kibaha

Kibaha is a city, with a population of 128,488 (2012 census), located in eastern Tanzania. It is the capital of Pwani Region. It is located in Kibaha District, one of the six districts of Pwani Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kairuki: Nitahakikisha barabara za jimbo la Kibaha kujengwa kwa lami

    Ahadi ya mgombea ubunge jimbo la Kibamba @angellah_kairuki kuhusu kurekebisha miundombinu ya jimbo hilo, baadhi ya barabara zikijengwa kwa kiwango cha lami
  2. radhiya

    JamiiForums Tanzania Plot For Sale at Kibaha Kwa Mathias

    2.5 ACRE PROPERTY ON THE MAIN ROAD IN KIBAHA FOR SALE facing Morogoro Rd in Kibaha kwa Mathias. measures 10921sqm. suitable for commercial or industrial development. clean title deed. SELLING PRICE TZS 1.7 BILLION NEGOTIABLE For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania fundi wa ujenzi maeneo ya kibaha tuchekiane nbox..na wa tiles8

    All d best
  4. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Kutoka kibaha hadi Chalinze kuna nini kwenye njia hii ?

    Wakuu nipo safarini napita njia hii morogoro road kutoka kibaha mpaka Ruvu darajani hapaeleweki na hili sio leo imekuwa sugu wenye mamlaka mtuambie shida ni nini? Hata mkituambia ni wingi wa malori bado siwezi kuamini kama ni kweli Trafic kila baada ya hatua kumi wanafanya nini wananchi...
  5. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania DAWASA KIBAHA, hivi ndio kusema mumeamua rasmi kutuuzia maji machafu?

    Muda mrefu sasa tunatumia maji machafu, tulijua labda ni changamoto ya muda mfupi tu. Sasa tunaona imeshakuwa mazoea. DAWASA Kibaha, ndio kusema mumeamua rasmi kutuuzia wananchi maji machafu? Hivi haya maji ndio maji ya kutuuzia Watanganyika kweli?
  6. radhiya

    JamiiForums Tanzania Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  7. makong012

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu katika halmashauri ya Kibaha

    Habari za muda huu wana JF, Hii wiki nimetua mjini Dar Salaam kulikua na plot niliacha muda mrefu inashugulikiwa hati. Na kuna mtu kutoka halmashauri nilikuwa nawasiliana nae akaniambia hati ilishatoka kitambo, maana mchakato ulianza since 2022 huko. Nikasema kwa kuwa nipo mjini acha nipate...
  8. Sonship

    JamiiForums Tanzania VIWANJA VINAUZWA KIBAHA,KILUVYA NA KIBAMBA

    VIWANJA VINAUZWA Kibaha Kwa Mathiasi Nyumbu Jeshini 20x20 Milion 7 Kibaha Maili Moja Mwanalugali 20x20 Ml 7 Kiluvya Kwa Komba 20x20 MLN 16 Kibamba Kibwegere Kwa Kinega 20x20 Milion 7 Kiluvya Madukani Vya Km 3-5 Milion 8 Karibuni Wadau wa Ujenzi 0775 179905
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Tunalaani Polisi kuwashikiliwa Wanachama wetu wa Kibaha

  10. Q

    JamiiForums Tanzania Nauza eneo lililo chimbwa mchanga.. ukubwa heka moja misugusugu kibaha

    Eneo lipo nyuma ya kiwanda cha Lake steel misugusugu.. limechimbwa mchanga Ni Zuri Kwa ufugaji.. au kulisawazisha Na kuweza kukata viwanja.. karibun
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Nina uza eneo lililo chimbwa mchanga.. ukubwa WA hekari moja. Misugusugu kibaha. Pwanu

    Eneo Ni heka moja.. nyuma ya kiwanda cha Lake steel misugusugu kibaha. Lina hati Kwa majina yangu.. bei Ni tsh million Tano maongezi yapo. 0759960687.. karibuni
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 10 wa uhalifu wakamatwa Kibaha Pwani

    Jeshi la Polisi Tanzania lipo kwa mujibu wa sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 147. Moja ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi sura ya 322 kifungu cha 5 (1) ni Kulinda maisha ya watu na mali zao pamoja na...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Tumewakamata Watu 10 Kibaha wakiwa wanaandaa njama za Uhalifu

    Jeshi la Polisi Tanzania lipo kwa mujibu wa sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 147. Moja ya majukumu yake kwa mujibu wa sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi sura ya 322 kifungu cha 5 (1) ni Kulinda maisha ya watu na mali zao pamoja na...
  14. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwezi Gani mzuri Kwa ujenzi Kibaha

    Nilikua nauliza mwezi Gani mzuri Kwa ujenzi kibaha ambapo Hali ya hewa huwa imetulia naombeni wenye uzoefu mnijuze
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Cha 3M kibaha

    Naweza pata kiwanja Kwa shilingi 3M? Nakihitaji ASAP
  16. A

    JamiiForums Tanzania Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni

    Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni. Nisaidieni mawazo wakuu
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kibaha Yapandisha Gharama za Vibali vya Sherehe Kuanzia Agosti 6

    Manispaa ya Kibaha imetangaza rasmi mabadiliko ya gharama za vibali kwa shughuli zote za sherehe na burudani zinazofanyika kwenye kumbi, ambapo kuanzia Agosti 6, 2025, wamiliki wa kumbi na waandaaji wa matukio watalazimika kulipia huduma mbalimbali kwa viwango vipya. Kwa mujibu wa tangazo...
  18. uberimae fidei

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha kwa Mfipa

    Kiwanja kina ukubwa squire meter 400. Kipo Kibaha kwa Mfipa Milioni tatu na nusu. Km 2 kutoka Morogoro road
  19. uberimae fidei

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa kibaha visiga

    Eneo Lina ukubwa eka 1 Kibaha visiga madafu. Km 4 kutoka morogoro road. Milioni 9 Huduma zote za kijamii zipo karibu,umeme na maji.
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Kibaha, viongozi mkoa, wilaya wadaiwa kuchakachua majina ya walioteuliwa udiwani

    Hali si shwari katika Halmashauri ya Mji wa Kibaha, baada ya watiania wa udiwani zaidi ya 10 kutoka hadharani na kuwalalamikia baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa mkoa wa Pwani na wilaya ya Kibaha, kuchakachua majina ya waliopitishwa na Kamati Kuu ya CCM ili kupigiwa kura na...
Back
Top Bottom