Kibao kimewageukia Hamas raia waandamana wanawaambia waondoke Gaza. Wawaita ni Majizi

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,392
9,760
Katika hali ya Kushangaza raia wa Gaza kiukweli wamechoka walitarajia big result kutoka kwa Hamas ila matokeo yake wamejikuta walala nje na kulala njaa.. Sasa wanaandamana kila kona kuwasaka Hamas na wakiwaona ni kichapo tu.. Ismail Haniyah na Babu wao nywele mvi Sinwar Wanasema ni majizi tu sio wapigania uhuru.. so from now on Gazan wamehamia upande wa kuisupport Israel kama Israel alivyokuwa akiwatangazia...

Gazans take to streets to protest Hamas leadership, call out Sinwar and Haniyeh​

Since the beginning of the conflict, there have been several protests by Gazan residents against the terrorist organization, but this is still a rather exceptional event.​

By MAARIV ONLINEFEBRUARY 21, 2024 09:12Updated: FEBRUARY 21, 2024 13:51
  •  Palestinians at the site where two Israeli hostages rescued overnight in an Israeli operation in Rafah, in the southern Gaza Strip, Feb. 12, 2024 (photo credit: ABED RAHIM KHATIB/FLASH90)
  • Palestinians at the site where two Israeli hostages rescued overnight in an Israeli operation in Rafah, in the southern Gaza Strip, Feb. 12, 2024(photo credit: ABED RAHIM KHATIB/FLASH90)

Residents of Jabaliya in the northern Gaza Strip and Rafah in the south took to the streets on Tuesday night to protest against Hamas leaders amid the ongoing war with Israel. Since the beginning of the conflict, there have been several protests by Gazan residents against the terrorist organization, but this is still a rather exceptional event.

In footage circulated on Palestinian social networks, residents are documented calling out against Hamas's leader in Gaza, Yahya Sinwar, and against the organization's political bureau chief, Ismail Haniyeh, who continues to live in luxury in Qatar.
 
Aljazeera natumaini wataiweka kwenye news zao... tusubiri
 
Sijui Kama nimeelewa vizuri kuwa hapo kuna mateka wawili wa Israel wamepatikana, litakuwa ni Jambo pekee lililonifurahisha kwenye habari hii, japo ningetamani kujua ni Kina nani ( umri, jinsia nk)
 
Wamechoka na vita huku viongozi wakuu wa Hamas wakiishi na kula bata ndani ya five 5 hotel mjini Doha
 
Sijui Kama nimeelewa vizuri kuwa hapo kuna mateka wawili wa Israel wamepatikana, litakuwa ni Jambo pekee lililonifurahisha kwenye habari hii, japo ningetamani kujua ni Kina nani ( umri, jinsia nk)
Ni same eneo siku ya 12 Feb waliokolewa wale Jews mababu from Brazil
 
Back
Top Bottom