kibaha

Kibaha is a city, with a population of 128,488 (2012 census), located in eastern Tanzania. It is the capital of Pwani Region. It is located in Kibaha District, one of the six districts of Pwani Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Polisi njooni mtuondolee vibaka huku Misugusugu Kibaha, wananchi wanateseka au mmewashindwa?

    Aisee huku Misugusugu Wilayani Kibaha kuna vibaka ambao wanakaa kwenye eneo la Uwanja wa Mpira, majira ya Usiku wa jana wamempora jamaa na kumchoma kisu. Juzi, pia walimpora jamaa laki 3 na kumpiga, aisee cha ajabu hawa vijana wanalindwa kutokana na uzawa wao, kuna ndugu hawa wawili. Hawa...
  2. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  3. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Picha ya Ndege Kibaha, jirani na Hospitali ya Wilaya

    Tunauza viwanja vilivyopimwa na vyenye hati, vilivyopo Kibaha Mjini, mita chache tu kutoka zilipoanzia barabara ya mwendo kasi.Vipo kando ya hospitali ya wilaya ya Kibaha 💰 Bei ya kawaida: Tsh 10,000 kwa square meter (Cash) Lakini kwa members wa kundi hili nimeweka OFA MAALUM 📐 Mfano kiwanja...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bara bara ya Kibaha, Njia ya kutoka na kuelekea Hospital ya Tumbi ni mbovu na imejaa mashimo makubwa

    Bara bara ya kwenda na kutoka hospital ya mkoa wa pwani (Tumbi hospital) Ambayo ni ya kiwango cha rami imeharibika na kuwa mbovuu kwa muda mrefu na imejaa mashimo yanayo tanuka kila siku. Mwezi wa kwanza mwaka huu waliyachimba ili kurekebisha barabara na wakayatelekeza bila marekebisho kiasi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la Ukosefu wa Maji Kibaha kwa Mfipa; Mtaa wa Simbani

    Tatizo la maji kwa sisi wakazi wa Kibaha – Mfipa, mtaa wa Simbani limekuwa kubwa sana. Maji yanatoka mara moja au mbili tu kwa wiki tena usiku wa manane wakati tumelala , na wakati mwingine hayatoki kabisa. Hii inaleta usumbufu mkubwa kwa wananchi. Maji ni hitaji la msingi kwa maisha ya kila...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Foleni ya Kongowe - Kibaha leo 12.03.26 ni mbaya sana

    Leo 12.3.26 yaani muda huu saa moja asubuhu, niko hapa Miembe 7 hakuna gari linalokwenda au kurudi. Sereikali mko wapi? Nasikia mneongeza tozo huko bandarini, mnafikiri mkiboresha bandari kwa barabara hii mtakua mmefanya kitu? Wako wapi mawaziri wenye maono na maamuzi? Wako wapi wakuu wa...
  7. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mlio eneo hilo, kibaha, yakweli haya?

    TAHARUKI YAZUKA BAADA YA MIILI MINGI ILIYOHARIBIKA KUFUKIWA MSAE, KIBAHA Baba Askofu Mwamakula!Jana, 22 Februari 2026, tukio la ajabu liltokea Kibaha Mkoani katika Mtaa wa Uhuru. Ilikuwa hivi: Ilipita pikipiki ya miguu mitatu na ilibeba viroba vyeusi vingi kama uchafu vikitoa harufu kali...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TAHARUKI yazuka baada ya miili mingi iliyoharibika kufukiwa Msae, Kibaha

    Baba Askofu Mwamakula! Jana, 22 Februari 2026, tukio la ajabu liltokea Kibaha Mkoani katika Mtaa wa Uhuru. Ilikuwa hivi: Ilipita pikipiki ya miguu mitatu na ilibeba viroba vyeusi vingi kama uchafu vikitoa harufu kali. Kuifuatilia ile Toyo, ikasimama katika eneo la Makaburi ya Msae. Na palikuwa...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Mwamakula: Kuna Miili iliyoharibika zaidi ya 20, ilifukiwa eneo la MSAE, KIBAHA. Miili ilikuwa kwenye Viroba

    Hii Miili kwa Mujibu wa Mtoa taarifa, ilikua inatoa harufu Kali sanaaaa , maana yake Kama imefukiwa na Serikali, ni kwamba sehemu ilipokua miili hiii, Serikali haikua na uwezo wa kuihifadhi , Je Serikali inakoswa uwezo wa kuhifadhi miili ??? TAHARUKI YAZUKA BAADA YA MIILI MINGI ILIYOHARIBIKA...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mgogoro Kibaha Sagale Kambini (Sauti ya Umma)

    Suala la mgogoro wa ardhi Sagale imekuwa ni hekaheka wananchi wanataka suluhu ili mambo mengine ya kimaisha yaendelee kwani watu wameishajenga na wanaishi hapo lakini suluhu imekuwa ngumu kwani Kila wakienda Halmashauri Kwa ajili ya siala hili limekuwa likipigwa kalenda na tayari Mkuu wa Wilaya...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Daraja la Kibaha Mji - Mtaa wa Lumumba litengenezwe tunapata shida wakazi wa huku

    Kuna daraja lipo Kibaha Mji, Kata ya Pangani, Mtaa wa Lumumba (liko karibu na Daraja la Jeshi) liliharibika wakati wa mvua ya Mwaka juzi (2024) ile kubwa lakini mpaka leo halijatengenezwa tunapata shida sana tunazunguka mbali tunaomba msaada mamlaka zinazohusika zifanya jambo.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Route mpya ya daladala kuanzia Mbezi Luis hadi Kidimu Mkombozi Kibaha kupitia Loliondo imeanza

    Route mpya ya Mbezi hadi Kidimu Mkombozi Kibaha imeanza. Hatimae Latra wameikumbuka Kibaha na kuanzisha route mpya inayotoka Mbezi Luis hadi Kidimu Mkombozi kupitia Loliondo imeshaanza. Wakazi wa Kibaha kwa sasa watapata unafuu wa usafiri kuelekea mjini, pia mji utaendelea kukua kwa kasi. Latra...
  13. radhiya

    JamiiForums Tanzania Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  14. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Anayejua viwanja vya Bata Kibaha ambapo Kuna watoto wakali

    Wakuu Mimi Nipo kibaha mjini kikazi anaejua viwanja vya Bata maeneo haya ambapo Kuna watoto wakali ni sehemu Gani wazee nataka niibuke Leo nikale Bata mpaka kuku waone wivu tupunguze machungu kidogo
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Asilimia 36 ya Magari yanayotumia Morogoro Rd (Ubungo - Kibaha) ni Maroli ya Mizigo - TANROADS

    Kwa research waliyoifanya June mwaka 2025, wamesema 36% yamagari yanayotumia iko kipande ni maroli ya mizigo. Pia, wastani wa magari elfu 29 yanapita kila siku hii njia, na kati yake 9,700+ ni maroli ambayo ni karibia 36%. Hayo yote yamesemwa na TANROADS Coast Regional Manager, Engineer...
  16. uberimae fidei

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Kiwanja kina ukubwa robo eka. Kipo kibaha visiga. Umbali Mita 300 kutoka morogoro road. Unatembea kwa miguu kidogo unaingia ndani. Bei milioni 9. 0678908743
  17. Sonship

    JamiiForums Tanzania Ofa ya viwanja Kibaha kwa Mathias

    Ofa ya Viwanja Kibaha Kwa Mathias Kidenge B Vipo vya umbali wa km 4-kutoka kituo cha Mathias Lami Vipo vya Km km 6-Kutoka lami Nipazuri sana na huduma zote za kijamii zimefika Bei Ukubwa kuanzia: *million 2 ukubwa 16×13 *Milion 2.5 ukubwa 15×16 *Milion 3 ukubwa 15x19 *Milion...
  18. uberimae fidei

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha

    Nyumba ipo kibaha visiga madafu. Nyumba Ina vyumba 5 vya kulala,viwili master bedroom. Nyumba Ina mabanda makubwa ya kuku,ya mbuzi na ng'ombe. Ina nyumba ya wafanyakazi. Kuna kisima kikubwa Cha maji,na maji dawasco pia yapo. Ukubwa wa eneo eka Moja. Kuna fence. Ina hati ya wizara(title deed)...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Janga la uhaba wa maji ni kubwa kwa wakazi wa MailiMoja – Kibaha (Pwani), shida ni kubwa mno

    Ni takribani mwezi mmoja sasa maeneo mengi ya Kibaha MailiMoja kuna changamoto kubwa ya maji na majibu ya Mamlaka ya Maji yamekuwa ya kuungaunga. Awali walitoa taarifa kuwa maji yatakoseka kwa siku chache takribani tatu hadi nne kutokana na maboresho ya mitambo yam aji, lakini ilipita wiki...
  20. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana Kibaha waahidi kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura

    Vijana wa Mji wa Kibaha Mkoani Pwani wamesema watatimiza haki yao ya kupiga kura kwa kujitokeza kwenye Vituo vya kupigia kura Oktoba 29 mwaka huu. Aidha, wameeleza kuwa Vyama vya upinzani haviwezi kushika madaraka kwa vina migogoro ya wenyewe kwa wenyewe na tamaa ya kushika dola.
Back
Top Bottom