Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

radhiya

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
674
Reaction score
485
Viwanja Vinauzwa.

Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.

Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.

Gharama za kwenda kuona Eneo zitahusika.
Mawasiliano: 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807
@prathrealestate

Milioni 750

Yani jumla ya square mita ni 3315

Kwa bei hiyo ina maana square mita moja ni 226,244/= yani laki mbili na ishirini kwa mita ya mraba moja.

Eneo ni kibaha mailu moja...

Aseee.
Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.

Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.

Gharama za kwenda kuona Eneo zitahusika.
Mawasiliano: 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807
@prathrealestate
 
Viwanja Vinauzwa.

Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.

Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.

Gharama za kwenda kuona Eneo zitahusika.
Mawasiliano: 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807
@prathrealestate

View attachment 3584193
Hii ipo barabara ya kwenda mwanalugali?
 
Habari ,
Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini (Mailimbili kwa Mwatano )
Ukubwa ni 331sqm
Huduma zote zipo ndani ya eneo.
Kipo Barabarani.
Kimepimwa na Survey form ipo .
Bei ni 15Million (Mazungumzo yapo )
Mawasiliano 0796007039
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom