kibaha

Kibaha is a city, with a population of 128,488 (2012 census), located in eastern Tanzania. It is the capital of Pwani Region. It is located in Kibaha District, one of the six districts of Pwani Region.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa Kibaha Pwani

    Shamba linauzwa, Kibaha Mlandizi Miswe ukubwa eka 55. Chanzo cha maji huakika, kilimo kipindi chote kwa mwaka,maji ya mto ruvu na mto msumbiji. Linafaa kwa kilimo cha mazao mengi, ulimaji wa mboga,na ufugaji Samaki.udongo mweusi,usioitaji mbolea. Njia ya kufika kupitia bagamoyo au mlandizi...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Kibaha, Pwani: Mtoto ajinyonga baada ya mama yake kumtuhumu kuiba Tsh. 5000

    Mtoto wa kike mwenye miaka 14 mwanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Mtongani amejinyonga hadi kufa nyumbani kwao Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani baada ya mama yake mzazi kumtuhumu kuiba Sh5,000. Akizungumza leo Jumatano Mei 26, 2021 Kamanda wa polisi mkoani Pwani, Wankyo...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania BAVICHA yafika gereza la Mkuza Kibaha katika Muendelezo wa kuwafariji na kuwasalimia wafungwa wa kisiasa

    Ikumbukwe kwamba ndani ya Gereza hilo wamewekwa wanachama lukuki wa Chadema , akiwemo aliyekuwa Mgombea udiwani wa kata ya Kikongo ndugu Haji Omari na wenzake 7 , ambapo wote hawa wamepewa kesi isiyo na dhamana ya mauaji . Wako ndani kwa zaidi ya miezi sita kutokana na kesi ya uzushi ya mauaji...
  4. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Je, bandari kavu Kibaha kupunguza msongamano Dar umeyeyuka?

    Mojawapo ya mipango madhubuti chini ya Hayati Dkt. John Magufuli ilikua uanzishaji bandari kavu Kibaha ili kuhamisha shughuli ya uchukuaji mizigo ya ma-container nje ya bandari. Kusudi la mradi huo ni ili kuondoa msongamano wa malori katikati ya jiji na pia kuondoa msongamano bandari ya Dar es...
  5. K

    JamiiForums Tanzania TANROADS, vipi ile kasi ya kumalizia barabara kuingia stand kuu ya Mbezi Luis na njia sita Kimara hadi Kibaha? Mbona hakuna kinachoendelea?

    TANROADS, mbona barabara ya kuingia stand ya mabasi Mbezi Luis progress yake ni zero? Au ndo imeyeyuka hivyo? Je, hii ya njia sita mbona pia hakuna kinachoendelea?
  6. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Kufika 2030 miji hii itakuwa mikubwa na iliyopangwa vizuri sana

    1. Kigamboni: kuna kampuni nyingi sana zinapima na kuuza viwanja huko, ukiona ramani zao ni za kuvutia na kupangika vizuri tofauti na DSM. 2. Bagamoyo na Kibaha Pwani: hii kuna upimaji mkubwa na uuzaji wa haraka na bei ni chee kuliko Kigamboni, kwa sasa upimaji bado kidogo ufike mji mdogo wa...
Back
Top Bottom