mafundi wetu walikuwa wanafuata maelekezo, modem na router...
  9. M

    Ayatullah Khamenei: Israel itazabwa kibao usoni

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema utawala wa Kizayuni wa Israel utazabwa kibao usoni kutokana na shambulio lake dhidi ya majengo ya ubalozi mdogo wa Iran katika mji mkuu wa Syria, mapema wiki hii. Katika hotuba yake kwa maafisa wa utawala wa Iran na matawi...
  10. G

    Huu Mjengo wa Boniface Jacob ni kwa kuuza mayai? Mbona watu kibao wa mkoa wa Mara ni wakongwe tunasikia wana maisha ya kawaida?

    Siwezi kuliita kasri lakini itoshe kusema kijana angalau kajenga nyumba nzuri. Mayai naona ni zuga tu, watu kibao wa Mkoa wa Mara wanaoishi Dar wanapiga hii business ila wana maisha ya kawaida.
  11. Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

    Waswahili husema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, mchezaji wa Azam, Prince Dube ameandika barua ya kuvunja mkataba ambao umebakiza miaka 2! Jambo hili sio jambo zuri hata kidogo kwenye soka letu, suala la mchezaji kukosa tu furaha na akaamka asubuhi na kuandika barua ya kuvunja mkataba...
  12. Kibao kimewageukia Hamas raia waandamana wanawaambia waondoke Gaza. Wawaita ni Majizi

    Katika hali ya Kushangaza raia wa Gaza kiukweli wamechoka walitarajia big result kutoka kwa Hamas ila matokeo yake wamejikuta walala nje na kulala njaa.. Sasa wanaandamana kila kona kuwasaka Hamas na wakiwaona ni kichapo tu.. Ismail Haniyah na Babu wao nywele mvi Sinwar Wanasema ni majizi tu sio...
  13. Mauzauza: Alichojibiwa Makonda kero ya Iringa ni ile aliyotishia kumpiga kibao Naibu Waziri

    Wakuu heshima kwenu. Poleni na msiba mkubwa sana wa kitaifa wenye historia kubwa hapa JamiiForums. Nipende kuwakumbusha kuwa akiwa ziarani Iringa ndugu Makonda alikutana na KERO ya wafanyakazi kiwanda cha karatasi mgololo ambapo kwa miaka 20 wafanyakazi hao wamekuwa wakiidai serikali mafao yao...
  14. Pamoja na kuajiri watendaji kibao na mbio za mwenge CCM wameamua kumtumia Makomda kukusanya kero za wanannchi

    Makonda ndio amegeuka mkusanya kero za wananchi kuliko watendaji kama wakuu za mikoa, madc na watendaji wa kata. Makonda amegeuka kuwa mtendaji? Anazunguka nchi nzima msafara mrefu. Anatumia kodi za wanannchi. Hao Maded, Madc na MarC wanakazi gani? Mbio za mwenge za CcM zina kazi gani?
  15. G

    Heri ya mwezi mpya Februari, mwezi wa wapendanao, mwezi mfupi zaidi, mwezi mpya baada ya utitiri wa bili za Januari

    February itakuwa nzuri kuliko January, Niwatakie mwezi mpya 🎉
  16. FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Leo Jumatano 24.01.2024. Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya tatu katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya DR congo mechi ni saa 5 usiku mungu ibariki Tanzania Kikosi cha Tanzania Kikosi cha DR Congo fiston mayele kaanza leo Mpira Umeanza... Tanzania...
  17. P

    Nipo na mawazo kibao, nimetembea na binti mwenye HIV

    I'm stressed, issue ipo hivi juzi Christmas mida ya saa tatu usiku, Kuna mrembo aliingia room kwangu kama kawaida si mnajua ujana huu nikapiga show fresh mtoto akarudi kwako. Sasa Jana mida ya jioni napata taarifa kuwa yule demu yupo kwenye dose ya Arv inshort she is HIV positive, nirivurugwa...
  18. Hiki ndiyo Kibao cha kuonyesha Nyerere Road Pale Tazara Daraja la Mfugale

    Great Thinkers Hii ndiyo bongo aka nchi ya watu wasielewa wanataka nini. Mimi naamini uwekaji wa mbao za anwani ya makazi ulikuwa ni ufisadi uliopitiliza. Acha akina isack.mwigulu waje wachukue usukani wa baba zao. Imagine hiki hapa ndiyo kibao kuonyesha nyerere road pale mfugale afu kuna...
  19. Hatimaye Haji Manara atangaza ndoa rasmi na ZaiyLissa. Mastaa kibao akiwemo JB wameunga mkono

    Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika . Inaonekana Zainabu fundi sana naona ndugu yetu Haji Manara kakolea na penzi analopewa na Zai mpaka kaamua kuvunja kiapo chake cha kutooa tena mpaka anaingia kaburini. Halafu imekuwa ghafla sana aisee hata miezi mitatu haijaisha Bugati...
  20. Hivi hii imekaaje? ya mwanaume kukaa ukimbembeleza mwanamke/mpenzi masaa kibao akilia wewe unachukua kitambaa unampangusa

    Nilitoka nikaenda sehemu kupata vyombo na kuchill na washikaji! Sasa tangu niingie pale, meza moja alionekana njemba akiwa na mdada na kwa ukaribu wa jinsi walivyokaa inaonekana ni wapenzi au couple! Sasa bwana muda wote mdada analia na kutoa mchozi njemba inambembeleza kwa kumshikashiga bega na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…